Kura ya maoni: Zitto vs Dr Slaa

Ni nani ungependa agombee urais mwaka 2015 kwa tiketi ya CHADEMA?

  • Zitto Z. Kabwe

    Votes: 180 15.3%
  • Wilbrod P. Slaa

    Votes: 996 84.7%

  • Total voters
    1,176
  • Poll closed .
Status
Not open for further replies.
Unapomlinganisha dr.silaa na huyo jamaaa,kabwe ni sawa na kumlinganisha simba na mbwa popo.
 
HIVI ni kweli Zitto yuko serious anautaka urais? kweli tumefika pabaya kila mtu sasa anadhani anaweza kuwa rais. swela yaani mimi niongozwe na zitto si nitajinyonga leoleo!!!
 
Slaa is the best candidate but my question is nani atakua mtendaji mkuu wa serikali? Waziri Mkuu wa Rais? Nafuatilia CHADEMA internal politics first.

Zitto Kabwe ingawa ni opportunist ni mzuri sana katika Diplomacy.

Swala la kuwa mshikaji na mtu wa chama tofauti sidhani kama ni swala la kipaumbele katika hii mada coz haimaanishi kuwa vyama tofauti basi muwe maadui. Marehemu Mzee Selasini alikua CCM ilihali mwane ni CHADEMA lakini hakuwa wanachukiana. Tusije kuwa kama CUF na CCM Zanzibar ambapo ilifika mahali hawaombani chumvi, hawatumii kisima kimoja na wakikutana ni vita hadi hapo mabaraza ya vija wa REDET yalipoanza ambapo vijana walielimishwa upinzani wa vyama siyo wa maisha. Chama kinaweza kufutwa au kufa leo kesho kikaundwa kingine na watu wale wale lakini mtu ukifa leo huwezi undwa upya.
 
Kwani Pinda ataondolewa na CDM? Mbona anafaa sana kuendelea kuwa mtendaji wa serikali?
 
Udini na Ukabila ni kasoro kubwa sana kwenye Chadema na namuunga mkono Zitto sababu siyo aina ya wanasiasa Mujahidina…
 
Sababu kubwa ya kumpendekeza zitto kwanza ni kijana,tunaamini kuwa anauwezo mkubwa,anamuda wa kutosha ktk siasa,pia ni mtu makini,mwelevu,pia anauwezo wa kututoa hapa tulipo kwenda mbele walau hatua moja kuliko kuendelea kusimama slaa ambaye umri umekwenda hatoweza kujali baadh ya madai wa jamii km vijana,
 
Yeyote anaweza kuiwakilisha cdm sio zzk au slaa hata kama ni mwanachama halali basi nawe pia waweza utatueleza sera zako za kichama tunaweza kukusimamisha wala cdm haina mgombea kwa kukrem kaka
 
Muda bado ujafika
wakujadilia haya kama
unapenda kuanzisha uzi
eleze ata maisha ya shule ya
msing, sec na n.k
kuliko kila siku wimbo niuleule

T2015CDM muda ukifika itaendeshwa
na yoyote kamanda na makini...... over

V
SENGEREMA
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom