BONGE BONGE
JF-Expert Member
- Oct 19, 2011
- 3,721
- 2,110
.........tehe tehe teh teh;Mkuu, sijakuelewa hapo kwenye Bold, hivi huyu mama sio viti maalumu? Halafu bold No 2, mbona mnamwita mkwe, ni mkwe wa nani kaka?
.........tehe tehe teh teh;Mkuu, sijakuelewa hapo kwenye Bold, hivi huyu mama sio viti maalumu? Halafu bold No 2, mbona mnamwita mkwe, ni mkwe wa nani kaka?
Mkuu huyu mama ni mjumbe toka Wabunge wa Muungano kama sikosei na si kundi la 201
BACK TANGANYIKA
Huyo katibu wa Bunge ana hoja dhaifu sana na anaonekana mzito kujieleza.
Hivi Hamad Rashid si Mbunge wa Wawi iliyopo Zanzibar? Sasa si lazima angepiga kura kwa Upande wa Zanzibar maana sheria inataka pande mbili za muungano na yeye amekua mjumbe kwa tiketi ya Kuwa Mbunge wa Wawi ya Kule Zanzibar
Huu ni Upuuzi
Kakke huyo mama ni mzanzibar wa kuzaliwa kama ilivyo kwa wazanzibar wote kuwa wana haki zote za utanzania hivyo anaweza kushika cheo chochote tanzania maana ni mtanzania.
ila kwa mtu wa bara kuwa mznz lazima awe kaishi muda usiozidi 10yrs zanzibar .hapo hakuna utata. sasa huyo mama unasemaje sio mzanzibar kwa vile ameamua kuhamia dar ndio asiwe mznz,wewe uliyehamia huko UK tukuite sio mznz?
au kuna mahali popote kaelezwa kuwa yeye anawakilisha jimbo fulani bara?
hizi hoja za kitoto ndio ccm huwapiga nazo mnabaki mmeduwaa.
AWOTTA: Member: Zakia Hamdani Meghji
ingawa mm si shabiki wa ccm lakini ukilifuatilia kiundani ccm wameshinda ni wap anatakiwa apigie kura huyu mama huwezi kumbagua sijui mzanzibar au kakaa sana bara hapo tumepigwa bao yaelekea walimuweka wa akiba alikuwa anapasha misuli nje panapopwaya wanamuongezea.Kakke huyo mama ni mzanzibar wa kuzaliwa kama ilivyo kwa wazanzibar wote kuwa wana haki zote za utanzania hivyo anaweza kushika cheo chochote tanzania maana ni mtanzania.
ila kwa mtu wa bara kuwa mznz lazima awe kaishi muda usiozidi 10yrs zanzibar .hapo hakuna utata. sasa huyo mama unasemaje sio mzanzibar kwa vile ameamua kuhamia dar ndio asiwe mznz,wewe uliyehamia huko UK tukuite sio mznz?
au kuna mahali popote kaelezwa kuwa yeye anawakilisha jimbo fulani bara?
hizi hoja za kitoto ndio ccm huwapiga nazo mnabaki mmeduwaa.
AWOTTA: Member: Zakia Hamdani Meghji
yule kateuliwa na rais kupewa ubunge sio yeye wako pia akina sada mkuya, Nahodha na wengine sasa wote hao utasema sio waznz ,au kuishi bara ndio kupoteza uznz? sasa nyie mliokimbilia england nanyi mtakuwa sio waznz?
Hapana kiongozi, Mh. Meghji ni miongoni wa Wabunge wateule wa Rais kundi la Mh. Mbatia. Hili linaongeza utata na ndio Katibu wa Bunge anapaparika kutetea yasiyofaa badala ya kumwachia Sitta, Sululu na Werema.
Ukichunguza kwa undani utaona utata na mkanganyiko mkubwa sana, na ambao kila upande ukitoa utetezi unaweza kukubalika. Ndiposa tunona Tume ya Warioba ilikuwa sahihi kuja na wazo la Serikali tatu, lkn CCM kwa kufaidika na mikanganyiko hii inafaidika saba.
Hata hivyo, ukweli ulio wazi ni kuwa Meghji hakutakiwa kupiga kura upande wa Zanzibar maana hajawahi hata siku moja kuwakilisha Zanzibar na hata uteuzi wake haujuzingatia asili yake bali ni coincidence ambayo BMK wameitumia wakidhani Watanzania bado tunaweza kumezeshwa chochote na tukakubali.
Vv
Huyo katibu wa Bunge ana hoja dhaifu sana na anaonekana mzito kujieleza.
Hivi Hamad Rashid si Mbunge wa Wawi iliyopo Zanzibar? Sasa si lazima angepiga kura kwa Upande wa Zanzibar maana sheria inataka pande mbili za muungano na yeye amekua mjumbe kwa tiketi ya Kuwa Mbunge wa Wawi ya Kule Zanzibar
Huu ni Upuuzi
Huyu Zakia ni mzanzibar kwasababu nakumbuka mimi kuna kipindi huyu bibi alikuwa waziri alikuwa anapenda kuja pale kwa kakake anaitwa Hamdani alikuwa anaishi pale msikiti mabati mtaa wa Kisiwandui znz.
yaani ndugu unaongea kama vile umepagawa au hujitambui. huyu ni mbunge wa kuteuliwa na rais kama alivyo sada mkuya.
....hapa shida ni nini?,meghji anotoka 201,je jina lake linatoka upande gani wa Tanganyika au Zanzabar,angalieni aliomba kupitia taasisi gani?.Atakamatika tu.....ikija kungundulika kama kamafanya hivyo..duh huyu mkwe atadharaulika na pengine akajipatia maadui wabaya sana.
umenena mkuu hapo sina majibu ya kina kuhusu hoja hizo.Ndiyo kuzaliwa ZnZ haina ubishi. Wana-jf wanauliza, je anacho kitambulisho cha Mzanzibari? Je, uchaguzi mkuu uliopita alijiandikisha kupiga kura kama Mzanzibari au Mtanganyika. Pia ni lini Mzanzibari akawa mkuu wa wilaya au mkoa wa Tanganyika?
Akina mzee Warioba walipokuja na formula ya S3 maghambas yakapinga - ili yaendelee kuwa yanatuzuga. Huu si ndio uraia-pacha wanaoukataa?