Kurisit na QT ipi bora?

hongera sana mkuu.
 
Naombeni ushauri wadau anayejua,Kati ya Kurisit naKusoma QT kipi bora?Ikiwezekana nipeni maelezo QT ilivyo,Ada yake,Namna ya kujisajili na Usomaji wake.Nina mdogo angu alifeli form4 ila sasa ana nia kweli ya kusoma.Ahsanteni.
kwa matamko ya ndalichako nakushaur u resit bt isiwe zaidi ya crdt 1 la sivo uwe unakesha kama mlinz
ama urudi form 3 upya hii ni nzur zaidi kwan utakua unajua ulikosea wap na haitokua rahisi kufeli coz utajiandaa mapema hata ukiwa tuitions utaelewa faster
n.b hizo njia zitakusaidia kupata mikopo chuo kirahisi zaidi kuliko kweda diploma ambapo nw ts official hawatoi mikopo au ukajikuta umeshndwa kupata io gpa yao na ukawa mwisho wako wa kielim maana hzo njia nyingne ukishndwa unaweza kujarbu college bt sio rahis kushndwa college na kuamua kuresiti au kurudia form 3
 
Safi sana aisee hii ipo safi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…