Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 39,291
- 79,679
Sasa kama umeelewa hiki ulichoandika kimekujaje?Conspiracy theory hapo, au huji kua kirefu cha neno SWAG (swaga) maana take ni KWA USIRI SISI NI MASHOGA.
Naelewa alichoandika Na context ya kilochomo kwenye bandiko lake.
Kwenye conspiracy theories kila kitu kina kirefu na kila kitu kitatafutiwa maana.
NIKE unaambiwa ni kirefu cha No Intimacy Kill Everyone.
NoKiA inamaanisha No God.
Sasa sijui mtandao gani umekulisha tango la SWAG na wewe unatuletea wenzio tulimeze. Tulia, soma hizo theories kama burudani ukizidi zaidi ya hapo kinachofuata ni yale ya kwenye uzi wako.
Am out nipo lindo leo.