kura ya maoni; Zitto vs Mbowe

kura ya maoni; Zitto vs Mbowe

Wasira alisema CHADEMA itakufa kabla ya mwaka 2015, nadhani tayari alikuwa kamtuma Zitto aje kutibua chama
Kwa hiyo unataka kutuambia kweli sasa CHADEMA kinakufa? Kwamba utafiti wa Wasira umetimia?
 
Mwambieni Mwenyekiti ni dhambi kutumia Rasilimali za chama kuimarisha kambi yake..
 
Huyo zzk,ndio unamfananisha na mbowe????

Huyo akipewa uenyekiti anaolilia,ndan ya miezi,miwili anatukabidhi kwa kikwete

annabak peke yake km mrema na lipumba
 
Kwani ni lazima mawazo yetu yafanane?yani we paka shume umeniharibia siku.
Soon utaitwa mrs Mbowe kenge wewe!

Ukiwa Malaya ni malaya tu na utabakia kuwa malaya kamwe hauwezi kuliepuka hilo na hapo ulipo nadhani una ujauzito wa hao unaowashabikia.
 
Umevurugwa wewe! hivi magamba mnatoa wapi uhalali wa kupendekeza m/kt wa CDM? NYAMBAFU SANA!

tatizo cdm hamtaki ukweli.zito anafaa huyo mbowe amewahi kuibua hoja gani ya msingi?kazi kukusanya pesa kwenye mikutano ya hadhara.zito anafaa sana mie ni cdm na ninamkubali sana zito kabwe
 
Hivi mbowe ana uwezo wa kumfikia zitto hata kidogo?
Acheni utani.
 
Ukiwa Malaya ni malaya tu na utabakia kuwa malaya kamwe hauwezi kuliepuka hilo na hapo ulipo nadhani una ujauzito wa hao unaowashabikia.


ngashtuka. mafisi ni mengi chadema.
waambie wajipange upya
 
Acha ukabila mtz mwenzangu, kwa tabia na mtazamo huu, hufiki popote.

Ndio hatuwezi kufika! Vyama vinaendeshwa kwa mitazamo ya dini za watu tutafika vipi,unadhani waTanzania hawaelewi sarakasi za CDM,MMEMWAGA MBOGA NA WENZENU WANAMWAGA UGALI.
 
aiseee...upepo umebadilika hapa! Zitto anatisha...
 
Back
Top Bottom