Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,447
- 110,234
Hivyo ndivyo ilivyo..Kwa kuongezea lilikuwa lilikuwa likitumiwa na kundi la wanamuziki
Ati conspiracy conspiracy my As$
Hivyo ndivyo ilivyo..Kwa kuongezea lilikuwa lilikuwa likitumiwa na kundi la wanamuziki
Ohh real... Dhambi ni hukumu sio kitu cha jokesAt least I will have something next to me [emoji38][emoji38][emoji38]
Conspiracies zipo, But this is not!Hivyo ndivyo ilivyo..
Ati conspiracy conspiracy my As$
Aiseeehhh alikua anakaa kwa shida... Ni vipimo gani wamempima itakua vifaa walivyodumbukiza huko nyuma aiseeehhhAmber kushindwa kukaa ni kuwa walimpima hospitali sasa sijui walimpimaje.
Elimu ya Urania itolewe mwananch una haki ya kukataa kupimwa.kipimo chochote kile.
It’s pathetic chama cha wanawake cha sheria mnasema nini kuhusu unyanyasaji anaofanyiwa Amber Rutty?Aiseeehhh alikua anakaa kwa shida... Ni vipimo gani wamempima itakua vifaa walivyodumbukiza huko nyuma aiseeehhh
Karudi kusoma kingereza kubwa jinga google in my world akili kama makonda
[emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahaha another kubwa jinga
Mbona hata yeye huyo Amber Rutty kitendo alichokifanya kimewadhalilisha wanawake? halafu unataka hao hao wanawake aliyowadhalilisha waje wamtetee tena?!It’s pathetic chama cha wanawake cha sheria mnasema nini kuhusu unyanyasaji anaofanyiwa Amber Rutty?
Sasa ananyanyaswa bila dignity kwa makosa aliyofanya?Mbona hata yeye huyo Amber Rutty kitendo alichokifanya kimewadhalilisha wanawake? halafu unataka hao hao wanawake aliyowadhalilisha waje wamtetee tena?!
Hasa vijana wa dar naamini wanajua kaana yake wanaume wa dar ndo maana wanalitumiaVijana hutumia neno SWAGS kama neno la kijanja kumbe hawaelewi maana yake
Ndio maana David kaamua kuanzisha ile kampeni hukoHasa vijana wa dar naamini wanajua kaana yake wanaume wa dar ndo maana wanalitumia
Sasa ananyanyaswa bila dignity kwa makosa aliyofanya?
Kivipi kanyanyaswa? Be specific.Sasa ananyanyaswa bila dignity kwa makosa aliyofanya?
Mpaka kushindwa kukaa watakua wamemnyanyasa tuKivipi kanyanyaswa? Be specific.
Kwa mliotazama habari za mahakamani leo mwadada ambaer alishindwa kukaa kabisa akilalamika huko nyuma kumevimba..
Huyu dada kafanyiwa matendo gani huko lockup?
Najua mtu anapewa matesso au kufanyiwa torture kama kuna vitu unatakiwa aconfess,,sasa yule kila kitu kipo wazi kwanini wamemuingizia walivyomuingizia kunako 0713 yake?
Inamaana yule kwa sasa sio binadamu tena na hana haki yoyote?
Nitarudi
Hahhaha leo umwmkomboa kubabake.Acha kusoma conspiracy theories zinakumaliza akili na kuua uwezo wako wa kuinteract na jamii. Zile siyo kama unavyojiaminisha.
Uliyemquote alichoandika na jibu uliloleta ni mbingu na ardhi.
Hapa naona nalishwa tango poli, swag ni tofauti na SWAG?Pole sana Neno SWAG ni neno lililoanza kutumiwa miaka ya 60 wanaume mashoga likiwa linamaanisha Secretly We Are Gays