Kura ya Meghji yazua utata mpya

Kura ya Meghji yazua utata mpya

....hapa shida ni nini?,meghji anotoka 201,je jina lake linatoka upande gani wa Tanganyika au Zanzabar,angalieni aliomba kupitia taasisi gani?.Atakamatika tu.....ikija kungundulika kama kamafanya hivyo..duh huyu mkwe atadharaulika na pengine akajipatia maadui wabaya sana.

Si hivyo tu, bali inakuwaje mtu ambaye maisha yake yote amekuwa anaishi tanzania bara leo akapige kura kuiamulia zanzibar namna katiba yao iantakiwa iwe wakati hayo maamuzi hayatamhusu yeye na familia yake.? hapa kuna mizengwe. pamoja na kwamba ana asili ya zanzibar haimpi tiketi ya kuwaamulia wazanzibar mambo yao kwa sababu haishi huko. kwanza meghi amejeiandikisha kama mpiga kura wa bara au zanzibar? kwa maneno mengine wakati wa uchaguzi mkuu Zakhia huwa anapiga kura kuchagua viongozi wa zanzibar?Meghi ana kitambulisho cha mazanzibari mkazi? Wazanzibar msikubali huu upuuzi.
 
Wakuu naomba kuuliza swali jepesi hapa. Wote twajua kwamba kulikuwa na idadi maalum ya wajumbe kutoka Zanzibar na Bara. Bila kuangalia originality, Je Mama Meghji kwenye ile list alikuwa anawakilisha Bara au Zanzibar? Kama alikuwa kwenye list ya wajumbe 200+ wa zanzibar basi ana haki ya kupiga kura kwa upande wa Zanzibar na kama alikuwa kwenye list ya wajumbe 400+ wa Bara basi alikuwa ana haki ya kupiga kura kwa upande wa Bara. Kinyume na utaratibu wa mwanzo ni batili.
 
....hapa shida ni nini?,meghji anotoka 201,je jina lake linatoka upande gani wa Tanganyika au Zanzabar,angalieni aliomba kupitia taasisi gani?.Atakamatika tu.....ikija kungundulika kama kamafanya hivyo..duh huyu mkwe atadharaulika na pengine akajipatia maadui wabaya sana.

Ataishia Uholanzi anako kesha Ruto na uhuru
 
Kakke huyo mama ni mzanzibar wa kuzaliwa kama ilivyo kwa wazanzibar wote kuwa wana haki zote za utanzania hivyo anaweza kushika cheo chochote tanzania maana ni mtanzania.

ila kwa mtu wa bara kuwa mznz lazima awe kaishi muda usiozidi 10yrs zanzibar .hapo hakuna utata. sasa huyo mama unasemaje sio mzanzibar kwa vile ameamua kuhamia dar ndio asiwe mznz,wewe uliyehamia huko UK tukuite sio mznz?
au kuna mahali popote kaelezwa kuwa yeye anawakilisha jimbo fulani bara?
hizi hoja za kitoto ndio ccm huwapiga nazo mnabaki mmeduwaa.

AWOTTA: Member: Zakia Hamdani Meghji

Hoja sio kazaliwa wapi, hoja kateuliwa kuwakilisha wapi, sawa anaweza kuwa kazaliwa zanzibar ila mjume kutoka Tanzania bara, huyu mama mlafi sana wa fedha, ndio maana lilikimbilia dar kufuata madaraka likatelekeza mume pale ushirika moshi mume kaugua mpaka kafa mwenyewe bafuni, ndio maana Moshi lilikataliwa lilipoonyesha nia ya kutaka kugombea ubunge, kwa ulafi wake likampa mkuu kabinti kake ili aendelee kuhongwa madaraka. Mpuuzi at her own upuuzi
 
Kakke huyo mama ni mzanzibar wa kuzaliwa kama ilivyo kwa wazanzibar wote kuwa wana haki zote za utanzania hivyo anaweza kushika cheo chochote tanzania maana ni mtanzania.

ila kwa mtu wa bara kuwa mznz lazima awe kaishi muda usiozidi 10yrs zanzibar .hapo hakuna utata. sasa huyo mama unasemaje sio mzanzibar kwa vile ameamua kuhamia dar ndio asiwe mznz,wewe uliyehamia huko UK tukuite sio mznz?
au kuna mahali popote kaelezwa kuwa yeye anawakilisha jimbo fulani bara?
hizi hoja za kitoto ndio ccm huwapiga nazo mnabaki mmeduwaa.

AWOTTA: Member: Zakia Hamdani Meghji

Mkuu umemaliza utata wote.sita awajibishwe hata ikibidi The hague apelekwe.
 
Last edited by a moderator:
Kakke huyo mama ni mzanzibar wa kuzaliwa kama ilivyo kwa wazanzibar wote kuwa wana haki zote za utanzania hivyo anaweza kushika cheo chochote tanzania maana ni mtanzania.

ila kwa mtu wa bara kuwa mznz lazima awe kaishi muda usiozidi 10yrs zanzibar .hapo hakuna utata. sasa huyo mama unasemaje sio mzanzibar kwa vile ameamua kuhamia dar ndio asiwe mznz,wewe uliyehamia huko UK tukuite sio mznz?
au kuna mahali popote kaelezwa kuwa yeye anawakilisha jimbo fulani bara?
hizi hoja za kitoto ndio ccm huwapiga nazo mnabaki mmeduwaa.

AWOTTA: Member: Zakia Hamdani Meghji

kinachoongelewa hapa ni kutaka kujua aliwekwa upande gani kati ya bara na znz wakati bunge la katiba linaanza, kuwa mzanzibar c hoja, yeye ameandikishwa kutoka upande upi ni mjumbe wa znz au bara kwenye BMK
 
Hamad Rash uteuzi wake ni upande wa Zanzibar huyu Intarahamwe uteuzi wake ni Bara alipoona ngoma inazama akabadilisha jahazi. Ni mmnafiki tu
 
Mumewe alikuwa professor na ni mkuu wa Chuo pale Chuo cha Ushirika Moshi ni mtu wa Sumbawanga kwa mzee Pinda Uzanzibari ameupata wapi
 
Si hivyo tu, bali inakuwaje mtu ambaye maisha yake yote amekuwa anaishi tanzania bara leo akapige kura kuiamulia zanzibar namna katiba yao iantakiwa iwe wakati hayo maamuzi hayatamhusu yeye na familia yake.? hapa kuna mizengwe. pamoja na kwamba ana asili ya zanzibar haimpi tiketi ya kuwaamulia wazanzibar mambo yao kwa sababu haishi huko. kwanza meghi amejeiandikisha kama mpiga kura wa bara au zanzibar? kwa maneno mengine wakati wa uchaguzi mkuu Zakhia huwa anapiga kura kuchagua viongozi wa zanzibar?Meghi ana kitambulisho cha mazanzibari mkazi? Wazanzibar msikubali huu upuuzi.

hivyo ulivyotaja sio sifa ya kuwa mzanzibar, sifa ni je ana asili yake wapi? maana by default ni mtz, uznz ni ile asili tu.
 
kinachoongelewa hapa ni kutaka kujua aliwekwa upande gani kati ya bara na znz wakati bunge la katiba linaanza, kuwa mzanzibar c hoja, yeye ameandikishwa kutoka upande upi ni mjumbe wa znz au bara kwenye BMK

wakati wanaanza bunge hilo hawakuandikisha ubara na uznz, ala wajumbe wanaotoka bara na znz wanajulikana, wabunge walikuwa wanajua watokako by default, wajumbe wa 201 ndio ilikuwa inajulikana wangapi bara wangapi znz. kwa mbunge anayeteuliwa na rais unapata wapi uhalali wakusema atokapo angali hujui?
 
Maharamia yana akili za kikondoo sanaa yaani hata ukiwa profesa ukijiunga tu na maharamia akili zako hapo hapo zinageuka kuwa za msukule
 
Hamad Rash uteuzi wake ni upande wa Zanzibar huyu Intarahamwe uteuzi wake ni Bara alipoona ngoma inazama akabadilisha jahazi. Ni mmnafiki tu

yule kateuliwa na rais kupewa ubunge sio yeye wako pia akina sada mkuya, Nahodha na wengine sasa wote hao utasema sio waznz ,au kuishi bara ndio kupoteza uznz? sasa nyie mliokimbilia england nanyi mtakuwa sio waznz?
 
Back
Top Bottom