Kennedy
Platinum Member
- Dec 28, 2011
- 59,055
- 69,471
Ana Shida Huyo Mlowekaji Kaponzwa Na Kojolea NdaniSasa umekataa mimba , tena mbele ya afisa ustawi. Ikawaje tena ukaanza kutoa tumizi?
Ana Shida Huyo Mlowekaji Kaponzwa Na Kojolea NdaniSasa umekataa mimba , tena mbele ya afisa ustawi. Ikawaje tena ukaanza kutoa tumizi?
Uliloweka NdaniWala sijui alipajuaje wala alielekezwa na nan![]()
Hivi hii kisheria inakaaje,umelea Mtoto ukasomesha hadi secondary, baada ya Mtoto kumaliza shule ndiyo mama wa Mtoto ana kuchana live kua Mtoto siyo wa kwako,na Baba wa Mtoto kaonekana!!??Mkuu ulivyokula monde ukalewa ukaamua kumzagamua barmaid pekupeku?! una roho ngumu sana kijana huo ujasiri mi sina.
Keshakuzidi kete huyo ndo maana anakufanyia ujambazi wa kiuchumi.
Ulikosea siku ya kwanza anakuinform huo ujinga ulitakiwa umpe makavu live mbele ya huyo afisa ustawi. Ungevaa sura ya kazi asingeendelea na hizo sarakasi.
Kwanza on spot ungeomba kadi la clinic na cheti cha kuzaliwa ili kulinganisha uhalali wa siku ya kuzaliwa, tarehe ya mwisho mlivyokulana na ubini wa huyo mtoto.
Ikiwa ataendelea kuzingua, pelekaneni mahakamani mpate kibali cha DNA test. Bora ugharimikie kipimo kuliko kuhangaika matunzo tangu utotoni, elimu then mwisho wa siku mtoto akiwa mkubwa mama yake atamchana kuwa wewe sio biological father above all those commitments.
Hutakiwi kuwa na hurumakuna ex wangu naona anataka kuleta mazoea ananieleza shida ambazo intakiwa baba watoto aliozaa nao ndo awaelezee hawa viumbe bhanaa... mtu umezaa na wanaume wawili unakosa hata hela ya gas sijui umeme daah.
Mwambie nataka nikampime mtoto DNA, alaf msikilize, hakuna mimba ya miezi 6. Kwanza ulikubalije kutoa matumizi wakati unafahamu kabisa imepita miezi 6?Katika pitapita zetu kwenye harakati za kumwagilia moyo, nikipita kwenye bar fulani nikawa nimemuelewa muhudumu mmoja, tukaelewana tukabadilishana namba, nikamuomba kulala naye usiku huo akakubali kwa mapatano ya kumlipa posho.
Muda ulipofika tukaenda kufanya yetu. Tulipofika chumbani alipovua, niliona dalili kama ana mimba maana alikua na tumbo kubwa na alikua anatema mate kila mala. Japokua nilikua na pombe kichwani lakini niliweza kutambua hilo.
Tumefanya yetu pakakucha, asubuhi nikampa chake kila mtu akaendelea na ratiba za maisha yake.
Baada ya miezi 6 iliingia namba mpya ikinipigia kwenye simu yangu, kupokea nikaskia sauti ya kike inaniuliza kuwa, “Lini utakuja kumuona mwanao?“
Nilipingwa na butwaa nikamuulize “Wewe ni nani?“ Akajitambulisha kiundani zaidi nikawa nimemkubuka, nikaamuliza, “Unataka nije kumuona mwanangu yupi?” Akasema hujui kama siku tupolala wote ulinipa mimba na tayari nimeshajifungua mtoto wa kike?
Nlistaajabu sana nikawa nimemkatalia kuwa mimi siwezi kuwa baba wa huyo mtoto maana hata siku hiyo tunalala wote ulikuwa una dalili zote za kuwa na mimba tayari, mawasliano yakawa yameishia hapo.
Baada ya week 1 tangu anipigie kuhusu taarifa ya kunibambikia mimba, ghafla nikapigiwa na namba Afisa Ustawi wa Jamii kuwa nahitajika ofisini. Nikaenda kusikiliza, nikahojiwa kama namfahamu huyo dada nikakubali kuwa namfahamu lakini nilipinga kuwa huyo mtoto sio wangu.
Afisa Ustawi akanishauri sana kuhusu matumizi madogo madogo ya mtoto nikakubari kuwa ntakuwa natuma pesa ya matumizi madogo madogo.
Kadri siku zinavyozidi kwenda naona kama inazidi kuwa kero, yule dada mhudumu wa bar anakuwa ananipigia mpaka saa 5 usiku, nikiwa nimelala anatuma mesej za ajabu, anakuja ofsini ninapofanyia kazi bila taarifa, yaani inakuwa ni vurugu.
Na nikiamuaria yule mtoto na muda tuliosex na mama yake na umri alionao yule mtoto ni tofauti kabisa, nahisi nimepigwa na kitu kizito kwasababu hata kusema kufanana hajafanana na mimi hata kidogo.
Naombeni ushauri wenu wana JF, nifanye nini ili kuondokana na hili tatizo la huyu dada mhuni?
kuna watu wana upwiru wew..Hizi ni stori za kutunga, alafu mwanaume una roho ngumu kwamba tumbo kubwa na alikuwa anatema mate balaa lkn bado ukawa na hamu tu ya kusex naye!
Mchagua Jembe si Mkulima,ni sawasawa na kusema mchagua K si,,,,,,,,,,,,,!? Malizia wwe hiyo!!Watu wana Roho ngumu aseeeeee...... Mtu unamokota tu unauza Mechi uhurumii hata Afya yako
Huyo inaonekana alikupumbaza na madawa kashaona madawa yake yameisha nguvu na wewe umeshashtuka, ndiyo maana katulia, ukiona mwamke anakutesa sana ujue kuna kitu ana kitegemea sana sana madawaNdo hivo sasa, aliniendesha sana alijua siwez kuruka kwenye mtego wake, sasa nimeshamweleza target yake yote aliyokua ameiweka na sahv ameshatulia hanisumbui tena
Huyo inaonekana alikupumbaza na madawa kashaona madawa yake yameisha nguvu na wewe umeshashtuka, ndiyo maana katulia, ukiona mwamke anakutesa sana ujue kuna kitu ana kitegemea sana sana madawa
lazima akae kimya kashaona umejua ukweri lazima aishiwe nguvuYaweza kuwa ni kwel coz Tangu nimueleze kila kitu alikaa kmia mpaka sasa hajawahi nisumbua tena
lazima akae kimya kashaona umejua ukweri lazima aishiwe nguvuYaweza kuwa ni kwel coz Tangu nimueleze kila kitu alikaa kmia mpaka sasa hajawahi nisumbua tena
Nadhani hujaelewa nilichokiandikaMchagua Jembe si Mkulima,ni sawasawa na kusema mchagua K si,,,,,,,,,,,,,!? Malizia wwe hiyo!!
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app