Kura za maoni CCM EAC

Ni pombe au akili yako??

Mkuu siyo Pombe. Rejea hizi kauli za wenzetu:

Nimetembea kuanzia KIA, Kikatiti, Maji ya Chai na Usariver! kote huku hawataki kabisa kuiskia CDM!

wewe baki tu kwenye Keyboard yako dar es slaam ukipiga kelele kuwa CDM inashinda, Wenzako tulio field tunafahamu what is real happening. Viongozi wa CDM hii wiki yote wameingiwa hofu kubwa sana!!


Tehe teh teh na mbuzi na ng'ombe wa kusherehekea usindi wa Sioi hiyo tarehe 1 tumepewa!!


Tarehe 2 April 2012 ni siku ya malalamiko ya kuibiwa kura kitaifa yatafanyika humu Jamvini.

Wote hawa wasindikizaji! Ushindi upo CCM!

Ni mambo ya kujipanga tu. Arumeru hatuhitaji kutumia nguvu kubwa cuz tunakubalika! Vipi, mmeshasolve matatizo ya kifedha yanayowakumba?

Masikini we! Yaani pamoja na kubeba watu Moshi, Hai, Arusha nk bado ndo mkutano umedoda hivi? Umezidiwa hata na mkutano wa uzinduzi wa kampeni za kata Mwanza, Aibu!!! Subirini mafuriko Jtatu ndo mtajua CCM mziki mkubwa!
 
DOOKY!masaa matano yameshapita tangu uanzishe hii mada,mbona kimyaaaa!tunaomba utu -update na kinachoendelea,maana chochote kinachoendelea hapo ni habari!
 
Hakuna nafasi ya kudumu katika Bunge. Labda kwenye chama ambako nako wazee wamepewa nafasi nyingine. Malecela alikuwa mbunge wa Mtera na watu humu wakafurahia aliposhindwa na Liv Lusinde kuwa mbunge na kumuangusha mzee wa watu. Watu rahisi sana kusahau, sasa munaona matunda yake anavurumisha matusi hadi kuwaponza waliomuingiza bungeni (CCM)....

Ila naamini Mwikimbi alikua na maana Anne Kilango Malecela na kwa kweli anampenda sana William na wako karibu kama mwanae wa kumzaa. Najua Anne Kilango atampigania sana William. Tunamuombea kila la kheri, tunawaombea na wapambanaji wa ukweli kina Mrisho Gambo na Shyrose Bhanji.... najua CCM wanahitaji watu wa aina hiyo, kizazi cha mabadiliko si vijana wa kujipendekeza bila hoja ili kuweza kuhimili wimbi la sasa.

unaleta mambo kama ya arumeru mashariki,wananchi wakapaona na sasa kwa vile mubaki wenyewe kigezo huyu kijana mdogo ni mtoto wa nani ;mtoto wa malecela na kilango haya mpe kama hajulikani mnasema hawezi siasa sasa katiba mpya tunataka wananchi tuchague wenyewe
 
Nashangaa WILLY member amepita lkn ame demonstrate a high degree of selfishness and egoism kwa wanabodi. yeye kapita ila hajatupa matokeo kamili
 
Nashangaa WILLY member amepita lkn ame demonstrate a high degree of selfishness and egoism kwa wanabodi. yeye kapita ila hajatupa matokeo kamili

Inabidi ujue taratibu! Ungeuliza kwanza kabla ya kulaumu. Mchakato bado ndio kwanza kura za maoni, sasa akianza kusemea wengine atakua hajitakii mema. Lakini pia kama kajulishwa kwamba kapita,hawezi kupewa list ya watu atakaokua nao, bali ataambiwa tu, "hongera kijana, umepita" sasa huyo anayemwambia ni bosi wake wa chama, aanze "nIpe list yote"... Hapana. Mbona hao wengine hawaji humu? Yeye anatuamini ndio maana kaingia na kuomba tumsaidie na akaja kushukuru, na hajawahi kujificha kwamba yumo JF kwa nguvu zote. Salute Mkuu Willy... Hakuna unafiki.
 
Atakuwa ameambiwa afunge mdomo maana tayari angekuwa hapa.
 
Atakuwa ameambiwa afunge mdomo maana tayari angekuwa hapa.

Nape kisha mchakachulia na Kimbisa nae lazima kapita through Kinana, nawaonea huruma hao wengine watachinjiwa baharini kama mbuzi wa kafara!! Kama alivyosema jamaa mmoja humu hawa magamba wanapanga matokeo kabla kupiga hizo kura ni danganya toto tu!!
 
Hao watu walionena hayo mbona cwaoni humu JF siku hz? Au bado wanasherekea ushndi wa Ccm huko Arumeru?

Baada ya kushindwa Arumeru, Rejao siku hizi anaingia JF kama Guest! Ritz huwa naumuona ona sema amepooza sana.
 
Back
Top Bottom