Kusingiziwa mtoto ambaye sio wako

Nlikubali kutoa tumizi kama support tu kwa mtu ninaemfaham ,lakn kumbe huruma yangu ya kutoa tumizi ndo inataka kuniangamiza aseeh, naombeni ushauri na mbinu ya kuliepuka hili swala linataka kunielemea [emoji30].
Kukubali matumizi ndio kukubali mtoto. Mi Nakushauri uendele kutunza mkuu

Sent from my 2201116TG using JamiiForums mobile app
 
Hakuna DNA , hakuna mimba ya 6 month
Sizungumzii kuhusu suala la mimba. Nazungumzia suala la mtoto na matumizi.
Jamaa anatoa matumizi chini ya uangalizi wa ustawi wa jamii. Hii tayari yupo kwenye mikono ya sheria na hakuna njia zaidi ya kupima DNA. Akisema aache kutoa matumizi, mikono ya sheria inamtia mahakamani.
Jifunze kutatua matatizo kwa akili itakusaidia sana.
 

Sheria haiwezi niweka mahakaman, ukwel naujua mim, tukipima DNA razima nishinde kesi
 
Naomba unisaidie mbinu jinsi ya kutegua huu mtego maana unaniumiza sana, na kipato changu hakiko sawa.
Kumbuka upo kwenye mikono ya sheria kwahiyo ili utegue huu mtego unabidi ufuate sheria.
Ukikimbia, utatafutwa na utakamatwa na kifungo au adhabu kali itachukua mkondo wake.
Ulipokosea ni kwenda ustawi wa jamii, ukakubaliana na ukaanza kutoa matumizi ya mtoto. Kwa maana kwamba tayari umekiri huyo mtoto ni wako
Tafuta mwanasheria, ongea naye ili ukapime DNA.
 

Thanks a lot my brother
 

Huu ushauri pia ni mzuri sana,
 

Wew ndo mtu unaeza nisaidia kimawazo na ushauri wako
 
Sheria haiwezi niweka mahakaman, ukwel naujua mim, tukipima DNA razima nishinde kesi
Haujanielewa vizuri. Ipo hivi
Umekubali kwenda ustawi wa jamii na ukaanza kutoa matumizi ya mtoto chini ya uangalizi wa ustawi wa jamii. Tafsri ni kwamba tayari huyo mtoto ni wako ndiyo maana umekubali kutoa matumizi ya mtoto.
Sheria haiwezi kukutia mahakamani kivipi kwa wakati upo chini ya sheria? Unajua mtoto siyo wako mbona unatoa hela ya matumizi? Ukiacha bila kufuata sheria lazima upelekwe mahakamani chini ya uangalizi wa ustawi wa jamii kwasababu haujamhudumia mtoto.
Tafuta mwanasheria au fuata sheria ili ukapime DNA. Ukisema utoroke labda uende mbali huko usijulikane ila wakikudaka lazima utagharamika kwasababu upo chini ya sheria.
Siyo wanaokwenda jela wote wahalifu, wengine wanakesi za kusingiziwa. Kuna watu wamefungwa na kesi ni za kusingiziwa
 
Wew ndo mtu unaeza nisaidia kimawazo na ushauri wako
Kabla ya kwenda kupima DNA, tafuta mwanasheria ili akusimamie kwenye zoezi hili. Huyo mwanamke na huyo mtu wa ustawi wa jamii lao ni moja kwahiyo rushwa inatembea. Na huko unapoenda kupima tafuta hospitali wewe mwenyewe ili rushwa isitembee.
 
Una umri gani?mbona unahitaji ushauri kwa issue ambayo ni simple sana,au umeamua kuanzisha uzi tu ili watu watoe mawazo yao..... nahisi siku hizi kuna tatizo la watu kufanya maamuzi bila ushauri
 
Unastahili kubambikiwa acha kusumbua watu kama akili zenyewe ndiyo hizo
 
Na bado unaomba ushauri?. Au ni mimi nimepoteza uwezo wa kusoma na kukielewa kiswahili. Ushauri unaofaa una hitajika uwahi kufanya vipimo vya akili kabla ya DNA.
 
Kazi unayo
 
malaya wa bar anakushinda akili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…