kura ya maoni; Zitto vs Mbowe

kura ya maoni; Zitto vs Mbowe

CDM duh...

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
We umechemka hujui kuwa jf asilimia 97 ni wachaga??
Ngoja uone hapa
 
mwenyekiti anatumia rasilimali za chama kuinufaisha kambi yake.

alafu anajifanya mzalendo.. Kituko hiki alafu vijana wanaziba masikio & macho wasione wala kusikia kitu cha aibu kutoka kwa mbowe na slaa hii ni hatari sana...! Cwazui kuamini mbowe na slaa ni wasafi ila fanyeni utafiti wa tuhuma zinazo husishwa na hao watu...! Ni mbowe huyu huyu anayehubiri uzalendo kwa nchi yake leo hii anagundulika kumiliki mamilioni ya fedha & majumba ya kifahari ughaibuni sasa swali dogo nini alichoogopa kujenga na kuhidhi hivyo vitu hapa nchini kama yeye ni mzalendo na mpigania wanyonge..?? Maana kiitifaki yeye inatakiwa awe mfano kwa cc wengne...!
 
Mbona wana CCM wanamtetea sana ZZK? Hiki ni kiashiria tosha kuwa ZZK hakuwahi kuwa CDM. Mlimtuma kuvuruga CDM. Acheni kuchezea maisha ya wa TZ bana

sio kweli kamanda, mie pia mwanaCDM ila namtetea zzk so nitakuwa pia msaliti?! kwa nn tumhukumu mtu kwa hisia?! tuletewa vielelezo vya kutosha kuonesha usaliti wake vinginevyo ni woga tu kuelekea kwenye uchaguzi wa ndani.....by the way naomba uusome waraka wa chacha wangwe (r.i.p) kasha uoanishe na madai ya akina dr kitila ya wakati huu!!
 
ya nini kuandikia mate!!!!!!!!!!!!!!!!!
si wamkubalie ZZK agombee uenyekiti dhidi ya mbowe???????
 
Vijana wenzangu jiepusheni kuwa daraja la wachaga kufikia malengo yao..! Hebu ifike mahali sasa tujue thamani yetu, utu wetu & kura zetu pia..! Cdm hawana lengo na watz hawa ni wachumia matumbo tena ya wachaga..,! Muda na wakati wa kukataa kuwa daraja & kujitambua ni sasa... Hawa jamaa ni fisi waliovaa ngozi ya kondoo....!
 
Sasa watu watapiga kura wapi ili uone uhalisia wa unachokitaka?? mabake hakunakifute cha kuchagua kupiga kura! Thread mufilisi hii!!
 
Kura nyingi ni vijana wanaolipwa! Kwa wengine ni matusi na jaziba! Wengine wataleta udini, ukabila,ukanda na nk.
 
Mbowe ana utajiri wa fedha si mvuto wa kiuongozi, zitto ana mvuto zaidi (Mninange sasa karibuni)

Ni kweli anamvuto kwani yeye ni sangoma hata panya hufa akichokozwa
 
Hapo ni sawa na kulinganisha mlima kilimanjaro na kichuguu. Mboye ni mlima Kilmanjaro na zzK ni kichuguu. Kwahiyo hakuna haja ya kupiga kura kwani tofauti ni kubwa sana.
 
Back
Top Bottom