Kusaidiana kwenye ndoa...

Kabla sijaoa kulikuwa na vibinti kama vinne hivi nilikuwa navipanga bila ya vyenyewe kujua. Kila kimoja nilikuwa nakiita waifu tu bii. Chenye zamu ya kunihudumia lazima kifanye usafi wa kila kitu ikiwemo makufuli. Baada ya kuchoka mambo hayo ndo nikaamua kuweka ndani mai waifu ambaye katika mkataba wetu mojawapo ya makubaliano yetu ni kunifulia makufuli mpaka kifo kitutenganishe.

na ulivokuwa ngiliboru ulikuwa una nunua dispossable unataka kusema??
 
Mapenzi ni kusaidiana.hakuna shida kumsaidia mkeo kupika au kufua.Tatizo ni mfume dume umetutawala.Watanzania tunazaliwa na STEREOTYPES za kuwa kuna kazi za kike na za kiume.Huo uongo tunajengewa toka watoto na tunakuwa nao.Kuna familia wanazaliwa watoto wa kiume tupu na mbona wanafanya hizo kazi za kupika na usafi?tubadilike jamani

tubadilike lakini with a health mind, sio tuuingie u-beijing kichwakichwa.............. tena ubeijinga hadi kitandani................ bado kuna ndoa hapo????????????................
 
kabla sijaoa kulikuwa na vibinti kama vinne hivi nilikuwa navipanga bila ya vyenyewe kujua. Kila kimoja nilikuwa nakiita waifu tu bii. chenye zamu ya kunihudumia lazima kifanye usafi wa kila kitu ikiwemo makufuli. Baada ya kuchoka mambo hayo ndo nikaamua kuweka ndani mai waifu ambaye katika mkataba wetu mojawapo ya makubaliano yetu ni kunifulia makufuli mpaka kifo kitutenganishe.
oh gracious lord, lets pray.
 
Heee kumbe wewe ni she/he! mmh
Jalini waume zenu kama unaweza jaribu kumuogesha siku za week end akienda kula bia awe anakuwaza home.

Mpwa hebu angalia nimekugongea nini kwenye hii yuziful posti.
Baridiiiiiii baridiiiiiii
Alamba alamba ammmmm ammmmm!
 
Yaani ukidondokea mikononi mwangu wewe utaonja utamu wa dunia nitakusaidia mpaka kufua kufuli.
hahaaaa unaona sasa......
upendo sasa huo..........thats wat we are talking about!!!
 
Kabla sijaoa kulikuwa na vibinti kama vinne hivi nilikuwa navipanga bila ya vyenyewe kujua. Kila kimoja nilikuwa nakiita waifu tu bii. Chenye zamu ya kunihudumia lazima kifanye usafi wa kila kitu ikiwemo makufuli. Baada ya kuchoka mambo hayo ndo nikaamua kuweka ndani mai waifu ambaye katika mkataba wetu mojawapo ya makubaliano yetu ni kunifulia makufuli mpaka kifo kitutenganishe.

big up sana mkuu.....................

tena hiyo ya bold ni implied term, yaani hata ikisahaulika lazima iheshimiwe hmpaka kifo kitakapowatenganisha......................... yes, thats what we mean...............
 
yani wewe ndo hujuii.hivyo ndio vikorombwezo vya mapenzi na chachandu.
we acha wafanye mapenzi kama geshi ra wananchi wa tarime, yani nikisema nyumaa geuka, unageuka bila kuuliza why? Kufanya nini?
 
na ulivokuwa ngiliboru ulikuwa una nunua dispossable unataka kusema??
Hahaha! Wakati huo nilikuwa hata sijui kutongoza. Saa nyingine kufuli namtupia sista ana-do the needful.
tubadilike lakini with a health mind, sio tuuingie u-beijing kichwakichwa.............. tena ubeijinga hadi kitandani................ bado kuna ndoa hapo????????????................
Hapo ndo naposhindwa kuwaelewa hawa binadamu.
oh gracious lord, lets pray.
Amen! hallelluyah! Umeelewa sasae?
yani wewe ndo hujuii.Hivyo ndio vikorombwezo vya mapenzi na chachandu.
Kufua kufuli ndo kikorombwezo cha mapenzi? OMG!
 
Ndoa ni maelewano hata kupendana kulitokea maelewano fulani baina yenu kwa hiyo sidhani kufuliana vitasa kama kukiwa na maelewano kutaleta shida, ni hayo tu.
 
yani wewe ndo hujuii.Hivyo ndio vikorombwezo vya mapenzi na chachandu.

Bora niendelee kuto jua maana vinakera na sivipendi navyo chumbia lazima niweke wazi mambo kama haya asije akaanza kuniletea ubeijing wkt mm ni mbantu original alafu Mndengeleko.
 
we acha wafanye mapenzi kama geshi ra wananchi wa tarime, yani nikisema nyumaa geuka, unageuka bila kuuliza why? Kufanya nini?

hehehehe kujiexpress mama mwendo mdundo raha jipe mwenyewe mama usitegemee n'tu akupe raha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom