Kura: Zilipendwa vs Seduce me

Kura: Zilipendwa vs Seduce me

PIGA KURA: ZILIPENDWA V/S SEDUCE ME


  • Total voters
    118

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,377
Weka kura yako hapo juu na matokeo yanaonekana live:

Hatua
1.Chagua ngoma unayoikubali
2. "Cast your Vote" kuweka kura yako
MTANANGE.png
 
Kundi la watu 7 linapoungana kumshambulia Mtu mmoja na bado wakapingwa vibaya.

Vumilieni tu maana mama enu ndo kishaliwa.
WCB wametoa nyimbo kibao tuu wakati Alikiba akiwa kimya akifanya tour zake, huu ni mwendelezo tuu wa WCB kutoa single zake ilizonazo tusichukulie sana katika fikra za kushindana shindana japo ushindani upo...
na WCB wanaonyesha kuwa bado wanahifadhi kubwa ya nyimbo ndani ya kapu lao la kuweza kutoa muda wowote fans wao wakitaka watoe...
 
Back
Top Bottom