Kusingiziwa mtoto ambaye sio wako

Kusingiziwa mtoto ambaye sio wako

Kwann yaseme ni wangu wakati sio wangu..?
wewe ndo ulizizngua kutetemeka na kukubali kifalaa kwa huyo afisa ustawi wa jamii pale ndo uliharibuuu... UNGEKATAA KABISAA KWAMBA SIO MWANAO KAMA VIPI MKAPIME DNA! usiwe ndezi jamaaa demu hakukwambia mimba changa leo kazaa kaona hana fala wa kumtupia zigo kaona wew ndo falaaa.
 
Kuna baadhi ya ushauri nilishauliwa humu nimeutendea kazi, na matokeo yake yameenda vizuri, Mwezi wa pili umeisha amenipigia simu kuhusu kumtumia pesa nimemkazia nimemchana A to Z Kuhusu jinsi alivonipambanishia hiyo mimba yake, nimempigia hesabu ya muda tuliokutana kimapenzi na muda aliojifungua ni miezi sita. Nilimwambia kuanzia Sasa hivi sitotoa hata sent 5 kukupatia kama posho ya matumizi, liwalo na liwe nipo tayari kusimama popote kutetea haki yangu, Tangu siku hiyo nilivomwambia hivo mpaka sasa hajawahi kunisumbua tena na wala hajawahi kuja offisini kwangu kunisumbua kwa lolote lile mpaka sasa.

Nasubiri mwisho wa mwezi wa 3 ufike nimkazie vile vile mpaka akate tamaa kunisumbua, maana hata Offisi ya ustawi wameshagundua kuwa amenishikisha huyo mtoto.
 
Eeehe mzee na ukiitwa huko ustawi wa jamii usitetemeke kazaaa hela ngumu sana kulea mtoto wa mtu kibwege mwisho wa siku baba ake anakuja kumbebaa wew demu anakuona fala tu. Yani mgongane leo miezi 6 mbele ajifungue alafu aseme mtoto ni wako bwege huyo demu
 
kuna ex wangu naona anataka kuleta mazoea ananieleza shida ambazo intakiwa baba watoto aliozaa nao ndo awaelezee hawa viumbe bhanaa... mtu umezaa na wanaume wawili unakosa hata hela ya gas sijui umeme daah.
 
Na ndio sababu tangu nimemufafanulia tarehe tuliyokutana na tarehe aliyoniambia kajifungua nikamwambia ni miezi sita nkamwambia siwez toa pesa ya matumizi kwa mtoto ambae sio wangu, nlimwambia aende sehem yoyote akashitaki mimi nipo tayari kujibu mashtaka, akawa anatishia kuja kumtelekeza mtoto kazini kwangu , nikamruhusu aje amtelekeze, lakn mpaka sasa hajadiliki kufanya chochote. Kwa idadi ya pesa nlizotoa ustawi inafika Laki mbili 200,000/= hapo nimetosha na staki kuingia gharama nyingine zaid kusaidia kumlelea jamaa mwingne.
 
kuna ex wangu naona anataka kuleta mazoea ananieleza shida ambazo intakiwa baba watoto aliozaa nao ndo awaelezee hawa viumbe bhanaa... mtu umezaa na wanaume wawili unakosa hata hela ya gas sijui umeme daah.

Wanawake hakili zao wanazjua wenyewe.
 
Wanawake hakili zao wanazjua wenyewe.
Sidhani hapa ni tatizo la mwanamke. Sana sana huyo mwanamke nitasema ana akili sana. Alikusoma kwa muda mfupi sana akagundua wewe ni bwege ndiyo maana akakusakizia. Kama wewe siyo bwege sema ulikubalije kutoa matumizi wakati ni miezi sita tu ilikuwa imepita tangu mlale wote? Hukuhoji hili? Kwanza hata huko kwenda kwa afisa ustawi wa jamii kunaonyesha ulivyo. Hivi kweli inaingia akilini mwanamke azae mtoto wa kawaida baada ya miezi sita tu?
 
Ndo hivo sasa, aliniendesha sana alijua siwez kuruka kwenye mtego wake, sasa nimeshamweleza target yake yote aliyokua ameiweka na sahv ameshatulia hanisumbui tena
 
Katika pitapita zetu kwenye harakati za kumwagilia moyo, nikipita kwenye bar fulani nikawa nimemuelewa muhudumu mmoja, tukaelewana tukabadilishana namba, nikamuomba kulala naye usiku huo akakubali kwa mapatano ya kumlipa posho.

Muda ulipofika tukaenda kufanya yetu. Tulipofika chumbani alipovua, niliona dalili kama ana mimba maana alikua na tumbo kubwa na alikua anatema mate kila mala. Japokua nilikua na pombe kichwani lakini niliweza kutambua hilo.

Tumefanya yetu pakakucha, asubuhi nikampa chake kila mtu akaendelea na ratiba za maisha yake.
Baada ya miezi 6 iliingia namba mpya ikinipigia kwenye simu yangu, kupokea nikaskia sauti ya kike inaniuliza kuwa, “Lini utakuja kumuona mwanao?“

Nilipingwa na butwaa nikamuulize “Wewe ni nani?“ Akajitambulisha kiundani zaidi nikawa nimemkubuka, nikaamuliza, “Unataka nije kumuona mwanangu yupi?” Akasema hujui kama siku tupolala wote ulinipa mimba na tayari nimeshajifungua mtoto wa kike?

Nlistaajabu sana nikawa nimemkatalia kuwa mimi siwezi kuwa baba wa huyo mtoto maana hata siku hiyo tunalala wote ulikuwa una dalili zote za kuwa na mimba tayari, mawasliano yakawa yameishia hapo.

Baada ya week 1 tangu anipigie kuhusu taarifa ya kunibambikia mimba, ghafla nikapigiwa na namba Afisa Ustawi wa Jamii kuwa nahitajika ofisini. Nikaenda kusikiliza, nikahojiwa kama namfahamu huyo dada nikakubali kuwa namfahamu lakini nilipinga kuwa huyo mtoto sio wangu.

Afisa Ustawi akanishauri sana kuhusu matumizi madogo madogo ya mtoto nikakubari kuwa ntakuwa natuma pesa ya matumizi madogo madogo.

Kadri siku zinavyozidi kwenda naona kama inazidi kuwa kero, yule dada mhudumu wa bar anakuwa ananipigia mpaka saa 5 usiku, nikiwa nimelala anatuma mesej za ajabu, anakuja ofsini ninapofanyia kazi bila taarifa, yaani inakuwa ni vurugu.

Na nikiamuaria yule mtoto na muda tuliosex na mama yake na umri alionao yule mtoto ni tofauti kabisa, nahisi nimepigwa na kitu kizito kwasababu hata kusema kufanana hajafanana na mimi hata kidogo.

Naombeni ushauri wenu wana JF, nifanye nini ili kuondokana na hili tatizo la huyu dada mhuni?
Mimba gani mtu anajifungua baada ya miezi sita? hapo umepigwa na kitu kizito omba DNA ukipata majibu ndio utajua uchukue hatua ipi.
 
Hao madem wa kuokoteza wasijue unakofanyia kazi aisee.. I mean hauko committed na mtu, why ajue vitu vingi kukuhusu?

Kwanza hata hawatakiwi kujua unapoishi.

Kama mlisex then after 6 month akwambie kajifungua, huyo mtoto ni njiti au?
Tatizo dogo aliingia na gia kubwa sana kwa Malaya,hadi katoa code zake zote za Maisha kwa huyo Malaya, ndiyo maana Malaya akamuweka kwenye target,dogo hachomoki ndiyo Kesha nasa!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom