Kurudi kwa JR Junior East Africa radio kunaenda kumzima Rich msafi

Vien

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2020
Posts
7,289
Reaction score
11,787
Baada ya JR junior kurudi east africa radio baada ya kutoka Times fm, ni wazi nyota ya rich msafi inaenda kuzima, nimefuatilia vipindi kadhaa kwa sasa JR junior ndo anatawala kipindi, kwenye interview za wasanii, JR ndo anaongoza kwa kuuliza maswali mengi,
Rich msafi amebaki kama msindikizaji
 
Hapa East Africa Radio wamelamba DUME kumrudisha Jr Junior ALWATAN.

Jamaa anajua hadi anajua TENA.

Rich Msafi hawezi kupotezwa ila Jr anahitaji mtu wa kumpa VIBE kama alivyokuwa DULLA ,so combi yake na Msafi ipo POWA ,maji hayajalowana.
 
Hahaaa DJ JD na Salama Jabri - The Crewz saa moja Usiku.

Yaani Akianza Kupiga ngoma tu utajua leo JD yupo maana lazima apige Justine Timberlake Oh No What You Got ,Amyth 123.

View: https://www.youtube.com/watch?v=FFmogYtu3Ww&list=RDFFmogYtu3Ww&start_radio=1

View: https://www.youtube.com/watch?v=642Gc1VIHFM&list=RD642Gc1VIHFM&start_radio=1

Mwamba nimekukubali. Wewe ulikuwa true fan wa JD na show yake. Kuna ngoma nyingine pia naongezea hapo ya "Gina Thompson - Ya Did Ya"

View: https://m.youtube.com/watch?v=yv-2U6DZkcA&pp=ygUWZ2luYSB0aG9tcHNvbiB5YSBkaSBkYQ%3D%3D
 
Daah Pin langu hilo Gina Thompson lipo kwenye Library Playlist...Yes JD alikuwa anaipiga sana.

Yes ni big fan wa DJ JD ,nilikuwa namfatilia tangu akiwa 101.4 FM(Kwasasa ni Capital Radio) huku ilikuwa ni "NGELI" tu ,masister duu wa mzizima,shaban robert walikuwa wanapiga simu sana kutoa "shout out" kwa watu wao.

Nilikuwa namfatilia pia ITV2 ikaja kuwa Channel 5 na sasa EATV.

Radio Uhuru 1416.

Radio One Jmosi - Mtaa wa Mangoma

Radio One na SOS B - The Heat.
 
JR ana kipaji kikubwa Ila ana akili ndogo hajajua namna sahihi ya kugeuza kipaji chake kuwa PESA.

Kitendo cha kutoka East Africa radio na kwenda Times FM kisa mshahara alikuwa anakosea.

Wakati pale east Africa angetulia kwa Consistence angejenga jina na akalibadilisha jina kuwa hela.

Ile kuhangaika mara huku Mara kule nikukosea .

Kwakuwa radion huwa hamna hela Ila unaweza kupiga hela kupitia side hustle Kama Events , matangazo , n.k

Alibidi akitoka east Africa radio aende clouds , au hata wasafi.
 
Yule Mary the night nurse aliendaga wapi? Nilikua nakubali kipindi çhake Yuko alone kama wako nane hivi na playlist Kali sana ,, nilijua nyimbo nyingi sana that time
 
Daah Pin langu hilo Gina Thompson lipo kwenye Library Playlist...Yes JD alikuwa anaipiga sana.

Yes ni big fan wa DJ JD ,nilikuwa namfatilia tangu akiwa 101.4 FM(Kwasasa ni Capital Radio) huku ilikuwa ni "NGELI" tu ,masister duu wa mzizima,shaban robert walikuwa wanapiga simu sana kutoa "shout out" kwa watu wao.

Nilikuwa namfatilia pia ITV2 ikaja kuwa Channel 5 na sasa EATV.

Radio Uhuru 1416.

Radio One Jmosi - Mtaa wa Mangoma

Radio One na SOS B - The Heat.
Daaah! Umetisha sana. Enzi zile za 1998 na kuendelea. Nakumbuka sana.
 
Back
Top Bottom