Kushuka kwa shilingi ya Tanzania

Kushuka kwa shilingi ya Tanzania

Afadhali wakati wa utawala ya Awamu ya tano shillingi imeimarika (stable) kuliko tawala zilizopita. Sasa hivi shillingi yetu inabadilishwa kwa 2300 kwa muda mrefu kama miezi saba kinyume na zamani.
Awamu ya nne dola1 ilikua inabadilishwa mpaka kwa shilingi 2,500/- na sukari kilo moja ilifikia mpaka shilingi 5,000/- ila serikali sikivu ya awamu ya 5 inayowajali raia zake imedhibiti ongezeko la bei holela.
 
Tumeshindwa kupeleka watoto shule kangombacalikuwa mwokozi wetu
Makagomba ilikua mijizi na minyonyaji, miaka yote wakulima wa korosho walikua hapati stahiki yao ya haki kutokana unyonyaji unaofanywa na hao wahuni, lakini awamu hii wakulima wamefurahia jasho lao, wamejenga majumba, wamenunua magali na pia wengine akiwemo babu yangu Asprin wameongeza mpaka wake kutokana na kupata stahiki yao halili sio ule unyonyaji waliokua wanadhulimiwa na Makagomba.
 
Makagomba ilikua mijizi na minyonyaji, miaka yote wakulima wa korosho walikua hapati stahiki yao ya haki kutokana unyonyaji unaofanywa na hao wahuni, lakini awamu hii wakulima wamefurahia jasho lao, wamejenga majumba, wamenunua magali na pia wengine akiwemo babu yangu Asprin wameongeza mpaka wake kutokana na kupata stahiki yao halili sio ule unyonyaji waliokua wanadhulimiwa na Makagomba.
Huku kanisani kwetu Asprin ana mke mmoja tu anaejulikana.

Swala la kudhibiti kangomba mjifunze kwanza uendeshaji wao wa biashara lakini mlirukia train kwa mbele ili mji mwambafay sasa wanaoteseka ni wakulima.
 
Huku kanisani kwetu Asprin aba mke mmoja tu anaejulikana.
Swala la kudhibiti kangomba mjifunze kwanza uendeshaji wao wa biashara lakini mlirukia Trent kwa mbele ili mji mwambafay sasa wanaoteseka ni wakulima.
Wakulima wote wa korosho wanatembea vifua mbereee, makagomba ndio imekua mijitu ya kupiga makelele kwenye mitandao ila yakiambiwa yaende yakaonyeshe mashamba yao yanakua mapole.
Hakika wakulima wote wa kusini wameona manufaa ya serikali yao, na pia wamekubaliana kwa pamoja kuipa ushindi wa kishindo serikali yetu katika uchaguzi unaokuja.
 
Tuendelee kuiamini Serikali ya awamu ya tano. Serikali hii imetuletea ukombozi kwa mambo mengi.
 
Wakati tunaadhimisha Kumbukumbu ya kifo cha Baba wa Taifa ni juhudi zipi zifanyike ili kuirudisha shilingi yetu kama ilivyokuwa 1966-1972?

Ili iweje?

Usisahau kutuwekea na kipato cha Mtanzania kilikuwa ngapi miaka hiyo.

Pia usisahau kutuwekea uwiano wa umri wa kuishi Mtanzania ulikuwa upi?
 
HISTORIA YA KUPOROMOKA KWA SHILINGI YETU DHIDI YA DOLA TANGU

1966-1972) 1USD = 5 TZS,
1973-1975) 1 USD =7 TZS,
1976 - 1 USD =12 TZS
1977 - 1 USD =12 TZS
1978-82 - 1 USD = 20TZS
1983 - 1 USD = 22 TZS
1984 - 1 USD = 23TZS
1985 - 1 USD = 102 TZS
1986 - 1 USD = 205 TZS
1987 - 1 USD = 207 TZS
1988 - 1 USD = 220 TZS
1989 - 1 USD = 226 TZS 1990 - 1 USD = 265 TZS
1991 - 1 USD = 300 TZS
1992 - 1 USD = 385 TZS 1993 - 1 USD = 434 TZS
1994 - 1 USD = 465 TZS
1995 - 1 USD = 500 TZS
1996 - 1 USD = 580 TZS
1997 - 1 USD = 665 TZS
1998 - 1 USD = 720 TZS
1999 - 1 USD = 800 TZS
2000 - 1 USD = 820 TZS
2001 - 1 USD = 880 TZS
2002 - 1 USD = 900 TZS
2003 - 1 USD = 900 TZS
2004 - 1 USD = 910 TZS
2005 - 1 USD = 1050 TZS
2006 - 1 USD = 1100 TZS
2007 - 1 USD = 1150 TZS
2008 - 1 USD = 1200 TZS
2009 - 1 USD = 1250 TZS
2010 - 1 USD = 1260 TZS
2011 - 1 USD = 1300 TZS
2012 - 1 USD =1450 TZS
2013 - 1 USD =1620 TZS
2014 - 1USD = 1650 TZS
2015 - 1USD = 2210TZS
2016 - 1 USD = 2200TZS
2019 - 1 USD = 2300TZS

Wakati tunaadhimisha Kumbukumbu ya kifo cha Baba wa Taifa ni juhudi zipi zifanyike ili kuirudisha shilingi yetu kama ilivyokuwa 1966-1972?
Hapa inabid mkuu wa nchi atupe majibu kwa nn uchumi wa nchi unakua na thamani ya pesa yetu inashuka?
 
Back
Top Bottom