kura ya maoni; Zitto vs Mbowe

kura ya maoni; Zitto vs Mbowe

piga kura yako hapa, kati ya zitto kabwe na mbowe freeman, yupi ana mvuto wa kisiasa zaidi?

acha jazba changia na piga kura yako kimya kimya na kwa ustaarabu, rudi nyumbani kapumzike, subiri matokeo. hairuhusiwi kufanya vurugu.

hahahaha..... imewauma tunampiga chini pendeni msipwnde. wajinga wakubwa nyie........ hyo kenge no wa kufananisha na mbowe? kima mkubwa wewe
 
piga kura yako hapa, kati ya zitto kabwe na mbowe freeman, yupi ana mvuto wa kisiasa zaidi?

acha jazba changia na piga kura yako kimya kimya na kwa ustaarabu, rudi nyumbani kapumzike, subiri matokeo. hairuhusiwi kufanya vurugu.

Kura hiyo inapigwaje? Haya basi, nakupa WEWE kura yangu. Chukua.
 
piga kura yako hapa, kati ya zitto kabwe na mbowe freeman, yupi ana mvuto wa kisiasa zaidi?acha jazba changia na piga kura yako kimya kimya na kwa ustaarabu, rudi nyumbani kapumzike, subiri matokeo. hairuhusiwi kufanya vurugu.

Mwana CCM kuwapigisha kura wana CHADEMA ni uchuro.
 
Ni aibu kuulinganisha mti wa MBUYU na MPAPAI.
Zitto ni MBUYU na huyo macho kumchuzi ni sawa na MPAPAI.
Kwa huu ujinga wenu ndio maana mtu kutoka nafasi ya juu katika balaza la umoja wa mataifa leo hii unateuliwa Mbunge na kuchekelea kweli ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni.
 
Mbowe ana utajiri wa fedha si mvuto wa kiuongozi, zitto ana mvuto zaidi (Mninange sasa karibuni)

Kama wamwona Zitto ana mvuto na wewe basi funga safari ya Kigoma mkale Honey moon "Gombe"
 
piga kura yako hapa, kati ya zitto kabwe na mbowe freeman, yupi ana mvuto wa kisiasa zaidi?

acha jazba changia na piga kura yako kimya kimya na kwa ustaarabu, rudi nyumbani kapumzike, subiri matokeo. hairuhusiwi kufanya vurugu.

Ana mvuto kwa nani???, Kama kwa wanaCCM na watu kama wewe ZITO anamvuto kwa sababu anatekeleza matakwa yenu
 
piga kura yako hapa, kati ya zitto kabwe na mbowe freeman, yupi ana mvuto wa kisiasa zaidi?

acha jazba changia na piga kura yako kimya kimya na kwa ustaarabu, rudi nyumbani kapumzike, subiri matokeo. hairuhusiwi kufanya vurugu.

Ni kama kushindanisha Land Cruisser V8 na toroli.
Zitto ni sawa na toroli tu kwa Mbowe, hebu ondoa huu uzi hauna mantiki yoyote.
 
Back
Top Bottom