Ukiona hivyo jua Me kaingia choo cha kike kwa kuigiziwa mapenzi ktk uchumba ila ktk ndoa panafukuta...[emoji3578]Na kwanini ukae bar 24/7? Nyumba yako ni jehanamu au?
Mkuu usher,Hii ni kasumba tutayokumbana nayo wanaume kwenye ndoa.
Ukiwa bachelor uhuru wa kurudi muda unaotaka , kukesha baa kuangalia mpira na kunywa bia, vyote hivi vinakuwa changamoto baada ya kuanza kuishi na mwanamke.
Hivi kwanini wanawake mnapenda wanaume turudi mapema?!
Maana hata ukirudi mapema kila siku, mbususu unapewa akijisikia.
Oa,uuze uhuruKuna sie tusiofanya vyote hivyo hapo juu ulivyoeleza.
Wenzio wanapewa kwa ratibaNdio maana home nikalipia Kila kitu hadi king'amuzi ili nisitoke hovyo nikitoka kurudi saa 12 jioni na kibaridi hiki mapenzi matamu sana
Kwa nani?Baada ya ndoa siku ya kwanza ukienda kazini rudi saaa Kumi na Moja alfajiri siku ya pili rudi saa saba mchana siku nyngn Rudi saa 12
ukijua ladha ya mwili na roho ya mwenzi wako huwez kuchelewa nyumbani ata sekunde moja unless hujaijua bado 🐒Hii ni kasumba tutayokumbana nayo wanaume kwenye ndoa.
Ukiwa bachelor uhuru wa kurudi muda unaotaka , kukesha baa kuangalia mpira na kunywa bia, vyote hivi vinakuwa changamoto baada ya kuanza kuishi na mwanamke.
Hivi kwanini wanawake mnapenda wanaume turudi mapema?!
Maana hata ukirudi mapema kila siku, mbususu unapewa akijisikia.
🤣🤣🤣Ukiona hivyo jua Me kaingia choo cha kike kwa kuigiziwa mapenzi ktk uchumba ila ktk ndoa panafukuta...[emoji3578]
Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Kukaa na mwanamke kazi sana bn mi ndo maana nimeamua nitulie zangu kibingwa.....nikihitaji natuma nauli tunachill wiki then anapanda kidia au BM uelekeo nyumbanKwa nani?
Thubutu🤣🤣
Ukisha muoa hawi tena girlfriend, anakuwa mke na haki zote za kuhoji ulikokuwa na sababu za kuchelewa kurudi na hata kukutaka urudi kabla ya saa mbili.Cha kufanya mwanaume kama unaanza mahusiano na mtu basi Hakikisha humfichi tabia zako kama ni mtu wa kunywa na kuchelewa basi akujue mapema
😅😳🙄Kukaa na mwanamke kazi sana bn mi ndo maana nimeamua nitulie zangu kibingwa.....nikihitaji natuma nauli tunachill wiki then anapanda kidia au BM uelekeo nyumban
Kama ww haupo tayar Sasa nihangaike nn? Legeza Moyo😅😳🙄
Hasa hayo maisha mpk lini?
Familia muhim sn mwisho wa siku,shauri yako
Na nyumbani akifika Wakurungwa wanaruka nae.Kukaa na mwanamke kazi sana bn mi ndo maana nimeamua nitulie zangu kibingwa.....nikihitaji natuma nauli tunachill wiki then anapanda kidia au BM uelekeo nyumban
Ht mi mwanamkeKama ww haupo tayar Sasa nihangaike nn? Legeza Moyo