Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,786
- 35,747
Kwa akili yako ndogo unajua mtoto anazaliwa baada ya miezi mingapi?Asante sana kwa ushauri , nitaufanyia kazi huu ushauri![]()
Kwa akili yako ndogo unajua mtoto anazaliwa baada ya miezi mingapi?Asante sana kwa ushauri , nitaufanyia kazi huu ushauri![]()
Wewe utakua mwanaume wa dar sio bure!! Huwezi kuwa kilaza namna hiiYan me nmesex nae, Ndan ya miezi sita mtoto amezaliwa na ameshakua, tulipokutana alijua nmelewa na nlkua najielewa kabsa japo yeye ndo alinihudumia bia na nlizilipia zote, tulipofika chumban alipovua nguo nlioa tumbo kubwa la mimba na kuna baadhi ya style alikua hawezi kukaa nikimgeuza anakua mvivu, naamini nimepigwa na kitu kizito. Nasubiri mwisho wa mwezi huu akipiga siku kuhusu kumtumia hela sipokei na simtumii pesa yoyote, liwalo na lile,
![]()
Hiyo ni mbinu aliitengeneza muda mrefu tu kujua kazin kwako nyumbn n.k kweli wanaume wamebaki wachache sanaWala sijui alipajuaje wala alielekezwa na nan![]()
Wewe ni mtu wa hovyo hovyo!!Lakini hata sasa bado ninayo nafasi ya kujitetea Kwa Afsa ustawi, sitatoa pesa ya mwisho wa mwezi Afsa ustawi akinitafta nitamuelezea jinsi huyo mwanamke alivoniingiza cha kike
Na wewe upime dna ya nini wakati ushaambiwa tokea wakutane ni miezi 6? Umeona wapi mtoto anazaliwa baada ya miezi6?KAPIME DNA
MBONA UNAISHI KAMA KARNE YA 7 WAKATI SIKU HIZI MAMBO NI RAHISI?
Hili jamaa jinga sana kiongozi ni zwazwaaa hasa hata kujisimamia halijui maskini what is ustawi wa jamiii???Wewe ni mtu wa hovyo hovyo!!
Mkuu DNA gani hiyo ya kupimwa kirahisi hivyo kama unapima malaria?Kwani mchakato wake sio mdogo na hufanyika kwenye ofisi ya mkemia mkuu wa serikali tu!!na hilo ombi hulipeleki weweKapime DNA ila usimwambie kituo ambacho unaenda kupima.
Ogopa matapeli
Kijana hapo ishu ni uhakikaNa wewe upime dna ya nini wakati ushaambiwa tokea wakutane ni miezi 6? Umeona wapi mtoto anazaliwa baada ya miezi6?
Amenikasirisha sana!! Yani miezi6 alafu linakazana ustawi wa jamii duuh mara dnaHili jamaa jinga sana kiongozi ni zwazwaaa hasa hata kujisimamia halijui maskini what is ustawi wa jamiii???
Sio sawa!Kijana hapo ishu ni uhakika
Mabishano hayataisha mwanamke atang’ang’ania kuwa mtoto ni wa jamaa
Jamaa atang’ang’ania mtoto ni wake
NB: Jamaa alilewa wakati wa tendo (kulewa ni kulewa tu weka akilini)
Huo MGOGORO hauhitaji negotiation, unahitaji Mediator
Na mediatior ni DNA
Sawa?
Jamaa alilewa!!Sio sawa!
Mkuu mtoto anazaliwa baada ya mieizi mingapi? 6?
Mama ushauri Depal nimekuelewa sana..!!Hao madem wa kuokoteza wasijue unakofanyia kazi aisee.. I mean hauko committed na mtu, why ajue vitu vingi kukuhusu?
Kwanza hata hawatakiwi kujua unapoishi.
Kama mlisex then after 6 month akwambie kajifungua, huyo mtoto ni njiti au?
Hapa ndio swali gumu linakuja eti alikubali kutoa kidogoSasa umekataa mimba , tena mbele ya afisa ustawi. Ikawaje tena ukaanza kutoa tumizi?
Kwa hiyo jamaa alilewa kiasi kwamba hakumbuki hata mwezi alio sex na huyo dem!?Jamaa alilewa!!
Hapa hupaswi kumuamini mama wala jamaa
Tunaamini kipimo
Nimebold hayo maneno ili uelewe maana ya kulewa
KULEWA KULEWA KULEWA!!
Sawa mkuu?
yaani baada ya miezi sita tangu uzini naye tayari mtoto amezaliwa na ukakubali kutoa matumizi? vijana wa siku hizi akili zenu mmezipeleka wapi?Katika pitapita zetu kwenye harakati za kumwagilia moyo, nikipita kwenye bar fulani nikawa nimemuelewa muhudumu mmoja, tukaelewana tukabadilishana namba, nikamuomba kulala naye usiku huo akakubali kwa mapatano ya kumlipa posho.
Muda ulipofika tukaenda kufanya yetu. Tulipofika chumbani alipovua, niliona dalili kama ana mimba maana alikua na tumbo kubwa na alikua anatema mate kila mala. Japokua nilikua na pombe kichwani lakini niliweza kutambua hilo.
Tumefanya yetu pakakucha, asubuhi nikampa chake kila mtu akaendelea na ratiba za maisha yake.
Baada ya miezi 6 iliingia namba mpya ikinipigia kwenye simu yangu, kupokea nikaskia sauti ya kike inaniuliza kuwa, “Lini utakuja kumuona mwanao?“
Nilipingwa na butwaa nikamuulize “Wewe ni nani?“ Akajitambulisha kiundani zaidi nikawa nimemkubuka, nikaamuliza, “Unataka nije kumuona mwanangu yupi?” Akasema hujui kama siku tupolala wote ulinipa mimba na tayari nimeshajifungua mtoto wa kike?
Nlistaajabu sana nikawa nimemkatalia kuwa mimi siwezi kuwa baba wa huyo mtoto maana hata siku hiyo tunalala wote ulikuwa una dalili zote za kuwa na mimba tayari, mawasliano yakawa yameishia hapo.
Baada ya week 1 tangu anipigie kuhusu taarifa ya kunibambikia mimba, ghafla nikapigiwa na namba Afisa Ustawi wa Jamii kuwa nahitajika ofisini. Nikaenda kusikiliza, nikahojiwa kama namfahamu huyo dada nikakubali kuwa namfahamu lakini nilipinga kuwa huyo mtoto sio wangu.
Afisa Ustawi akanishauri sana kuhusu matumizi madogo madogo ya mtoto nikakubari kuwa ntakuwa natuma pesa ya matumizi madogo madogo.
Kadri siku zinavyozidi kwenda naona kama inazidi kuwa kero, yule dada mhudumu wa bar anakuwa ananipigia mpaka saa 5 usiku, nikiwa nimelala anatuma mesej za ajabu, anakuja ofsini ninapofanyia kazi bila taarifa, yaani inakuwa ni vurugu.
Na nikiamuaria yule mtoto na muda tuliosex na mama yake na umri alionao yule mtoto ni tofauti kabisa, nahisi nimepigwa na kitu kizito kwasababu hata kusema kufanana hajafanana na mimi hata kidogo.
Naombeni ushauri wenu wana JF, nifanye nini ili kuondokana na hili tatizo la huyu dada mhuni?
Huyu jamaa sijui ni mshamba wa wapi,?Umefanya series ya makosa
1.Kuuza mechi
2.ukamwagia ndani
3.Miezi 6 mtoto kazaliwa hukohoji ukakubali?
4.Ukashindwa kukaza uzi ulipoitwa ustawi wa jamii hapo hapo ungekaza uzi mkapime DNA
5.Ukakubali kuhudumia mtoto kwaiyo ndo kashakua mwanao tena.
Mwisho hongera kwakuwa baba wa kufikia unayetoa huduma kwa mtoto,pengine huyo kahaba anaishi na baba halali wa mtoto.
Huyu jamaa ni product ya watu wa hovyo hovyo kwenye hili taifa.yaani baada ya miezi sita tangu uzini naye tayari mtoto amezaliwa na ukakubali kutoa matumizi? vijana wa siku hizi akili zenu mmezipeleka wapi?