iamriq_arthur
JF-Expert Member
- May 1, 2021
- 452
- 1,131
- Thread starter
- #121
Yawezekana tayari ni wana UKIMWI
KiAfya niko njema kabsa sina malaria wala ukimwi wala Kaswende.
Yawezekana tayari ni wana UKIMWI
Uwe makini next time usifanye upuuzi kama huo nduguKiAfya niko njema kabsa sina malaria wala ukimwi wala Kaswende.
Wew hujui kutoa ushauri, mim pia najutia maamuzi niliyoyachukua ya kulana na barmaid bila condom that’s why nmekuja jf kuomba ushauri, hapa dunian hakuna mtu mkamirifu
Sasa huyu ndio sampuli ya wanaume washamba, dunia hii unabambikiwaje mimba km umesoma hata kidogo!?Kuna uzi unatukanya juu ya wanawake washamba, wakuu nadhani tupate mfano hapa.
Ila Bro anza na kadi ya clinic, Kadi ya mtoto ndio uende kwenye DNA. Ukipewa kadi za huyo dada zichukue nenda kahakiki na kadi ya hospitali lazima kuna kamchanganyo utakapata tu. Ukikosa nenda kwa DNA sasa.
Ukimaliza hapo sasa nitakushauri namna ya kwenda mpeleka Mahakamani, hawezi taka kujinufaisha kirahisi rahisi hivyo akaachwa.
Inawezekana 100% ila kutokujua apate vipi uhakika wa mtoto kuwa wake ndio tatizo lilipo.Sasa huyu ndio sampuli ya wanaume washamba, dunia hii unabambikiwaje mimba km umesoma hata kidogo!?
Kwahiyo Blaza ulipiga Muhudumu nyama nyama..kweli wewe ni shujaaaKatika pitapita zetu kwenye harakati za kumwagilia moyo, nikipita kwenye bar fulani nikawa nimemuelewa muhudumu mmoja, tukaelewana tukabadilishana namba, nikamuomba kulala naye usiku huo akakubali kwa mapatano ya kumlipa posho.
Muda ulipofika tukaenda kufanya yetu. Tulipofika chumbani alipovua, niliona dalili kama ana mimba maana alikua na tumbo kubwa na alikua anatema mate kila mala. Japokua nilikua na pombe kichwani lakini niliweza kutambua hilo.
Tumefanya yetu pakakucha, asubuhi nikampa chake kila mtu akaendelea na ratiba za maisha yake.
Baada ya miezi 6 iliingia namba mpya ikinipigia kwenye simu yangu, kupokea nikaskia sauti ya kike inaniuliza kuwa, “Lini utakuja kumuona mwanao?“
Nilipingwa na butwaa nikamuulize “Wewe ni nani?“ Akajitambulisha kiundani zaidi nikawa nimemkubuka, nikaamuliza, “Unataka nije kumuona mwanangu yupi?” Akasema hujui kama siku tupolala wote ulinipa mimba na tayari nimeshajifungua mtoto wa kike?
Nlistaajabu sana nikawa nimemkatalia kuwa mimi siwezi kuwa baba wa huyo mtoto maana hata siku hiyo tunalala wote ulikuwa una dalili zote za kuwa na mimba tayari, mawasliano yakawa yameishia hapo.
Baada ya week 1 tangu anipigie kuhusu taarifa ya kunibambikia mimba, ghafla nikapigiwa na namba Afisa Ustawi wa Jamii kuwa nahitajika ofisini. Nikaenda kusikiliza, nikahojiwa kama namfahamu huyo dada nikakubali kuwa namfahamu lakini nilipinga kuwa huyo mtoto sio wangu.
Afisa Ustawi akanishauri sana kuhusu matumizi madogo madogo ya mtoto nikakubari kuwa ntakuwa natuma pesa ya matumizi madogo madogo.
Kadri siku zinavyozidi kwenda naona kama inazidi kuwa kero, yule dada mhudumu wa bar anakuwa ananipigia mpaka saa 5 usiku, nikiwa nimelala anatuma mesej za ajabu, anakuja ofsini ninapofanyia kazi bila taarifa, yaani inakuwa ni vurugu.
Na nikiamuaria yule mtoto na muda tuliosex na mama yake na umri alionao yule mtoto ni tofauti kabisa, nahisi nimepigwa na kitu kizito kwasababu hata kusema kufanana hajafanana na mimi hata kidogo.
Naombeni ushauri wenu wana JF, nifanye nini ili kuondokana na hili tatizo la huyu dada mhuni?
DNAKatika pitapita zetu kwenye harakati za kumwagilia moyo, nikipita kwenye bar fulani nikawa nimemuelewa muhudumu mmoja, tukaelewana tukabadilishana namba, nikamuomba kulala naye usiku huo akakubali kwa mapatano ya kumlipa posho.
Muda ulipofika tukaenda kufanya yetu. Tulipofika chumbani alipovua, niliona dalili kama ana mimba maana alikua na tumbo kubwa na alikua anatema mate kila mala. Japokua nilikua na pombe kichwani lakini niliweza kutambua hilo.
Tumefanya yetu pakakucha, asubuhi nikampa chake kila mtu akaendelea na ratiba za maisha yake.
Baada ya miezi 6 iliingia namba mpya ikinipigia kwenye simu yangu, kupokea nikaskia sauti ya kike inaniuliza kuwa, “Lini utakuja kumuona mwanao?“
Nilipingwa na butwaa nikamuulize “Wewe ni nani?“ Akajitambulisha kiundani zaidi nikawa nimemkubuka, nikaamuliza, “Unataka nije kumuona mwanangu yupi?” Akasema hujui kama siku tupolala wote ulinipa mimba na tayari nimeshajifungua mtoto wa kike?
Nlistaajabu sana nikawa nimemkatalia kuwa mimi siwezi kuwa baba wa huyo mtoto maana hata siku hiyo tunalala wote ulikuwa una dalili zote za kuwa na mimba tayari, mawasliano yakawa yameishia hapo.
Baada ya week 1 tangu anipigie kuhusu taarifa ya kunibambikia mimba, ghafla nikapigiwa na namba Afisa Ustawi wa Jamii kuwa nahitajika ofisini. Nikaenda kusikiliza, nikahojiwa kama namfahamu huyo dada nikakubali kuwa namfahamu lakini nilipinga kuwa huyo mtoto sio wangu.
Afisa Ustawi akanishauri sana kuhusu matumizi madogo madogo ya mtoto nikakubari kuwa ntakuwa natuma pesa ya matumizi madogo madogo.
Kadri siku zinavyozidi kwenda naona kama inazidi kuwa kero, yule dada mhudumu wa bar anakuwa ananipigia mpaka saa 5 usiku, nikiwa nimelala anatuma mesej za ajabu, anakuja ofsini ninapofanyia kazi bila taarifa, yaani inakuwa ni vurugu.
Na nikiamuaria yule mtoto na muda tuliosex na mama yake na umri alionao yule mtoto ni tofauti kabisa, nahisi nimepigwa na kitu kizito kwasababu hata kusema kufanana hajafanana na mimi hata kidogo.
Naombeni ushauri wenu wana JF, nifanye nini ili kuondokana na hili tatizo la huyu dada mhuni?
Dah! Ila hii ndio baba laoNinaposema fikishaneni polisi namaanisha mpe kichapo hata mara moja, asikuzoee.
Huko polisi mtajua namna ya kumalizana.
Ukiwa mpole mpole utakwisha
😂😂😂Hao madem wa kuokoteza wasijue unakofanyia kazi aisee.. I mean hauko committed na mtu, why ajue vitu vingi kukuhusu?
Kwanza hata hawatakiwi kujua unapoishi.
Kama mlisex then after 6 month akwambie kajifungua, huyo mtoto ni njiti au?
Hao madem wa kuokoteza wasijue unakofanyia kazi aisee.. I mean hauko committed na mtu, why ajue vitu vingi kukuhusu?
Kwanza hata hawatakiwi kujua unapoishi.
Kama mlisex then after 6 month akwambie kajifungua, huyo mtoto ni njiti au?
Unagonga bar maid bila kinga!Katika pitapita zetu kwenye harakati za kumwagilia moyo, nikipita kwenye bar fulani nikawa nimemuelewa muhudumu mmoja, tukaelewana tukabadilishana namba, nikamuomba kulala naye usiku huo akakubali kwa mapatano ya kumlipa posho.
Muda ulipofika tukaenda kufanya yetu. Tulipofika chumbani alipovua, niliona dalili kama ana mimba maana alikua na tumbo kubwa na alikua anatema mate kila mala. Japokua nilikua na pombe kichwani lakini niliweza kutambua hilo.
Tumefanya yetu pakakucha, asubuhi nikampa chake kila mtu akaendelea na ratiba za maisha yake.
Baada ya miezi 6 iliingia namba mpya ikinipigia kwenye simu yangu, kupokea nikaskia sauti ya kike inaniuliza kuwa, “Lini utakuja kumuona mwanao?“
Nilipingwa na butwaa nikamuulize “Wewe ni nani?“ Akajitambulisha kiundani zaidi nikawa nimemkubuka, nikaamuliza, “Unataka nije kumuona mwanangu yupi?” Akasema hujui kama siku tupolala wote ulinipa mimba na tayari nimeshajifungua mtoto wa kike?
Nlistaajabu sana nikawa nimemkatalia kuwa mimi siwezi kuwa baba wa huyo mtoto maana hata siku hiyo tunalala wote ulikuwa una dalili zote za kuwa na mimba tayari, mawasliano yakawa yameishia hapo.
Baada ya week 1 tangu anipigie kuhusu taarifa ya kunibambikia mimba, ghafla nikapigiwa na namba Afisa Ustawi wa Jamii kuwa nahitajika ofisini. Nikaenda kusikiliza, nikahojiwa kama namfahamu huyo dada nikakubali kuwa namfahamu lakini nilipinga kuwa huyo mtoto sio wangu.
Afisa Ustawi akanishauri sana kuhusu matumizi madogo madogo ya mtoto nikakubari kuwa ntakuwa natuma pesa ya matumizi madogo madogo.
Kadri siku zinavyozidi kwenda naona kama inazidi kuwa kero, yule dada mhudumu wa bar anakuwa ananipigia mpaka saa 5 usiku, nikiwa nimelala anatuma mesej za ajabu, anakuja ofsini ninapofanyia kazi bila taarifa, yaani inakuwa ni vurugu.
Na nikiamuaria yule mtoto na muda tuliosex na mama yake na umri alionao yule mtoto ni tofauti kabisa, nahisi nimepigwa na kitu kizito kwasababu hata kusema kufanana hajafanana na mimi hata kidogo.
Naombeni ushauri wenu wana JF, nifanye nini ili kuondokana na hili tatizo la huyu dada mhuni?
DNA hadi uanzie Ustawi, Mahakamani afu Kwa Mkemia MkuuKapime DNA ila usimwambie kituo ambacho unaenda kupima.
Ogopa matapeli