Kushindwa kwako kuna siri ndani yake

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
280,826
730,267
8e4c6d6c379566f78a828f74f79094ba.jpg
 
Mentor you are a great thinker chukua muda kutafakari, kushindwa kokote ni negative state na si lazima iwe juju
Watu wengi wenye negative energy mara nyingi hawafanikiwi kwenye maisha. Mara oho hiyo biashara ina wenyewe, siwezi kumwendea fulani sababu hata hiyo sura yake anavyoangalia watu mhu. Hujawahi ongea naye, hujawahi sikia kauli yake wewe ni negative attitude basi ili mradi ukae na hasira mwilini. Positive energy mara zote husaidia mtu kufanikisha analofanya.
 
Jr ametumia indirect image(metaphor)kufkisha meseji.kiukweli yako mambo mengi yanayoyurudisha hatua nyingi nyuma sio lazima fikra hasi hata familia yako au mke wako au rfiki zako wanaweza kukushikia chini hata kama unapenda mafanikio utabaki kuyaskia tu!me kuna mtu ashaniambia mara ndugu yako wa kike anakuchezea ila sbb me mshirika au mfuasi wa uchawi huwa siamini kitu ingawa naamini upo uchawi.Ila kwa kipindi km hiki nachopitia ningeweza kuamini nafanyiwa foul ila napotezea
 
Watu wengi wenye negative energy mara nyingi hawafanikiwi kwenye maisha. Mara oho hiyo biashara ina wenyewe, siwezi kumwendea fulani sababu hata hiyo sura yake anavyoangalia watu mhu. Hujawahi ongea naye, hujawahi sikia kauli yake wewe ni negative attitude basi ili mradi ukae na hasira mwilini. Positive energy mara zote husaidia mtu kufanikisha analofanya.
Mchawi mkubwa ni nafsi zetu wenyewe, na hasa tunapoanza kuogopa vivuli vya watu tusiowaona watu wa kufikirika
 
Back
Top Bottom