Hakuna kitu kibaya kama kuingilia ugomvi uliopita. Baba yako anawajua ndugu zake kuliko wewe unavyowajua na pengine atakupa tahadhari na asikuambie madhaifu ya ndugu zake maana wanaume ni ngumu kuropoka hivyo, inakupasa kuwa makini maana unaweza kukaribisha matatizo ambayo baba yako anajaribu kuwaepusha nayo maana kila koo ina siri zake. Kama kuna ugomvi kwa sababu za kijima na za kueleweka, bhasi nenda ila kama unaona kisa kina mapungufu au sababu ambazo hazieleweki, mkuu usijaribu kujiweka upande wa pili bila mzazi wako kukuweka wazi kwa kila kitu . NI HATARI