Kushindwa kwako kuna siri ndani yake

Kushindwa kwako kuna siri ndani yake

Jr ametumia indirect image(metaphor)kufkisha meseji.kiukweli yako mambo mengi yanayoyurudisha hatua nyingi nyuma sio lazima fikra hasi hata familia yako au mke wako au rfiki zako wanaweza kukushikia chini hata kama unapenda mafanikio utabaki kuyaskia tu!me kuna mtu ashaniambia mara ndugu yako wa kike anakuchezea ila sbb me mshirika au mfuasi wa uchawi huwa siamini kitu ingawa naamini upo uchawi.Ila kwa kipindi km hiki nachopitia ningeweza kuamini nafanyiwa foul ila napotezea
Slogan ya JF iko very clear. ...A home of great thinkers...sasa saa nyingine inakuwa nguvu mtu anaposhindwa kufikiri zaidi ya kufikiri
 
Inawezekana, kila tukijaribu hatusongi mbele
maombi ndiyo silaha pekee yake;
tuombe kila siku bila kukoma ili shetani ashindwe na maisha yetu.
 
ni kweli chief cha muhimu kwenye haya mapambano ni sala na kutokatatamaa. kwa mtu makini hiyo picha inaongea mengi sana.
 
Kwahiyo kunamtu amenishika mguu ? Ninanihuyo au umri nao unachangia ?mbona zamani nilikuwa sishindwi?
Najaribu kujitafakuri
 
Kwahiyo kunamtu amenishika mguu ? Ninanihuyo au umri nao unachangia ?mbona zamani nilikuwa sishindwi?
Najaribu kujitafakuri
Ibilisi wa mtu ni mtu na kikulacho ki nguoni mwako [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom