Kurekebisha memory ya simu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kurekebisha memory ya simu

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by yshima, Sep 26, 2010.

 1. yshima

  yshima Member

  #1
  Sep 26, 2010
  Joined: Sep 12, 2010
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hellow wana JF!!

  Jamani nina simu aina ya NOKIA 6120 Classic ambayo ina 35MB Free User memory (Internal Phone Memory; C.).

  Ajabu ni kwamba, wala sijasevu vitu vingi zaidi ya contacts,sms na baadhi ya applications ambazo zote kwa ujumla hata hazifiki 10MB,..lakini eti nikiangalia Memory iliyo baki ni 2.7Mb tu.

  Sasa hii memory nyingine imechukuliwa na kitu gani?..nime-delete/kuhamishia vitu kibao kwenye memory card lakini wapi..sasa sijui tatizo ni nini...NISAIDIENI KUTATUAHILI TATIZO JAMANI!!!
   
 2. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #2
  Sep 26, 2010
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Nadhani hapo ulipoangalia na ukaona memory iliyobaki kwa chini yake kuna sehemu inayokuonyesha files na size yake hivyo ukichunguza vizuri utaona ni sehemu files gani zimekula memory yako.
   
 3. M

  Msharika JF-Expert Member

  #3
  Sep 26, 2010
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 936
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Nadhani kama unatumia internet pia scan isije kuwa ni katrojan mzee
   
 4. yshima

  yshima Member

  #4
  Sep 26, 2010
  Joined: Sep 12, 2010
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  :smile-big:Nimekupata!.., mpangilio upo hivi!
  Memory in Use(41MB),Free (2.709),Calender(0.017),Contacts(0.11),Messages(0.025),Images(0),Sound Files(0),Video Clips(0),Documents(0.015) na MIDP apps(0.296)

  Hivyo ndivyo mpangilio wake ulivyo.Mimi nadhani ilitakiwa ukijumlisha vitu vyote vilivyo kwenye rangi ya dhambarau na kijani unatakiwa upate jibu ambalo ni sawa na memory in use(pink) i.e. at least 35MB.Chakusangaza ukijumlisha vyote hivyo unapata 3.172MB...JNYNGINE ZIKO WAPI??....au kuna program/njia yoyote ya ku 'defragment' memory (C).............???????????
   
 5. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #5
  Sep 27, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Sio mtaalamu wa simu lakini naamini hiyo inbuilt memory

  • Ni kama drive C ya kumpyuta. inahifadhi file za OS ya Nokia ambayo initwa Symbian.
  • inahifadhi picha na ringtones iliokuja na simu
  • inahifadhi custom sms zinakuzokuja na simu.
  • nk
  So dont be suprised. Na sababu ni internal memory ichakachue kwa makini.

  Ukitaka futa ringtones, Picha za nokia usizopenda.
   
 6. D

  Dedii Member

  #6
  Sep 28, 2010
  Joined: Aug 16, 2010
  Messages: 76
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  memory ya mchina hiyoo. wala ucpoteze muda wa kuumiza kichwa. unaweza kuta memor 2gb unasave file 200mb memory inadai iko ful.
   
 7. c

  cc_africa Senior Member

  #7
  Sep 29, 2010
  Joined: May 30, 2010
  Messages: 121
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tafuta applicationt inaitwa x-plore ya s60v3 unaweza kutatafuta kwenye google. Kisha download the ukifungua bonyeza * mark 4 box then rudi itakuonyesha drivers zako ulizo install
   
 8. c

  cc_africa Senior Member

  #8
  Sep 29, 2010
  Joined: May 30, 2010
  Messages: 121
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unaweza kwenda kwenye www.samwep.com then software utakuta s60v3 software hapo kuna n73 n82 n95 nk angalia kwa juu utakukuta xplore v1.05 idownload. Ikikataa badilisha mwaka weka 2007-2009.
   
 9. yshima

  yshima Member

  #9
  Sep 29, 2010
  Joined: Sep 12, 2010
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Thanks!!
  let me give it a try...!!
  NB:Je kunaweza kukawa na software (s60v3) inayoweza ku-'defragment' memory za simu za aina hiyo?
   
 10. c

  cc_africa Senior Member

  #10
  Sep 29, 2010
  Joined: May 30, 2010
  Messages: 121
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndiyo mbna mi na2mia na iko vizuri unaweza kuona driverz c,d,e,z. Jaribu kufungua utajua.
   
 11. c

  cc_africa Senior Member

  #11
  Sep 29, 2010
  Joined: May 30, 2010
  Messages: 121
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 12. yshima

  yshima Member

  #12
  Oct 5, 2010
  Joined: Sep 12, 2010
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Nashukuru kwa kunielekeza kufungua DotSIS.....pamoja na maelekezo mengine.
  Solution nimeipata hapa hasa reply namba 4....inayosema ''Just press 4 in xporer mark all then del,if not solved reset ur phone using the code*#7370#[​IMG]''.
  Baada ya kuingiza code hiyo na password,cm ilil restart na kurudisha settings za mwanzo ilipokuwa mpya. Ilifuta data zote zilizokuwa zimebaki kwenye phone mem..lakini si kitu kwakuwa nilikuwa na backup. Sasa free memory imerudi kuwa 37MB na used memory ni 6.4MB tu!
  Thanks cc_africa!!
   
 13. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #13
  Oct 5, 2010
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Karibu sana mkuu... Tunashukuru umerudi kuja kutupa feedback ya kile ulichoelekezwa hapa, wengi wakisaidiwa hapa hawarudi kuja kutupa matokeo ya kile tulicho wafundisha na hii imefanya baadhi ya watu washindwe kutoa mawazo yao hapa.
   
 14. c

  cc_africa Senior Member

  #14
  Oct 12, 2010
  Joined: May 30, 2010
  Messages: 121
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nashkuru kwa kunijulisha ukisoma vizuri utajifunza mengi pia jaribu kutumi web browser ya ucweb v6.3 ni nzuri sana.iko kama pc unaweza kufungua jamii kwa ku2mia user yako na kumjibu mtu,kama mimi ninavyo fanya hapa.
   
 15. D

  Dannycage Senior Member

  #15
  Nov 14, 2010
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 105
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Ucweb ni nzur sn bt wana-hack details zako,mi nadhan km ana2mia nokia aende ovi store afanye registration thn download ovi browser,atafurahia browsn zake zozote.
   
 16. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #16
  Nov 14, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,276
  Trophy Points: 280
  Reset factor then uangalie kama bado weka kaspersky mobile scan lazima hao nk maraws na trojan weka kama unatumia ovistore ipo kasp downroad kama una visacard watakukata kiasi kidogo cha pesa.
   
Loading...