The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,779
- 123,784
Assumption.Mpaka kushindwa kukaa watakua wamemnyanyasa tu
Assumption.Mpaka kushindwa kukaa watakua wamemnyanyasa tu
Unapenda hiyo michezo eenh?Nah I'm rich in my world
Wamemuonea sanaa wamempimaje mpaka ashindwe kukaa jamani ,,na watu waelimishwe juu ya haki zao
nipo huko naelewa lakini si kwa case ya moto wa kijinga kama ya huyuHujaijua bongo vizuri kamanda hemusu.... maabusu kutolewa lockup kimya kimya ni kawaida sana
Kwa hiyo mtu akibaka anaweza kataa kupima HIV?Amber kushindwa kukaa ni kuwa walimpima hospitali sasa sijui walimpimaje.
Elimu ya Uraia inabidi itolewe mwananch una haki ya kukataa kupimwa.kipimo chochote kile.
Assumption.
Una ushahidi? What if kama anatafuta huruma za watanzania? Uliiona video? Uliona dude lililokua linaingia kunko? Nyuma kupo waz mzoefu wa cku nying huyoIt’s pathetic chama cha wanawake cha sheria mnasema nini kuhusu unyanyasaji anaofanyiwa Amber Rutty?
Una ushahidi? What if kama anatafuta huruma za watanzania? Uliiona video? Uliona dude lililokua linaingia kunko? Nyuma kupo waz mzoefu wa cku nying huyo
Kwani huwajui wabongo..hutumia zaidi hisis kuliko akili yaani kwa kuwa mtu kafanya kosa bhasi anastahili kila aina ya hukumu na hawa ndo wale wale wanaoshinda misikitini na makanisani..There you are!!! Mi kila nikimtetea huyu dada naonekana na support kitu alichofanya. Huyu dada ukifatilia interview zake hayuko sawa kabisa...nahisi hii itakuwa inahusiana na background yake or anything!! Anahitaji moral support from us...it is sad kuona kila mtu anamnyoishea vidole. Kwanza ilibidi kesi yake isikizwe in camera...ili kulinda utu wake. No one is perfect and in all people, mahakama kwa ujumla ilibidi itambue hili. Kumdhalilisha hivi ni kumvunjia haki zake za msingi as we all know kila mtu anadeserve second chance. Huyu ilibidi atafutiwe wanasaikolojia kumsaidia ili awe sawa. Narudia tena si support alichofanya ila nahisi watu wa LHRC wangeliangalia hili kwa jicho la tatu. Hata ndugu zake wanaogopa kumsaidia kwa kuhofia hukumu za watu...ooh but who am I, the only thing I can do is to pray for her.
Anatia huruma sana,
Amenikumbusha kisa cha yule mwanamke msamalia aliyeulizwa na Yesu kuhusu ukahaba wake, wananch walitaka kumpiga mawe ,Yesu akasema aliye sahihi awe wa kwanza,
Waksepa na YESU akamsamehe
YESU anasema Watoza ushuru na makahaba watawatangulia kwenda mbinguni,
Amber rutty asamehewe, ni binadamu anakosea ,
We can not escape reality that girl amefanya vitu vya fedheha sana amewadhalilisha wana wake wote dunia nzima as long as she's matured enough anajua anachofanya let her get what she deservesNdo maana kasema chama cha sheria kiingilie kati. As a matter of fact all your assumption might be true, lakini what if ni ukweli kuwa alifanyiwa mambo mengine kipindi cha kuhojiwa!! Nina uhakika kila mtu atapata majibu sahihi.
Unaongea hisia zaidi kuliko ukweli that girl is matured enough she know s what she's doing let her get what she deserves.Circumstantial evidence
Kwa kuhukumu ni namba moja. Kesi yake ingeendeshwa kwa usiri...Kwani huwajui wabongo..hutumia zaidi hisis kuliko akili yaani kwa kuwa mtu kafanya kosa bhasi anastahili kila aina ya hukumu na hawa ndo wale wale wanaoshinda misikitini na makanisani..
Kosa la amber rutty ni kutupa picha mtandaoni lakini hayo mapenzi ya ******************* wala si jambo jipya na hata humu jf wapo wengi tu
Unaongea hisia zaidi kuliko ukweli that girl is matured enough she know s what she's doing let her get what she deserves.
We can not escape reality that girl amefanya vitu vya fedheha sana amewadhalilisha wana wake wote dunia nzima as long as she's matured enough anajua anachofanya let her get what she deserves
Kwa kuhukumu ni namba moja. Kesi yake ingeendeshwa kwa usiri...
Kabisa kaka.Nadhani haki ingetumika ingetosha