Kura ya Meghji yazua utata mpya

Kura ya Meghji yazua utata mpya

yule kateuliwa na rais kupewa ubunge sio yeye wako pia akina sada mkuya, Nahodha na wengine sasa wote hao utasema sio waznz ,au kuishi bara ndio kupoteza uznz? sasa nyie mliokimbilia england nanyi mtakuwa sio waznz?

Nenda kacheki List ya wajumbe kutoka bara utalikuta jina la huyu Meghji, lakini ukienda kwenye list ya Zanzibar jina lake hamna, lakini pia hakuna asiyejuwa namba ya idadi ya wajumbe kutoka Zanzibar na bara kama utajumlisha na huyu mam itakuwa ni tofauti.

Pia kuna mjumbe alifariki kabla ya kura akiitwa Aida lakini nenda kachek kwenye majina ya waliopitisha katiba utakuta jina lake ni la kwanza.

Ambari NCCR Mageuzi hakupiga kura lakini jina lake lipo katika List. Pia kuna wajumbe ambao walikuwa hijja kwa mujibu wa taratibu za kule Makka ilishindikana hawa kupiga kura lakini Sitta ameweka za NDIO. kama unataka kukurupuka na kujibu hizi hoja emu tiririka tena hapa. mana sita hadi leo ameshindwa kutoa majibu.

Lakini pia kama haitoshi ni kwanini wajumbe waliopiga HAPANA walitishiwa maisha yaho na mabosi pale dodoma? waliripoti Live kupitia redio za kigeni na magazeti mbali mbali.
 
Mzigo mzito mpe mnyamwezi abebe na hasa akiwa anaitwa 6.
 
Kakke huyo mama ni mzanzibar wa kuzaliwa kama ilivyo kwa wazanzibar wote kuwa wana haki zote za utanzania hivyo anaweza kushika cheo chochote tanzania maana ni mtanzania.

ila kwa mtu wa bara kuwa mznz lazima awe kaishi muda usiozidi 10yrs zanzibar .hapo hakuna utata. sasa huyo mama unasemaje sio mzanzibar kwa vile ameamua kuhamia dar ndio asiwe mznz,wewe uliyehamia huko UK tukuite sio mznz?
au kuna mahali popote kaelezwa kuwa yeye anawakilisha jimbo fulani bara?
hizi hoja za kitoto ndio ccm huwapiga nazo mnabaki mmeduwaa.

AWOTTA: Member: Zakia Hamdani Meghji

Kama aliingia kwenye bunge akiwakilisha Taasisi ya Tanganyika, itakuwa ni Miujiza tu akigeuka ghafla na kuwa Mzanzibari ndani ya Bunge. Bunge hili limekuwa na Miujiza mingi....
 
Mbona nasikia hata marehemu mama yake mzazi wa Zito Kabwe naye amepiga kura ya ndiyo? CCM wanachama wake walio wengi ni maruhani. Msishangae tunaongozwa na maruhani. Walishasema mgombea akiwa mbuzi akitoka ccm na mpizani hata awe nani, ccm itashinda. Dharau wanazo.
 
Hivi hii mambo haiwezi kuhojiwa mahali popote?
 
Kuitetea CCM ya leo si kazi ya kuchezea, yaani hata uwe Daktari wa falsafa lazima utachemsha tu.
 
jamaniee samahan,naomben kuelekezwa jinsi ya kupost ki2 kwenye jf tafadhar
 
ni mbunge wa kuteuliwa na rais katika bunge la muungano. ukweli ni kuwa wako waznz wengi tu na wabara wengi wameteuliwa na rais lakini katika uteuzi hasemi kateuwa kutoka wapi wala wapi , sasa kigezo cha anatoka bara au znz kinatoka wapi?
wewe Kweli tp mazembe, hujui kuwa 210 waliteuliwa wa znz kwa idadi na wa bara kwa idadi maalum? kasome makabrasha kabla ya kuja kuandika upuuuiziii na kujidhalilishaa hapa
 
Ubabe huu ulianza tangu wakati wa kufungua bunge la katiba baada ya kumtanguliza wariona badala ya kikwete!
 
jamaniee samahan,naomben kuelekezwa jinsi ya kupost ki2 kwenye jf tafadhar

kwanza uwe umejisajili., then tafuta jukwaa unalotaka kupost kitu.. Utaenda kwenye "new topic" haya jimwage hapo.. Ila kumbuka vigezo na masharti.
 
ni mbunge wa kuteuliwa na rais katika bunge la muungano. ukweli ni kuwa wako waznz wengi tu na wabara wengi wameteuliwa na rais lakini katika uteuzi hasemi kateuwa kutoka wapi wala wapi , sasa kigezo cha anatoka bara au znz kinatoka wapi?

Kwa mujibu wa upigaji kura inatakiwa 2/3 wabunge Zanzibar na 2/3 wabunge Tanganyika(TZ Bara), kwa kifupi kila wabunge walikuwa wawakilishi wa pande hizo mbili.Pia palikuwa na anwani ya kuwa mwakilishi toka pande zipi kati ya hizo mbili.
 
Haya magamba yalisha jihakikishia kuwa kila wanachotaka wao kinapita iwe kwa gharama yoyote ile au kwa kumwaga damu za watu wasio na hatia ila nawambieni Mungu hamutupi mja wake, ipo siku watajutia kwa kutoana na kutufanya sisi mazuzu tusio jua kitu. Haiwezekani kuchakachua live kila mtu anaona huyu ni mbunge wa bara hakuna cha origin hapa, mbona mabumba kapigia zbar.
 
ni mbunge wa kuteuliwa na rais katika bunge la muungano. ukweli ni kuwa wako waznz wengi tu na wabara wengi wameteuliwa na rais lakini katika uteuzi hasemi kateuwa kutoka wapi wala wapi , sasa kigezo cha anatoka bara au znz kinatoka wapi?

Katika orodha ya wajumbe alioteua rais ilibainisha wazi wajumbe kutoka zanzibar na wajumbe kutoka tanganyika je huyu mama jina lake liko upande upi kwenye hii orodha?
 
ingawa mm si shabiki wa ccm lakini ukilifuatilia kiundani ccm wameshinda ni wap anatakiwa apigie kura huyu mama huwezi kumbagua sijui mzanzibar au kakaa sana bara hapo tumepigwa bao yaelekea walimuweka wa akiba alikuwa anapasha misuli nje panapopwaya wanamuongezea.

BMK lilikuwa na wajumbe ambao wote walibainishwa kuwa wanawakilisha upande upi toka pande mbili za muungano ndio maana tulisikia akidi ya tanganyika na akidi ya zanzibar hapakuwa na mjumbe asiye na upande sasa huyu bibie jina lake lilikuwa upande upi?
 
Kwani, msingi wa ukokotoaji wa 2/3 katika pande zote za muungano ulikuwa unazingatia idadi ipi ya wajumbe wa BMK? Huyu mama from the beginning aliwekwa upande upi wa Muungano bila kujali asili yake ni Tanzania Bara/Tanganyika au Zanzibar?........Hapa iwe isiwe, Zakhia Meghji ni lazima ilikuwa apige kura kuwakilisha upande mmoja tu wa muungano pasipo kujali asili yake na wala si vinginevyo......na kamwe tusidanganyane kabisa hapa!!

Aidha,kama idadi ya wajumbe wa BMK kutoka pande zote za Muungano haikuwekwa wazi toka mwanzo na sheria iliyoliweka hilo Bunge katika operation, then Samwel Sitta na watu wake watakuwa walitumia ipasavyo weakness hiyo kufanya kweli katika uchakachuaji wao kwa kadiri busara ya mwenyekiti ilivyoona na kwa maana hiyo BMK liko sahihi, hakuna kosa hapo....bali ni kosa la sheria yenyewe kwa kutokuelekeza!

Mwisho katika BMK kulikuwa na wajumbe wa aina mbili; Mosi ni wale kundi la 201 ambao waliteuliwa na Marais wote wawili (Kikwete - JMT na Shein - Zanzibar), na pili ni wale wa wabunge wa Bunge la JMT (wa majimbo,kuteuliwa na Rais na viti maalumu) pamoja na wale Baraza la Wawakilishi Zanzibar.

Hapa baadhi ya wachangiaji wanamchanganya Zakhia Meghji kuwa aliingia katika BMK kuwakilisha kundi gani. Jibu ni kuwa Zakhia Meghji ni mbunge wa viti maalumu katika bunge la JMT na kwa hiyo aliingia kwa tiketi hiyo na wala hakuwa miongoni mwa wateule wa Marais kutoka katika kundi la 201.

Sasa hapa, swali la msingi hapa ni je, katika 2/3 alikuwa anahesabiwa kama Mzanzibar au Mtanganyika/Tanzania Bara?.....Mwenye Orodha rasmi ya wajumbe wote toka Zanzibar na Tanzania Bara/Tanganyika walioshiriki katika BMK na kuainishwa/kutambuliwa na sheria atuwekee hapa. Hii pekee ndiyo itafunga mjadala huu na tutaelewa kura ya Meghji ni halali au si halali na toka katika upande upi.

Lakini personally, siamini na sidhani kama uongozi wa BMK unaweza kuwa wa kipuuzi na kizembe wa kiwango hiki kuwa wamchukue mtu asiye halali upande ule apigie kura upande huo badala ya ule wa kwake kisheria ili mradi tu eti kuhalalisha wanachokitaka kukipitisha huku wakijua ni kinyume cha matakwa ya kisheria. If so, then they must be put into account!!

CC. Tpmazembe, Mzanzibar Halisi, Mpiga zeze, Gor, Vyamavingi and Respect wa Boda
 
Wajumbe wanaoweza kutambuliwa rasmi kuwa ni kutoka Zanzibar ni:
1. Wabunge wa bunge la Jamhuri wanaowakilisha Zanzibar
2. Wajumbe wa baraza la wawakilishi
3. Wajumbe wa kuteuliwa kutoka makundi maalum kutoka Zanzibar (kundi la 201)
Zakia Meghji sio mmoja wa hawa. Yeye ni mbunge wa bunge la Jamhuri aliyeteuliwa na rais bila kutoa maelezo katoka Bara au Zanzibar. Pia yupo Saada Mkuya. Hawa wanaweza kisheria kupigia kura upande wowote. Ila kama watapigia Zanzibar basi wawe na vitambulisho vya ukazi.
Otherwise sheria ya bunge maalum la katiba pamoja na kanuni zake hazitoi maelezo ya zaidi ya hayo. Hata kama katika orodha alikuwekwa kwenye upande wa Bara haikumfunga asipigie kura upande wa Zanzibar. Ikiwa BMK wamechukulia hiyo "loop hole" basi hawana kosa. Wanasheria "makini" kina Tundu Lisu hawakulitazamia hili
 
Tatizo la ss watanzania tunaongea saana bila vitendo.
 
If so, mama huyu kwa hiyo, kupigia kura yake upande ule wa Muungano (Zanzibar) wakati yeye ni Mtanganyika moja kwa moja kura yake ilikuwa na mpaka sasa ni batili!!

Otherwise uliokuwa uongozi wa BMK uje na maelezo mengine ya ziada yenye kumhalalisha huyu mama kuwa ni M-zenj na alikuwa na haki kupigia kura upande huo!.
 
Back
Top Bottom