Kushindwa kukaa kwa amber rutty

Kushindwa kukaa kwa amber rutty

mnaopendelea mapenzi ya jinsia moja na wanawake kuingiliwa ******************* wote mnaakili za kuvukia barabara, hebu jiaribun kuuvaa uhusika wa baba, mama, dada, na kaka, then unaambiwa mwanao au kaka yako ni shoga na mwanao au dada yako ni umber ruty wewe kama family member ungeipokeaje hiyo taarifa? mnadhanj umber ruty hana ndugu, hana wazazi? mbona hawaji kwenye media kuja kumtetea, vipi mahakamani kuna baba mama au kaka wa umber na jems delicious waliokuwepo? toweni unafiki wenu humu jf, mkiwa huko mtaani nyie ndo wafirwaji maaa.........mae
Hata kama ni mualifu ana haki zote kama mtuhumiwa, kuna haja gani ya kumpa mateso huku ushahidi wa video upo na usikute na mwenyewe kakir?
 
For a person to go online and do what she did unadhania ni mzima huyo? What exactly does she deserve?
Wanaita kiki ndicho alichokifanya Huyo bidada yeye alijua atatrendi mitandaoni,mitaani jina lake Litakuwa alisahau ya kuwa kavuka mipaka na hakuwahi kufikiria kama yatamkuta yalyomkuta so for me I think it's right time for her to learn some lesson from what she has been through for god's sake
may be she can lives up to the non dramatic life
 
Wanaita kiki ndicho alichokifanya Huyo bidada yeye alijua atatrendi mitandaoni,mitaani jina lake Litakuwa alisahau ya kuwa kavuka mipaka na hakuwahi kufikiria kama yatamkuta yalyomkuta so for me I think it's right time for her to learn some lesson from what she has been through for god's sake
may be she can lives up to the non dramatic life

Umejuaje alijua atatrend mitandaoni ?

Au ushaona video zake nyingine??

Video moja ndio umeconclude alikua anatafuta kiki??
 
Umejuaje alijua atatrend mitandaoni ?

Au ushaona video zake nyingine??

Video moja ndio umeconclude alikua anatafuta kiki??
Nimeshawahi kuona baadhi ya clips zake the way anavyoongea anaonekana anatafuta kick Mimi sina tatizo na alichokifaya it's up to her shida yangu ni kujirekodi na kusambaza uchafu wake hadharani
 
Inasikitisha sana,sasa kale ka kijana kalimsindikiza police iki na kenyewe kakamatwee jamani
Kakijana kapi kale kalio mla tigo nimekaona kamtiwa chini ya ulinzi pia mbona [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kalienda na kiduku, ndani ya siku 2 naona hata nywele ashanyolewa...polisi sio watu wazuri...mtu kaenda anadunda kisharo kaletwa mahakamani anachechemea...[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kakijana kapi kale kalio mla tigo nimekaona kamtiwa chini ya ulinzi pia mbona [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
We are all sinners. Sisapoti kwa alichokifanya ila naona imekuwa kama bullying kwake na vyombo vya habari.kwa walichomfanyia sicho. Angepewa elimu ya kutosha na kuonywa au hata adhabu ya kufagishwa barabara. Ukisikiza interview zake ni mtu ambae hana upeo wa kiivyo au fyatu kidogo. Ushahidi video upo.bado umdumbukize vitu nyuma mpaka ashindwe kukaa vizuri. Na hana mtu wa dhamana wala kumtetea.

Mbona sheria ziko wazi kifungo ni maisha au miaka isiyopungua 30
Kufagia barabara kwa kosa la kifungo cha maisha???
 
There you are!!! Mi kila nikimtetea huyu dada naonekana na support kitu alichofanya. Huyu dada ukifatilia interview zake hayuko sawa kabisa...nahisi hii itakuwa inahusiana na background yake or anything!! Anahitaji moral support from us...it is sad kuona kila mtu anamnyoishea vidole. Kwanza ilibidi kesi yake isikizwe in camera...ili kulinda utu wake. No one is perfect and in all people, mahakama kwa ujumla ilibidi itambue hili. Kumdhalilisha hivi ni kumvunjia haki zake za msingi as we all know kila mtu anadeserve second chance. Huyu ilibidi atafutiwe wanasaikolojia kumsaidia ili awe sawa. Narudia tena si support alichofanya ila nahisi watu wa LHRC wangeliangalia hili kwa jicho la tatu. Hata ndugu zake wanaogopa kumsaidia kwa kuhofia hukumu za watu...ooh but who am I, the only thing I can do is to pray for her.

Sheria haina second chance huwezi sema mtu kaua tusimhukumu tumuelimishe labda atabadilika hapana
Akafungwe tu labda italeta somo kwa waliobaki wenye michezo kama yake
 
Nimekusoma and I conqer with you! Naomba usome tena hii post yangu uelewe argument yangu iko wapi.
Sheria haina second chance huwezi sema mtu kaua tusimhukumu tumuelimishe labda atabadilika hapana
Akafungwe tu labda italeta somo kwa waliobaki wenye michezo kama yake
 
Umenikumbusha kipindi niko law school...ilikuwa ni oral exam nikaulizwa is ignorance of the law an offence? Sitasahau, kaswali kepesi ila msululu wa maswali yalotoka hapo...niliishiwa pumzi.
Oh my God[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] so what happened .. Ni Kweli ni kaswali simple kanaleta hoja nyingi na maswali mengi....
 
Hahahahaha another kubwa jinga
Hahahahaha haaaa
Sijakushinda wewe pimbi
Nani asiekujua wewe ni ma*l*ya uliokubuu humu jf..
Good for you...naona wote tupo macho tukisoma upimbi...Shame on you..
Yaap nipo na ur dady nafanya kazi iliomshinda ur mother ako mpk akakuzaaa ww pimbi hahahah
Nimempata ur baba ila kazi haiwezi vizuri sijui uzeee unachangia [emoji12][emoji12]
Nani akule wewe na uchafu ulionao
Ur Dady tupo tunatumia urithi hapa usinichukie hahaha fanya kazi nimemaliza vijumba vyenu tumeuzaaa....hahahah
hahahaha urithi umeishaaa poleeee kibaba chako maskini ndo maana una mihasira kunywa maji ulale
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jamani
 
Imagine!![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] yaani!! Namshukuru Mungu sikupanic. Nikikuelezea utacheka hatari...ebu nisome comments za Amber.
Oh my God[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] so what happened .. Ni Kweli ni kaswali simple kanaleta hoja nyingi na maswali mengi....
 
Usikute ma Dr walimpiga sindano ya usingizi wakamuingilia kinyume na maumbile.
 
Back
Top Bottom