Hebu niweke sawa.kama vyeti vya elimu vina majina matatu hapo huna jinsi.Pia hii system wanafatilia data nyingine iwapo wakiingiza jina litaonekana kushaabiina na jina jingine kwenye system.
Kuna mahali system huwa inauliza IS THIS NAME X SAME TO NAME Y?.Sasa system ikishauliza hvo inabdi maafsa utumishi wafatilie data nyingne na wakikuta nazo zinafanana basi wewe unawekwa kwenye blacklist ya wanaofoji data.
Lakini kama system haijaulizia ufanano wa majina basi data nyingne sio rahisi kuleta shida.Kumbuka hakuna uwezekano wa majina yote matatu kufanana ndo maana wanalazimisha uandike matatu.
Hayo niliambiwa na afsa utumishi wa shirika fulani la umma ambako mm mwenyewe nilipata kazi lkn nikakumbwa na tatzo hilohilo ikabdi nirudi halmashauri yangu na mwezi jana ndo nimerudi payroll.Ndo maana nina uzoefu kidogo.
ukifanikiwa utuletee feed backNdugu wanabodi,niliajiriwa mwaka 2010 halmashauri fulani lakini sikwenda ,mwaka huu nikaomba ajira nikapata tatizo limetokea kwenye system inaonekana tayari nimeshaajiriwa ,wakuu naomba msaada wa mawazo yenu na yeyote aliye tayari kunisaidia ani pm
naomba kuuliza mkuu, hiyo check no. ulitumiwa au uliifwata huko halmashaurini?Mkuu nilivyopangiwa niliingizwa moja kwa moja kwenye system na kupewa check no.ingawa sikuripoti
nina tatizo kama lako ndugu, naomba nikuulize huko ulikopata saivi ni serikali kuu eg; tamisemi,mahakama,bunge au ni kwenye mahirika ya umma eg: tanapa.tra,stamico n.k?Ndugu wanabodi,niliajiriwa mwaka 2010 halmashauri fulani lakini sikwenda ,mwaka huu nikaomba ajira nikapata tatizo limetokea kwenye system inaonekana tayari nimeshaajiriwa ,wakuu naomba msaada wa mawazo yenu na yeyote aliye tayari kunisaidia ani pm
Wakuu mie nimejifunza kitu hapo! Inaonekana wengi wanaokimbia kazi zao huja Baadae kuzikumbuka na kurudi... So wengine Huwa wanafanikiwa na wengine hawafanikiwi kurudi kule walikokataa mwanzo.. Hebu tupange maisha popote tulipo coz itafika Wakati tunapoteza vyote na kutamani hata tulivyoona vidogo na ajira za sasa hivi noma kweli..
Mkuu nilivyopangiwa niliingizwa moja kwa moja kwenye system na kupewa check no.ingawa sikuripoti
kama inaonyesha umeshaajiriwa na wakati hukuripoti kazini ujue mshahara wako walikuwa wanakula wajanja.
Updates:Nilifanikiwa kupitishiwa barua ya kuomba kurudishwa kwenye payroll na Afisa utumishi tatizo hapa kwa katibu mkuu utumishi wanazingua mbaya ,natumaini hapa jamvini kuna watu wana network na watu pale naombeni msaada
Hii issue ni shidah LAWSON ni shida
Wakuu mie nimejifunza kitu hapo! Inaonekana wengi wanaokimbia kazi zao huja Baadae kuzikumbuka na kurudi... So wengine Huwa wanafanikiwa na wengine hawafanikiwi kurudi kule walikokataa mwanzo.. Hebu tupange maisha popote tulipo coz itafika Wakati tunapoteza vyote na kutamani hata tulivyoona vidogo na ajira za sasa hivi noma kweli..
Sio utani kabisa mkuu, kuna watu walikimbia kazi kwa mbwembwe bila taratibu eti wanaenda kuchukua degree wakidhani zinaliwa, wanakiona cha mtema kuni now.
Sio utani kabisa mkuu, kuna watu walikimbia kazi kwa mbwembwe bila taratibu eti wanaenda kuchukua degree wakidhani zinaliwa, wanakiona cha mtema kuni now.