Kushindwa kwa sera za CCM ndio chanzo cha umaskini wa Watanzania!

nimejiuliza sana wadau umaskini wetu unachangiwa na viongozi wetu kwa sababu ya anasa zao
kwa ambao mmesafiri nani ameona waziri anatembelea VX? wengi wanatembelea baiskeli kwenda makazini kwao au vigari vidogo kama vitz nk. huyu ni waziri wa nchi tajiri kama Norway,sweden nk,
iweje nchi maskini viongozi waishi maisha ya anasa kiasi hicho huku wananchi wakitaabika kiasi hicho?
kwann serikali isiache kununua magari ya anasa? changamoto kwa chadema na CCM simamieni haki.
nadhani wakati sasa wa M4C kuchukua hatua mapema kuiokoa nchi.
nawasilisha.
 
naona wananchi sasa tuwakatae wapanda vx ktk mikutano yao wanayofanya vijijini
ni kama kututukana wananchi
 
ni kwel kabisa uongoz umekua sio wa kuwatumikia watu bali kuogopwa na kuheshimiwa,.meya wa jiji la LONDON,Uk anatembea na baiskeli mpaka ofisin,..Chanselor wa ujeruman alikuwa anatumia volkswagen juz juz tu ndo kanunua gar mpya na sio ya garama kama za mawazir,wakurugenz n.k...Hivi hushangai enz za mwalimu kiongoz alikuwa anaitwa ndugu mwinyi,ndg kawawa,ndg sokoine na wanaridhka kuitwa wazalendo leo wanajiita waheshimiwa mnaheshimiwa na nani? bora nch tuwape jamaa hawa wairekebishe hawa SISI MOKO wameshndw
 
ni tatizo la watu weusi ndo hilo wakipata madaraka wanaona dunia ni yao
 
hawa wanamiundombimu mizuri sana jamani ndiyo maana wanaweza kutembelea hata vitz
hivi kweli jamani tuwe wakweli, unafikiri ni rahisi kwenda na vitz mpaka kule juu milimani kwa warombo, na wamarangu kule kilimanjaro? au unafikiri mkuu wa wilaya kasulu anaweza kutembea milima yote ya rusunwe, na heru juu kwa baiskeli? hata kule morogoro, unataka mkuu wa wilaya mvomero aende mpaka kule mgeta, bunduki, chenzema kwa vitz? waliofika manyara wanafahamu kabisa kuwa huweizi fika kirahisi kule mbulu kwa kupitia dongobesh au hydom,
so hawa wenzetu jamani miundombinu inawaruhusu
mimi nafikiri kiancholeta shida huku kwetu ni ukubwa wa serikali!!
kwamfano hapa uholanzi (alikokuja zitto kustudy gas na mafuta) wana wabunge 150 tu, na mawaziri 13. hapa juzi kati (mwezi wa 4) serikali ilishindwa kujustify matumizi ya dharula katika kuinua uchumi, maana nao kwa sasa pesa yao (euro) inayumba vibaya, wamevunja serikali, na sasa wanasuburi uchaguzi tena
kwa hiyo kwa mazingira tuliyonayo magari yanawafaa japo si kwa wingi huo, lakini wapo ambao kazi zao zinastahili wawe na gari heavy duty lakini confortable
 
Mkuu badili title yako na andika kufuru ya viongozi wa Tz na umasikini wa waTz maana Tz siyo masikini bali wananchi wake ndo masikini
 
Jamani wana JF napenda leo kutoa masikitiko yangu hapa baada ya kusoma taarifa kwenye mtandao kwamba Tanzania ni miongoni mwa nchi maskini duniani.

Hivi tumekosa nini hadi inakuwa hivi jamani ili hali tuna rasilimali nyingi hivyo. Nilikuwa naongea na mtu mmoja akasema kama unataka pakuishi ukienda Tanzania sehemu inayoitwa Arudsha utapata sehemu na unaweza kujenga na kuishi upendavyo. Nilibaki kuhudhunika na kulia mno jamani huko Arusha embu mtujuze kuna nini?

Usijekuta watu wa Arusha mlishauzwa hamjui. Ila baada ya kusikia hii kauli ya huyu mama niliamini ndo maana Kikwete hataki watu makini kuwaongoza waarusha maana watafungua machafu wanayoyafanya huko. Tuendelee kumwomba Mungu akipe nguvu chama cha CHADEMA maana ndo chama pekee kitakacho tuokoa.

Yaani tukikubali tena CCM ituongoze yaani tutatawaliwa sasa hivi watu kutoka nje wanasema Tanzania ni nchi nzuri sana maana ukitaka chochote ukienda Ikulu unapewa bila shaka. Ee Mungu tusaidie utuondolee hili balaa la mafisadi.

Nawaambieni, ufisadi unaofanyika Tz ni wa kutisha kona zote za Tz zinanuka ufisadi.

Mungu tusaidie jamani.
 
We need smart people and who else can provide for us such people other than CHADEMA? wananchi amkeni hatuna muda tena lazima tuwapumzishe hawa mafisadi tumechoka kudanganywa sasa hivi tuna jua mbivu na mbichi.

Yaani nikiona mtu mzima na akili zake amevaa haya manguo ya kijani na manjano huwa nashindwa kumuelewa.

Hayo majinguo ni watu ambao wanakula wewe mlala hoi hata nauli ya daladala unakosa lakini siku ya siku unauza uhuru wako kwa peremende. We need change and this is the rigt time TUAMKE WANANCHI TUAMKE WATANZANIA KWANZA KWENYE KATIBA NA PILI KWENYE KURA 2015.

M4C is unstoppable
 
Wangekuwa makini si wangeongoza kuanzia zamani, walikuwa wapi? wamelala?
 
Jamani tuzidi kuhamasishana ikibidi tuunde hata vikundi vya kirafiki vya kukutana na kupena mawazo nchi yetu ni nzuri ila mafisadi wanauza kwa watu nje.

Kazi wanayoifanya CHADEMA ni nzuri sana maana kuna watu huko vijijini hawajui kinachoendelea hata kiswahili hakifahamu leo nimemsikia Mary nagu akiongea kiswahili kuna mtu alikuwa anatafsiri nadhani ni huko mbulu sasa watu kama hawa kupoteza uhuru ni rahisi maana hawajui kinachoendelea.

Elimu itolewe kwa wingi hasa huko vijijini. Makamada!
 
nakushukuru mwana jf kwa kusoma hii maana utatambua ukweli wa kinachoendelea na uchukue hatua.jana nilisikia bungeni kuwa tanzania haina ubalozi nchini israeli iyo ni dhahiri inaonesha kuwa hakuna uhusiano mzuri kati ya tanzania na israeli,sasa hebu tuangalie kimaandiko matokeo ya hayo ni yapi;

TUSOME EZEKIEL 25-3 NA KUENDELEA INASEMA

UWAAMBIE HAO WANA WA AMONI LISIKIENI NENO LA BWANA MUNGU BWANA MUNGU ASEMA HIVI KWA SABABU UMESEMA AHA?JUU YA PATAKATIFU PANGU PALIPOTIWA UNAJISI NA JUU YA NCHI YA ISRAELI ILIPOHARIBIWA JUU YA NYUMBA YA ISRAELI WALIPOKWENDA KIFUNGONI BASI KWA SABABU HIYO NITAKUTIA KATIKA MIKONO YA WANA WA MASHARIKI UWE MILKI NAO WATAWEKA MARAGO YAO NDANI YAKO WATAKULA MATUNDA YAKO NA KUNYWA MAZIWA YAKO

mstari wa sita sasa

MAANA BWANA MUNGU ASEMA HIVI KWA SABABU UMMEPIGA MAKOFI NA KUPIGA MSHINDO WA MIGUU YAKO UFURAHI JUU YA NCHI YA ISRAELI JEURI YOTE YA ROHO YAKO BASI TIZAMA NIMENYESHA MKONO WANGU JUU YAKO NA NITAKUTOA UWE MATEKA KATI YA MATAIFA.........utaendelea hapo mwenyewe

sasa tanzania hatuna uhusiano mzuri na Mungu kwasababu hatuna uhusiano na taifa teule la Mungu na laana inatupata kwasababu ya hilo.mfano wa watawala ambao hawakuwa na uhusiano mzuri na israeli ni IDD AMIN DADA na ADOLF HITLER,NA FARAO hakuna ambaye hajui lililompata farao na hao wenzake na ghadhabu ya Mungu ilikuwa juu yao na taifa lao,soma kitabu cha kutoka uone farao alichofanywa na mungu

TUNAWEZA KULAUMU SANA ILA TUSIPOANGALIA HILI NCHI YETU ITAKUA YA KULIA KILA SIKU NA MISAADA NA VIONGOZI KUENDELEA KUHUJUMU NCHI.

SULUHISHO
ni kutubu na kumwomba mungu msamaha kwa roho na kweli watumishi mbalimbali wameliona hili mfano ARUSHA kupitia RADIO SAFINA waliendesha maombi ya kuvaa magunia,pia mwakasege alifanya hivo dodoma kwahiyo ndugu zangu na viongozi wa TAIFA LA TANZANIA KAMA MNASOMA HAPA KUWE NA UHUSIANO MZURI TU NA ISRAELI NA HATA PALESTINA YAANI HAKUNA UMUHIMU WA KUTOKUWA NA UHUSINO WA KIBALOZI NA ISRAELI ZAIDI YA KUPINGWA NA MUNGU PLEASE NIMEFIKISHA UJUMBE
 
hivi ile benki inaitwa FBME asili yake ni wapi?

OOH FBME YAANI FEDERAL BANK OF MIDDLE EAST LIMITED asili yake ni cyprus na ilianzishwa mwaka 1983 na iliingi tanzania mwaka 2003 hapo dar kama headqurter
 
Israel..wanavyowaua wapalestina ni halali?..haki itendeke sidhani Mungu anapendezewa na ukatili wao
 
Huu sasa ni zaidi ya uvivu wa kufikiri_ni ujuha,...yaani mtu inafikia hatua unawaza ***** ndio sababu ya matatizo yako....tafakari na chukua hatua

Anyway...hata mimi ni mkristo,....lakn sio mvivu hata kidogo
 
Back
Top Bottom