Kushindwa kukaa kwa amber rutty

Kushindwa kukaa kwa amber rutty

Conspiracy theory hapo, au huji kua kirefu cha neno SWAG (swaga) maana take ni KWA USIRI SISI NI MASHOGA.

Naelewa alichoandika Na context ya kilochomo kwenye bandiko lake.

[emoji2][emoji2][emoji2] Kila neno, acronym au abbreviation, sio kwamba tu shurti iwe na maana hyo hiyo moja tu kw kila kitu, HAPANAAAaaa!!!
MFANO:-
• Ukiwa Hospitalini "BP" ni kitu tofauti na ukiwa kwenye kituo cha petroli paandikwe "BP".
• Kwa Polisi "RB" ni kitu kingne tofauti na ukisikia "RB" afu uko cafeteria za UDSM. (kw wanaokula cafeteria za UDSM wanaelewa).
• Kwnye ulmwengu wa computer pia "HP" ni tofauti na uksikia "HP" afu upo shule za sekondari.

Back to busness hapo juu, inawezekana maana moja ya "SWAG" mkaamua iwe km ulvosema, Pia inawezekana ktk mazngra mengne isiwe hivyo bali "SWAG" ikawa ni sawa na tafsiri ya neno "MIKOGO" ktk Kiswahili.
#Lugha #Language #NenoNaMaanaZaidiyaMoja
 
Very sad!! Hivi hakuna mambo mengine zaidi ya hawa watu jmn serikali inatia aibuuu
Imegusa maslahi?
Nah I'm rich in my world
Are you rich more than Tim Cook (Apple inc CEO),Luke Evans, Wentworth Miller etc..?
They are SWAG (Secretly we are Gay)

Achana nae pimbi tu huyo

Typing error hapo juu mkuu, nadhani ultaka kusema "Are you richer than Tim Cook ...................?"
But my point is, The girl already claimed that SHE IS RICH IN HER WORLD.
Nadhani hapo tu kamaliza sabb maneno "IN MY WORLD" alyoyatumia ni Figure of Speech., hayana maana ya moja kw moja km yaandkwavyo.
(Akshasema "in my world" basii inawezekana anamaanisha Mtaani Kwake, Home Kwake, Kazin Kwake, Kwenye Kundi Lake etc...)
Na pia sio kila "rich" ni shurti iwe mali znazoshikka au fedha. [emoji41]
#MtazamoTuLakini #iStandTobeCorrected
 
Amber kushindwa kukaa ni kuwa walimpima hospitali sasa sijui walimpimaje.

Elimu ya Uraia inabidi itolewe mwananch una haki ya kukataa kupimwa.kipimo chochote kile.
Mkuu ukikataa kupimwa si ndo tiketi ya Jela hiyo?
 
Daahh nimesikitika sana yule bint nilivyomuona Jana,nilijua tu ule wito wakuitwa pale Ilala Boma haraka sana lazima kuna watu wanataka wakasherehekee.Daahh inasikitisha.
 
Umejuaje alijua atatrend mitandaoni ?

Au ushaona video zake nyingine??

Video moja ndio umeconclude alikua anatafuta kiki??

Videos zake zipo nyingi sana. Tena unaona kabisa ni za kutafuta kiki. Maisha ni kupanga na kuchagua. Most of us have been through shit and psychologically affected but hatufanyi anayoyafanya. Labda safari hii kwa trauma aliyoipata itakuwa a good turning point in her life kabla mabaya zaidi hayajamkuta.
 
Videos zake zipo nyingi sana. Tena unaona kabisa ni za kutafuta kiki. Maisha ni kupanga na kuchagua. Most of us have been through shit and psychologically affected but hatufanyi anayoyafanya. Labda safari hii kwa trauma aliyoipata itakuwa a good turning point in her life kabla mabaya zaidi hayajamkuta.

Hata wale mnaopiga selfie mna ugonjwa kama wake kutafuta Kiki ... kila Mtu anaeweka picha huko instagram ni kutafuta Kiki tunatofautiana magnitude tu ya kutafuta kiki....lols

Kama ukiona kuna mtu kazidi sana kwenye kutafuta Kiki kupita kiasi just anaumwa lol kweli vile!attention disorders ...
 
Wanaita kiki ndicho alichokifanya Huyo bidada yeye alijua atatrendi mitandaoni,mitaani jina lake Litakuwa alisahau ya kuwa kavuka mipaka na hakuwahi kufikiria kama yatamkuta yalyomkuta so for me I think it's right time for her to learn some lesson from what she has been through for god's sake
may be she can lives up to the non dramatic life
We jamaa bhana, kwa hayo uliyoandika kuhusu huyo binti unafikiri kwa aliyetimamu kichwani anaweza akayafanya kama yeye(huyo binti) alivyofanya? Hata kama ni kutafuta 'kiki'? Itizame jamii yetu jinsi ilivyo kwa tamaduni zetu na maadili ijapokuwa yameporomoka lakini wanaofanya mapenzi ya namna kama yake wanajificha. Lakini huyu binti kayaonesha wazi hayo, najua kama kakosea lakini tusikimbilie kwenye kumlaumu tu, naye tuiangalie akili yake ni ya namna gani(?) Kwa sababu alichokifanya ni cha fedheha.

Nimebahatika kuiona interview yake inasikitisha sana kiukweli, yaani uwasilishaji wake wa maudhui unaona kabisa huyu binti kuna kitu amekosa kwenye ufahamu wake.

Huyu binti anahitaji msaada na wala si kumtakia laana(mabaya) Na wote katika sisi binadamu ni wakosefu, hajapata kutokea ambaye amekamilika. Kwa hiyo cha msingi ni kutakiana heri, kuhurumiana na kuelimishana na wala si kulaaniana. Ila itakapothibiti hukumu juu ya mtu ithibiti na ithibiti kwa misingi ya haki.
 
Hata wale mnaopiga selfie mna ugonjwa kama wake kutafuta Kiki ... kila Mtu anaeweka picha huko instagram ni kutafuta Kiki tunatofautiana magnitude tu ya kutafuta kiki....lols

Kama ukiona kuna mtu kazidi sana kwenye kutafuta Kiki kupita kiasi just anaumwa lol kweli vile!attention disorders ...

Kama ulchoandka hapo, ndo unachokiishi pia ktk maisha halisi.
Basi nakuvulia kofia na kunyanyua mikono juu [emoji119][emoji119][emoji119]
Daamn it.. Whaaaat a girl!! Mahari yako hata km ingekuwa USD$ 50K ningejitahidi tu niipate aisee, hakuna namna!! [emoji41]
#UtaniFlaniHiviUnaofananaNaUkweli
 
hawakumuingiza vitu bali walimfanyia makusudi kwa kuwaruhusu wafungwa zaidi ya mmoja kumuingilia nyuma mfululizo,wamemchana tigo na imevimba vibaya sana
 
Maafande wamejilia tigo ya buree
Tena kwa mate tu
 
Amber kushindwa kukaa ni kuwa walimpima hospitali sasa sijui walimpimaje.

Elimu ya Uraia inabidi itolewe mwananch una haki ya kukataa kupimwa.kipimo chochote kile.
Chupa ya lotion ya revlon iliingia..
 
Back
Top Bottom