Kusomesha shule za ada kubwa na kawaida nini faida

Nairart

Member
May 13, 2019
19
75
Kwanza kabisa kaa ukijua million 5 kwa watu wengine ni km ww unavyoiona 5000. Kuna watu wanapata 20million mpka 50 million per month, unataka ampeleke mwanae kayumba for what? Nd tofauti zenu ni lifestyle, mwenzio hajasoma kwa stress. Ni kama kucompare mbwa wa kizungu wa kylie jenner marekani na mbwa koko wa tandale. Wote ni mbwa but maisha ndo hivyo tena
Napenda kujua hv mtoto kusoma shule hz za kulipia ada kubwa kuanzia 5m n.k na hizi za ada laki 5 harafu wote mnakutana mlimani au st joseph nini faida zake....
 
ngome1838

Senior Member
Feb 20, 2019
116
250
Maisha hayana kubembeleza, Maisha ni mchaka mchaka, maisha ni mapambano. Endeleeni kuwaonyesha watoto na wajukuu zenu ufahari na kiburi cha fedha mlizonazo lakini mwisho wake upo karibu zaidi.Mtoto hajui kugombea chakula, hajui kugombea daladala, hajui kuzipga kavu kavu bila refa, mtoto hajui kumkoromea mwenzake, mtoto njaa kwake ni msamiati.Mtoto hajui kuuza kokoto wala kuuza karanga. Chanzo cha ubunifu wowote duniani ni changamoto ambazo mtu anapitia, hakuna ubunifu ukiwa umekulia katika meza ya mfalme. Imekuwa inatisha namna ambavyo wazazi wamekuwa wakitumia kiasi kikubwa cha fedha kulipa ada za shule wengine wakiwa hali zao ni duni lakini wakifuata mkumbo.
 
Bavaria

JF-Expert Member
Jun 14, 2011
48,619
2,000
Shida sio kukutana Mlimani.

Maisha baada ya kutoka mlimani.

Mtoto wa Feza akitoka mlimani anajua anapoenda, wewe ulietok Chato ukimaliza mlimani inabidi urudi Chato ukavue samaki ukijipanga wapi kwa kwenda.

Anaemlipia mwanae ada ya 10M anajua mtoto wake ataelekea wapi baada ya hapo.
 
kichomiz

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
16,714
2,000
Maisha hayana kubembeleza, Maisha ni mchaka mchaka, maisha ni mapambano. Endeleeni kuwaonyesha watoto na wajukuu zenu ufahari na kiburi cha fedha mlizonazo lakini mwisho wake upo karibu zaidi.Mtoto hajui kugombea chakula, hajui kugombea daladala, hajui kuzipga kavu kavu bila refa, mtoto hajui kumkoromea mwenzake, mtoto njaa kwake ni msamiati.Mtoto hajui kuuza kokoto wala kuuza karanga. Chanzo cha ubunifu wowote duniani ni changamoto ambazo mtu anapitia, hakuna ubunifu ukiwa umekulia katika meza ya mfalme. Imekuwa inatisha namna ambavyo wazazi wamekuwa wakitumia kiasi kikubwa cha fedha kulipa ada za shule wengine wakiwa hali zao ni duni lakini wakifuata mkumbo.
Roho/mawazo ya masikini aliyekata tamaa haya
 
Unamlea mwanao maisha ya kichokoraa.

Any sensible parent hawezi mfundisha mwanae ujinga kama wako.

Ingekuwa kina Spigel, Mark, Bill, Jeff wamelelewa maisha ya kishamba tusingekuwa na Amazon, Snapchat, Facebook wala Microsoft.

Wewe endelea kumkuza mwanao aje kuwa teja halafu miaka 20 ijayo muanze kulilia nchi hii haina usawa. Wengine wanatengeneza mabilioni na mwanao anasubiri 200 za daladala.
 
hyperkid

JF-Expert Member
Jun 7, 2019
1,757
2,000
Kumpeleka kijana shule ya garama kubwa sijaona mantiki yake,ila kuchagua shule nzuri Ni bora pamoja na kufuatilia maendeleo yake kila Mara mfano shule za kata Ni nzuri Sana kikubwa Ni wewe mzazi kuwa mfuatiliaji wa academic performance ya mtoto,marafiki zake na mausiano yako na walimu wengi hua tunawatelekeza watoto na kuwachia majukumu yote walimu hili SI sawa,
 
EMMYGUY

JF-Expert Member
Aug 6, 2015
8,733
2,000
Kwanza kabisa kaa ukijua million 5 kwa watu wengine ni km ww unavyoiona 5000. Kuna watu wanapata 20million mpka 50 million per month, unataka ampeleke mwanae kayumba for what? Nd tofauti zenu ni lifestyle, mwenzio hajasoma kwa stress. Ni kama kucompare mbwa wa kizungu wa kylie jenner marekani na mbwa koko wa tandale. Wote ni mbwa but maisha ndo hivyo tena
Akishindwa kukuelewa atakuwa na tatizo kwa akili yake.
 
Tajiri Kichwa

JF-Expert Member
Apr 2, 2017
3,685
2,000
Maisha hayana kubembeleza, Maisha ni mchaka mchaka, maisha ni mapambano. Endeleeni kuwaonyesha watoto na wajukuu zenu ufahari na kiburi cha fedha mlizonazo lakini mwisho wake upo karibu zaidi.Mtoto hajui kugombea chakula, hajui kugombea daladala, hajui kuzipga kavu kavu bila refa, mtoto hajui kumkoromea mwenzake, mtoto njaa kwake ni msamiati.Mtoto hajui kuuza kokoto wala kuuza karanga. Chanzo cha ubunifu wowote duniani ni changamoto ambazo mtu anapitia, hakuna ubunifu ukiwa umekulia katika meza ya mfalme. Imekuwa inatisha namna ambavyo wazazi wamekuwa wakitumia kiasi kikubwa cha fedha kulipa ada za shule wengine wakiwa hali zao ni duni lakini wakifuata mkumbo.

Nakuombea na wewe upate pesa maana una akili zile za kimasikini ,maisha walioishi babu zetu au wazazi wetu usitake na wengine waishi hivyo hivyo dunia imebadirika

Nadhani we ndio wale wazazi unataka mtoto aende shule na shati iliyochakaa na viatu kisa wewe uliweza kusoma hivyo ni ujinga.
 
ngome1838

Senior Member
Feb 20, 2019
116
250
Nakuombea na wewe upate pesa maana una akili zile za kimasikini ,maisha walioishi babu zetu au wazazi wetu usitake na wengine waishi hivyo hivyo dunia imebadirika

Nadhani we ndio wale wazazi unataka mtoto aende shule na shati iliyochakaa na viatu kisa wewe uliweza kusoma hivyo ni ujinga.
Soma vizuri na ukiwa umeshiba utanielewa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom