hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,381
- 80,408
Mkuu Asante sana --Huyo baba Yetu (mzee wako )
Huo ni sehemu tu ya u'dhaifu wake Akiwa kama binaadamu ''udhaifu ambao kila mtu anao --kwa style yake. .---bila Shaka Nina amini ana mambo mengi Mazuri Ambayo Yana mfanya asimame kidete mbele ya wazazi bora kiasi kwamba hayo madhaifu yake yakuto kusema samahani Yana kuwa hayaonekani.....

May his soul find an eternal peace, kweli alikuwa mtu mwema sana. Ila kwa hili natamani nikuazimishe wangu maana 😀 😀 hiyo samahani au kukubali kosa sijawahi kuona toka nazaliwa