tatizo ni bulb au holder?Simbachawene hakuondolewa kuwa na kimbukumbu
Nchemba kichwa chake kipo vizuri naona leo ufipa hamlali mnalialia tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Simbachawene hakuondolewa kuwa na kimbukumbu
Nchemba kichwa chake kipo vizuri naona leo ufipa hamlali mnalialia tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Speech yake ya bungeni ndio iliyomrudishaCcm mnapata taabu sana juzi tu Mwigulu mnamuona takataka leo lazima msifie tena duh
Sent using Jamii Forums mobile app
nishaanza kuaminiHata Kange atarudi tu
Yaani ukitaka kujua namna Jiwe "anavyochemka" katika teuzi zake ni huu wa Mwigulu!Magufuli alitaja sababu 13 za kumng'oa Mwigulu ( uzi upo jf ) lakini leo kabwia matapishi yake !
Hakuna kiongozi ambaye ni kigeugeu, ambaye Taifa hili limepata kuwa naye kama Jiwe!Duh kwa mwigulu kachemka. Labda kwa vile alimtetea ile juzi kwa kujificha chato kipindi hiki cha corona
Ccm mnapata taabu sana juzi tu Mwigulu mnamuona takataka leo lazima msifie tena duh
Sent using Jamii Forums mobile app