Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 19,021
- 9,177
Unafananisha Baba na Mtoto ?
Haya mimi na pita ila nijuavyo Zitto kafundishwa Siasa na Mbowe.
Haya mimi na pita ila nijuavyo Zitto kafundishwa Siasa na Mbowe.
Eti wachaga? Nadhani haumaanishi unachosema. Je wachaga walio CCM nao ni CDM. Acheni upuuzi huu wa kimantiki utakaoligharimu taifa. Baada ya wachaga mtasema wahaya, wapimbwe nk. Kama tatizo ni Mbowe awe mbowe na sio wachaga kwa sababu mbowe ni mchaga bana. I hate these sweeping conclusions.Vijana wenzangu jiepusheni kuwa daraja la wachaga kufikia malengo yao..! Hebu ifike mahali sasa tujue thamani yetu, utu wetu & kura zetu pia..! Cdm hawana lengo na watz hawa ni wachumia matumbo tena ya wachaga..,! Muda na wakati wa kukataa kuwa daraja & kujitambua ni sasa... Hawa jamaa ni fisi waliovaa ngozi ya kondoo....!
Ndio hatuwezi kufika! Vyama vinaendeshwa kwa mitazamo ya dini za watu tutafika vipi,unadhani waTanzania hawaelewi sarakasi za CDM,MMEMWAGA MBOGA NA WENZENU WANAMWAGA UGALI.
kama lengo ni siasa za chama kimoja basi ZZK anao uwezo wa kuua upinzani