Kurisit na QT ipi bora?

Probility is very low kama ela IPO f2 ndio solution
 
Ku resit paper inataki ujitoe na kujikana mwenyewe huku ukiwa unajua ulikosea wapi na unatafuta nini..? ulichokosa lkn kama unaona uwezo wako cyo mzuri sana ni bora uanze QT coz QT unaenda kuanza vitu vya form one kbs tofauti na kuresit paper zaid ni topic za form 3 na 4 sasa Kama ulikuwa haupo vzr utaona kila kitu kigumu lkn usikate tamaa mm nilirudia 9 nikapata credit 6 namshukuru Mungu. Jikane mwenyewe ndugu afu us usije ya watu wanaokatisha tamaa kufaulu kupo mikononi mwako
 
Naombeni ushauri wadau anayejua,Kati ya Kurisit naKusoma QT kipi bora?Ikiwezekana nipeni maelezo QT ilivyo,Ada yake,Namna ya kujisajili na Usomaji wake.Nina mdogo angu alifeli form4 ila sasa ana nia kweli ya kusoma.Ahsanteni.
Bora kuludia 4m 2
 
kama alifel kbsa akakosa crdt hata moja umaana wa kurst haupo akapge QT ila n kusoma hasa kama hakiri ya msuli hana maana binadamu tumepshana uwezo wa kufikil. Ushauri wang mtafutie fani ndo soko la ajira liliko egemea sas hv xo kutegemea kuajiriwa
 
Mie nilipata crdt 1 ya kiswahili ila nimepata bahati nimeajiliwa serikalini na nilikua na wazo na kureset ila nasikia asaivi ni lazima urudie masomo yote kweli?
 
Mie nilipata crdt 1 ya kiswahili ila nimepata bahati nimeajiliwa serikalini na nilikua na wazo na kureset ila nasikia asaivi ni lazima urudie masomo yote kweli?
Upo mkoa gsni
 
Hahahaha...! msuli wake ni hatari. Hongera kwa kuchomoa Credit.
 
Mie nilipata crdt 1 ya kiswahili ila nimepata bahati nimeajiliwa serikalini na nilikua na wazo na kureset ila nasikia asaivi ni lazima urudie masomo yote kweli?
Sina hakika ila jaribu kuchek matokeo ya NECTA ya Private Candidate mwaka jana kama walifanya masomo yote au la.
 
kama kuristi si unaenda 5 ukipasi,

uliendaje 6 moja kwa moja
 
kama uko mwanza kuna kituo cha ku.resit na tunafundisha masomo yote kwa uzito sawa...kuna hostel kama utapenda kuishi pale ...wapo wengi waliokuja wamekata tamaa ila sasa wameona inawezekana kufaulu
Kituo gani hicho?
 
kama kuristi si unaenda 5 ukipasi,

uliendaje 6 moja kwa moja
Ni uamuzi wako, wapo wanaorisiti wakiwa form 4 na wale wanaopiga 5 huku anarisiti. Kwa upande wangu ilikuwa hivi, nilikuwa napiga TWO IN ONE yaani vidato viwili kwa wakati mmoja. Napiga Form 5 huku nasoma masomo ya kidato cha nne(Remedial classes) lakini kumbuka napiga Form 5 huku sina sifa za kuwa Form 5 ambapo ukidunda Form 6 huendi maana huna credit kwa hiyo ni juhudi zako. Kufika mwezi wa 7 nikawa naingia Form 5 kwa kudesh maana nilijitambua mapema kuwa sina sifa nikarudi kukaa kidato cha nne napiga nao msuli. Nilipofaulu nikaunga 6 na wale wenzangu wa Form 5. Hii mbona ipo na inafahamika ila Form 6 utapiga tena kama PC. Sijui umenipata ama la?
 
Dhaaa umenishawishi na me niende shule aise me nimekosa C moja ya history
Siku hizi hakuna kuungaunga credit km unarisitt ujue unayakana matokeo ya awali unatafuta credit zote 3 upya
Know this
 
Hiyo ni zamani
Now hakuna mambo ya kuunganisha credit...unatakiwa uwe na Credit 3 za kikao kimoja
 
Ila kama ni science kwa huu upepo wa sasa bora arudie form three upya maana credit ni ngumu na ndalichako anaelekea kukataa vyeti vya kuunga unga. ...
hawezi kurudia fm3 hiyo haipo kwa siku hizi labda fom2
 
Mie nilipata crdt 1 ya kiswahili ila nimepata bahati nimeajiliwa serikalini na nilikua na wazo na kureset ila nasikia asaivi ni lazima urudie masomo yote kweli?
Sina uhakika kuhusu kurudia tote ila kuunganisha credit hakuna yaani km unarudia unatafuta credit 3 upya haijalishi mwanzo ulikuwa nazo ngapi
 
Umenikumbusha mbali sana, ila hongera kijana tena natudia tena hongera.
 
Hiyo ni zamani
Now hakuna mambo ya kuunganisha credit...unatakiwa uwe na Credit 3 za kikao kimoja
Nani alokudanganya wewe, kungekuwa hakuna hicho kitu hata kurisiti kungefutwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…