1. Nikiangalia Namna huyu Mzee alipoitaja Ile List of Shame Mwembe Yanga 2009 na Jinsi wale wezi walivyotishia kumpeleka Mahakamani bila Mafanikio
( Of Course That Day Haita Sahaulika kirahisi na wana CCM)
2. Nikiangali namna huyu Mzee alivyoipa Taabu CCM kuanzia alipokuwa Mbunge Mpaka alipoombwa na Chama Chake Kugombea Urais 2010
3. Nikiangalia Uchaguzi wa Juzi ambapo Wagombea wa CCM walioshinda kwa Kishindo ni wale walioahidi Kupambana na Dr. Slaa ikiwezekana wampoteze (Mfano Wasira)
4. Nikiangalia namna huyu Mzee alivyoichanachana Sekretariati Mpya CCM (Meghji - EPA, Kinana (Pembe za Ndovu), Mangula (EPA) Mpaka Sekretariati imekuwa si chochote si lolote Machoni pa wananchi
5. Nikiangalia Hadidu za Rejea iliyokabishiwa Timu ya CCM Online Hoes ( Majembe ya CCM Online)
Ritz ,
chama ,
W. J. Malecela na Ukweli ukizingatia Hadidu rejea namba Moja ni Dr. Slaa, Namba Mbili ni Dr. Slaa namba tatu ni Dr. Slaa
6. Nikiangalia watu wanavyojaribu kuonesha kwamba Dr. Slaa hafai kugombea Urais kwa Sababu
"AMEGOMBEA MARA NYINGI NA KUSHINDWA MARA NYINGI"
Kutokana na hayo machache (Wengine wanaweza Kuongezea) Ninaweza kabisa (Bila Shaka ) Kusema Kwamba
1. Dr. Slaa (Na viongozi wengine wa aina yake ambao wameshachora Mstari Kati yao na CCM) ni Tishio Kubwa kwa Uhai wa CCM and there fore CCM haitawaacha na Haitapenda Kabisa waendelee kuwepo katika Uwanja wa Siasa so ni Jukumu letu wapenda Mabadiliko kuwaombea dhidi ya Usetwani wa TISS
2. Dr. Slaa sasa amekuwa ni TURUFU ya Uongozi ndani ya CCM na yeyote aliyefanikiwa Kumtukana ameukwaa Uongozi ndani ya CCM
3. CDM ina hitaji Mrithi wa Katibu Mkuu mwenye Msimamo na Jasiri Kama Dr. Slaa. Ambaye Atachora Mstari kati ya Dhuluma na Haki,
Long Live Dr. Slaa, Long Live CHADEMA