Kategele
JF-Expert Member
- Oct 7, 2017
- 1,085
- 2,525
Mama zetu zamani hawakuwa hivi waliwapokea wenza wao mda wowote bila kuhoji na wanapewa chakula huku wanasubiriwa wamalize kula ili vyombo aviondoe mezani. Sasa hivi hovyo kabisa wanawake sijuwi wamekuwajeKelele Huwa mnazitaka wenyewe tu
Kuna ndoa hata hawajui kelele .
Na kelele Huwa zinakuja mnapoamza kuzingua,ile too much!
Ss Muda wa kurudi SI inategemea na shughuli zako plus ratiba zako!?
Mke Huwa anajua kazi na ratiba za mumewe....
Kwani Kwa mfano ukiaga unapoenda kwenye mishe zako utapungukiwa nn?
Haya umechelewa au umepatia dharula kwani ukitoa taarifa unapungukiwa nn?
Wanawake bwana ni vitu vidogo sn ukiweza ht sio issue