Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,283
- 108,290
Hauwezi kuwa serious, tena ukome
Imekuaje tena, mbona unamfokea hivyo?
Hauwezi kuwa serious, tena ukome
Yan anatudanganye hivyo kirahisi? Eti hakumpeleka huyo manzi kazini kwake na hajui kapajuajeImekuaje tena, mbona unamfokea hivyo?
Kwanini? We huwezi tuambia hujui manzi kajuaje kaziniWe ni mwanamke hata sioni ajabu![]()
Ila Kuna wanaume maboya, mazwazwa, majinga, mbwaaa mafala ,mazobaaa .Katika pitapita zetu kwenye harakati za kumwagilia moyo, nikipita kwenye bar fulani nikawa nimemuelewa muhudumu mmoja, tukaelewana tukabadilishana namba, nikamuomba kulala naye usiku huo akakubali kwa mapatano ya kumlipa posho.
Muda ulipofika tukaenda kufanya yetu. Tulipofika chumbani alipovua, niliona dalili kama ana mimba maana alikua na tumbo kubwa na alikua anatema mate kila mala. Japokua nilikua na pombe kichwani lakini niliweza kutambua hilo.
Tumefanya yetu pakakucha, asubuhi nikampa chake kila mtu akaendelea na ratiba za maisha yake.
Baada ya miezi 6 iliingia namba mpya ikinipigia kwenye simu yangu, kupokea nikaskia sauti ya kike inaniuliza kuwa, “Lini utakuja kumuona mwanao?“
Nilipingwa na butwaa nikamuulize “Wewe ni nani?“ Akajitambulisha kiundani zaidi nikawa nimemkubuka, nikaamuliza, “Unataka nije kumuona mwanangu yupi?” Akasema hujui kama siku tupolala wote ulinipa mimba na tayari nimeshajifungua mtoto wa kike?
Nlistaajabu sana nikawa nimemkatalia kuwa mimi siwezi kuwa baba wa huyo mtoto maana hata siku hiyo tunalala wote ulikuwa una dalili zote za kuwa na mimba tayari, mawasliano yakawa yameishia hapo.
Baada ya week 1 tangu anipigie kuhusu taarifa ya kunibambikia mimba, ghafla nikapigiwa na namba Afisa Ustawi wa Jamii kuwa nahitajika ofisini. Nikaenda kusikiliza, nikahojiwa kama namfahamu huyo dada nikakubali kuwa namfahamu lakini nilipinga kuwa huyo mtoto sio wangu.
Afisa Ustawi akanishauri sana kuhusu matumizi madogo madogo ya mtoto nikakubari kuwa ntakuwa natuma pesa ya matumizi madogo madogo.
Kadri siku zinavyozidi kwenda naona kama inazidi kuwa kero, yule dada mhudumu wa bar anakuwa ananipigia mpaka saa 5 usiku, nikiwa nimelala anatuma mesej za ajabu, anakuja ofsini ninapofanyia kazi bila taarifa, yaani inakuwa ni vurugu.
Na nikiamuaria yule mtoto na muda tuliosex na mama yake na umri alionao yule mtoto ni tofauti kabisa, nahisi nimepigwa na kitu kizito kwasababu hata kusema kufanana hajafanana na mimi hata kidogo.
Naombeni ushauri wenu wana JF, nifanye nini ili kuondokana na hili tatizo la huyu dada mhuni?
Yaan wewe ndo hujajua kumuweka kitimoto na huyo ustawi wa jamii wake,Yan me nmesex nae, Ndan ya miezi sita mtoto amezaliwa na ameshakua, tulipokutana alijua nmelewa na nlkua najielewa kabsa japo yeye ndo alinihudumia bia na nlizilipia zote, tulipofika chumban alipovua nguo nlioa tumbo kubwa la mimba na kuna baadhi ya style alikua hawezi kukaa nikimgeuza anakua mvivu, naamini nimepigwa na kitu kizito. Nasubiri mwisho wa mwezi huu akipiga siku kuhusu kumtumia hela sipokei na simtumii pesa yoyote, liwalo na lile,
![]()
Pole ila haupo makini mtoto wa miezi sita ukakubali kutoa matumizi ungekataa
KAPIME DNAKatika pitapita zetu kwenye harakati za kumwagilia moyo, nikipita kwenye bar fulani nikawa nimemuelewa muhudumu mmoja, tukaelewana tukabadilishana namba, nikamuomba kulala naye usiku huo akakubali kwa mapatano ya kumlipa posho.
Muda ulipofika tukaenda kufanya yetu. Tulipofika chumbani alipovua, niliona dalili kama ana mimba maana alikua na tumbo kubwa na alikua anatema mate kila mala. Japokua nilikua na pombe kichwani lakini niliweza kutambua hilo.
Tumefanya yetu pakakucha, asubuhi nikampa chake kila mtu akaendelea na ratiba za maisha yake.
Baada ya miezi 6 iliingia namba mpya ikinipigia kwenye simu yangu, kupokea nikaskia sauti ya kike inaniuliza kuwa, “Lini utakuja kumuona mwanao?“
Nilipingwa na butwaa nikamuulize “Wewe ni nani?“ Akajitambulisha kiundani zaidi nikawa nimemkubuka, nikaamuliza, “Unataka nije kumuona mwanangu yupi?” Akasema hujui kama siku tupolala wote ulinipa mimba na tayari nimeshajifungua mtoto wa kike?
Nlistaajabu sana nikawa nimemkatalia kuwa mimi siwezi kuwa baba wa huyo mtoto maana hata siku hiyo tunalala wote ulikuwa una dalili zote za kuwa na mimba tayari, mawasliano yakawa yameishia hapo.
Baada ya week 1 tangu anipigie kuhusu taarifa ya kunibambikia mimba, ghafla nikapigiwa na namba Afisa Ustawi wa Jamii kuwa nahitajika ofisini. Nikaenda kusikiliza, nikahojiwa kama namfahamu huyo dada nikakubali kuwa namfahamu lakini nilipinga kuwa huyo mtoto sio wangu.
Afisa Ustawi akanishauri sana kuhusu matumizi madogo madogo ya mtoto nikakubari kuwa ntakuwa natuma pesa ya matumizi madogo madogo.
Kadri siku zinavyozidi kwenda naona kama inazidi kuwa kero, yule dada mhudumu wa bar anakuwa ananipigia mpaka saa 5 usiku, nikiwa nimelala anatuma mesej za ajabu, anakuja ofsini ninapofanyia kazi bila taarifa, yaani inakuwa ni vurugu.
Na nikiamuaria yule mtoto na muda tuliosex na mama yake na umri alionao yule mtoto ni tofauti kabisa, nahisi nimepigwa na kitu kizito kwasababu hata kusema kufanana hajafanana na mimi hata kidogo.
Naombeni ushauri wenu wana JF, nifanye nini ili kuondokana na hili tatizo la huyu dada mhuni?
Ndomu hamnaga?Katika pitapita zetu kwenye harakati za kumwagilia moyo, nikipita kwenye bar fulani nikawa nimemuelewa muhudumu mmoja, tukaelewana tukabadilishana namba, nikamuomba kulala naye usiku huo akakubali kwa mapatano ya kumlipa posho.
Muda ulipofika tukaenda kufanya yetu. Tulipofika chumbani alipovua, niliona dalili kama ana mimba maana alikua na tumbo kubwa na alikua anatema mate kila mala. Japokua nilikua na pombe kichwani lakini niliweza kutambua hilo.
Tumefanya yetu pakakucha, asubuhi nikampa chake kila mtu akaendelea na ratiba za maisha yake.
Baada ya miezi 6 iliingia namba mpya ikinipigia kwenye simu yangu, kupokea nikaskia sauti ya kike inaniuliza kuwa, “Lini utakuja kumuona mwanao?“
Nilipingwa na butwaa nikamuulize “Wewe ni nani?“ Akajitambulisha kiundani zaidi nikawa nimemkubuka, nikaamuliza, “Unataka nije kumuona mwanangu yupi?” Akasema hujui kama siku tupolala wote ulinipa mimba na tayari nimeshajifungua mtoto wa kike?
Nlistaajabu sana nikawa nimemkatalia kuwa mimi siwezi kuwa baba wa huyo mtoto maana hata siku hiyo tunalala wote ulikuwa una dalili zote za kuwa na mimba tayari, mawasliano yakawa yameishia hapo.
Baada ya week 1 tangu anipigie kuhusu taarifa ya kunibambikia mimba, ghafla nikapigiwa na namba Afisa Ustawi wa Jamii kuwa nahitajika ofisini. Nikaenda kusikiliza, nikahojiwa kama namfahamu huyo dada nikakubali kuwa namfahamu lakini nilipinga kuwa huyo mtoto sio wangu.
Afisa Ustawi akanishauri sana kuhusu matumizi madogo madogo ya mtoto nikakubari kuwa ntakuwa natuma pesa ya matumizi madogo madogo.
Kadri siku zinavyozidi kwenda naona kama inazidi kuwa kero, yule dada mhudumu wa bar anakuwa ananipigia mpaka saa 5 usiku, nikiwa nimelala anatuma mesej za ajabu, anakuja ofsini ninapofanyia kazi bila taarifa, yaani inakuwa ni vurugu.
Na nikiamuaria yule mtoto na muda tuliosex na mama yake na umri alionao yule mtoto ni tofauti kabisa, nahisi nimepigwa na kitu kizito kwasababu hata kusema kufanana hajafanana na mimi hata kidogo.
Naombeni ushauri wenu wana JF, nifanye nini ili kuondokana na hili tatizo la huyu dada mhuni?
Ujinga anao mwingiSasa umekataa mimba , tena mbele ya afisa ustawi. Ikawaje tena ukaanza kutoa tumizi?
Kapime DNANlikubali kutoa tumizi kama support tu kwa mtu ninaemfaham ,lakn kumbe huruma yangu ya kutoa tumizi ndo inataka kuniangamiza aseeh, naombeni ushauri na mbinu ya kuliepuka hili swala linataka kunielemea.
Huyu jamaa ni mtu wa hovyo hovyo asiye na akili!! Miezi 6 mru kajifungua alafu anakubali kutoa matumizi?!Hao madem wa kuokoteza wasijue unakofanyia kazi aisee.. I mean hauko committed na mtu, why ajue vitu vingi kukuhusu?
Kwanza hata hawatakiwi kujua unapoishi.
Kama mlisex then after 6 month akwambie kajifungua, huyo mtoto ni njiti au?
Maafisa ustawi ndo majizi acha ujinga wewe fanya shughuli zako akileta ujinga mtie makofiNikiwahi kumwambia Afsa ustawi kuhusu kuomba appointment ya DNATEST , baada ya siku ya DNA
TEST kufika ili twende tukatoe samples , Afsa ustawi akawa amepata emergency ya kikazi 🥹.
Wewe ni mjinga unatoaje matumizi kwa mtoto asiye kuhusu?Nlikubali kutoa tumizi kama support tu kwa mtu ninaemfaham ,lakn kumbe huruma yangu ya kutoa tumizi ndo inataka kuniangamiza aseeh, naombeni ushauri na mbinu ya kuliepuka hili swala linataka kunielemea.