Kurudi nyumbani mapema

Kurudi nyumbani mapema

Ht mi mwanamke
Ushasema kuishi na mwanamke kazi😅
Haya niambie kazi ipi hiyo inayokufanya uone kuishi na mwanamke ni kazi?
Kupigiwa kelele
Kupangiwa mda wa kurudi home

Mengn itajulikana ndani😂
 
Kupigiwa kelele
Kupangiwa mda wa kurudi home

Mengn itajulikana ndani😂
Kelele Huwa mnazitaka wenyewe tu
Kuna ndoa hata hawajui kelele .
Na kelele Huwa zinakuja mnapoamza kuzingua,ile too much!
Ss Muda wa kurudi SI inategemea na shughuli zako plus ratiba zako!?

Mke Huwa anajua kazi na ratiba za mumewe....

Kwani Kwa mfano ukiaga unapoenda kwenye mishe zako utapungukiwa nn?
Haya umechelewa au umepatia dharula kwani ukitoa taarifa unapungukiwa nn?
Wanawake bwana ni vitu vidogo sn ukiweza ht sio issue
 
Kinadharia ni rahisi ila mkiingia ndani Mungu anawaona Nyie wadada.....Afu kumbuka mm ni mkristo na ndoa za kikristo unaelewa
 
Unapata chuma mfano wa Fatuma Karume, mmhhh kurudi saa tano usiku,kuondoka saa kumi na mbili asubuhi.
 
Ndio maana home nikalipia Kila kitu hadi king'amuzi ili nisitoke hovyo nikitoka kurudi saa 12 jioni na kibaridi hiki mapenzi matamu sana
Bila shaka ni penzi jipya hilo.

Ujue wanawake pia hawapendi wanaume wanaoshinda nyumbani muda mwingi!!
Hii ni kwa wanawake wote na sio baadhi!!
 
Kinadharia ni rahisi ila mkiingia ndani Mungu anawaona Nyie wadada.....Afu kumbuka mm ni mkristo na ndoa za kikristo unaelewa
Shida wakati mwingine ni nyie
Mwanamke hawezi Anza kelele from no whr ,kwani ni kichaa?
Lzm kunakuwa Kuna shida mahali.

Tena km mi mtu Ambae hawezi nipa ratiba yake akae mbali tutazinguana tu😀
Yaani uki mess up kwenye communication basii mahusiano yyt lzm uone magumu
 
Hii ni kasumba tutayokumbana nayo wanaume kwenye ndoa.
Ukiwa bachelor uhuru wa kurudi muda unaotaka , kukesha baa kuangalia mpira na kunywa bia, vyote hivi vinakuwa changamoto baada ya kuanza kuishi na mwanamke.
Hivi kwanini wanawake mnapenda wanaume turudi mapema?!
Maana hata ukirudi mapema kila siku, mbususu unapewa akijisikia.
Kabla ya ndoa, Kila mmoja anakuwa ana tabia zake binafsi ambazo kama akiziendeleza baada ya kuwa amefunga ndoa, basi kuna uwezekano mkubwa wa kuiharibu mapema hiyo ndoa yenyewe.
 
Hii ni kasumba tutayokumbana nayo wanaume kwenye ndoa.
Ukiwa bachelor uhuru wa kurudi muda unaotaka , kukesha baa kuangalia mpira na kunywa bia, vyote hivi vinakuwa changamoto baada ya kuanza kuishi na mwanamke.
Hivi kwanini wanawake mnapenda wanaume turudi mapema?!
Maana hata ukirudi mapema kila siku, mbususu unapewa akijisikia.
Tunatofautiana mm sipend mwanaume anakuja mapema au anaekula lunch home cpend cpend cpend
 
uki mess up kwenye communication basii mahusiano yyt lzm uone magumu
Sina hamu na hlo neno bolded!

Eb saa zingine jueni kutofautisha mawasiliano na usumbufu, Kuna Moja alijua kuninyoosha mpka bas fb messenger, telegram, watsup, Dm Instagram na normal text kote nachatishwa kwa wakati moja kila sehemu na mada yake...hapo asubuhi ntaongea na jioni mtaongea, ukichelewa kureply unapigiwa simu🤔ukijaribu kuchat ktk namna ambayo unamaliza mada bas inaunganishwa nyingine juu Kwa juu......mara buku mtu uwe single saa zingn
 
Sina hamu na hlo neno bolded!

Eb saa zingine jueni kutofautisha mawasiliano na usumbufu, Kuna Moja alijua kuninyoosha mpka bas fb messenger, telegram, watsup, Dm Instagram na normal text kote nachatishwa kwa wakati moja kila sehemu na mada yake...hapo asubuhi ntaongea na jioni mtaongea, ukichelewa kureply unapigiwa simuukijaribu kuchat ktk namna ambayo unamaliza mada bas inaunganishwa nyingine juu Kwa juu......mara buku mtu uwe single saa zingn
Hahahaha! Na ukichelewa kujibu tu ananuna au sio!
 
Sina hamu na hlo neno bolded!

Eb saa zingine jueni kutofautisha mawasiliano na usumbufu, Kuna Moja alijua kuninyoosha mpka bas fb messenger, telegram, watsup, Dm Instagram na normal text kote nachatishwa kwa wakati moja kila sehemu na mada yake...hapo asubuhi ntaongea na jioni mtaongea, ukichelewa kureply unapigiwa simu🤔ukijaribu kuchat ktk namna ambayo unamaliza mada bas inaunganishwa nyingine juu Kwa juu......mara buku mtu uwe single saa zingn
😳🙄
Huu ss ni utoto
Mawasiliano Gani haya ?🙌khaaa
Mi siwezi aisee
Pole sn
 
Hahahaha! Na ukichelewa kujibu tu ananuna au sio!
Mdada mzur idara zote yupo vzr ila ana utoto mwingi😂😂nlikoma nlikuwa natoka asubuh saa 12 narudi saa nne au tano na wakati kawaida ningetoka saa mbili asubuh Afu Sasa 12 au Moja nipo geto
 
Hii ni kasumba tutayokumbana nayo wanaume kwenye ndoa.
Ukiwa bachelor uhuru wa kurudi muda unaotaka , kukesha baa kuangalia mpira na kunywa bia, vyote hivi vinakuwa changamoto baada ya kuanza kuishi na mwanamke.
Hivi kwanini wanawake mnapenda wanaume turudi mapema?!
Maana hata ukirudi mapema kila siku, mbususu unapewa akijisikia.
Kama mke wako kukupa mbusus mpaka ajisikie hakika upo na tapeli la mapenzi kwenye hiyo nyumba 🙌🙌🙌
 
Back
Top Bottom