kura ya maoni; Zitto vs Mbowe

kura ya maoni; Zitto vs Mbowe

kama hujui kompyuta vizuri usianzishe mada humu. usiogope kuomba msaada pia zitto hafai tunataka watu wanaotaka maendeleo siyo sifa na madaraka. yule ni masikini lakini anataka kujitajirisha kwa sifa za kijinga eti kijana kijana gani uso umemganda hivyo?
 
Ukisema zitto anauso mchafu,na pinda je,kwa maendeo kgm tunayo kwa sababu ya zitto.ataendelea kuwa kizito ndani ya chama.chadema bila zitto haiwezekani.
 
Kwa research ndogo niliyofanya mvuto wa zitto umefubaa sana hasa kwa watu wa tabaka la nchini
 
kwa nini maccm ndio wanampigia chapuo zitto? Zitto hawezi kukiepuka kikombe cha kufukuzwa ktk siku zetu zile 14
 
Last edited by a moderator:
Umevurugwa wewe! hivi magamba mnatoa wapi uhalali wa kupendekeza m/kt wa CDM? NYAMBAFU SANA!
Mkuu, acha woga na hofu ya uchagui. Wapi kumetajwa mwenyekiti humu?
 
Unaomba kura humu na kumejaa jamaa wa bavicha wanaomsujudia mwenyekiti wao kulinda mkate wao wa kila siku..........

Nadhani ungeingia mitaani ukusanye maoni kwa wanainchi wa kawaida......ila tahadhari usiingie kwenye vilabu vya mbege....wote watakupa jibu moja...watakwambia....hakuna cha Sito hapa wala nini.....
 
Ukisema zitto anauso mchafu,na pinda je,kwa maendeo kgm tunayo kwa sababu ya zitto.ataendelea kuwa kizito ndani ya chama.chadema bila zitto haiwezekani.

Na wewe bila Lumumba lazima uolewe mjini hapa.
 
kama lengo ni siasa za chama kimoja basi ZZK anao uwezo wa kuua upinzani
 
Mbowe mlima Kilimanjaro Zitto kichuguu, FM mjenga chama, ZK anajaribu kuua chama bila mafanikio, msaliti dhidi ya mtu mwenye msimamo
 
Unaomba kura humu na kumejaa jamaa wa bavicha wanaomsujudia mwenyekiti wao kulinda mkate wao wa kila siku..........

Nadhani ungeingia mitaani ukusanye maoni kwa wanainchi wa kawaida......ila tahadhari usiingie kwenye vilabu vya mbege....wote watakupa jibu moja...watakwambia....hakuna cha Sito hapa wala nini.....

usijidanganye, hatuna hata kauongozi ndani ya BAVICHA lakini tunaamini katika chadema moja na sio jina la mtu mmoja mmoja.
 
Zittooo!!!na ni mzito kwl c mchezo!
 
piga kura yako hapa, kati ya zitto kabwe na mbowe freeman, yupi ana mvuto wa kisiasa zaidi?

acha jazba changia na piga kura yako kimya kimya na kwa ustaarabu, rudi nyumbani kapumzike, subiri matokeo. hairuhusiwi kufanya vurugu.

Mh Zitto Zuberi kabwe anamvuto sana kisiasa hilo halina ubishi.
anaongea kwa logic sana
 
Back
Top Bottom