Acha kumfananisha MESSI(Dr Slaa) na Mrisho Ngassa(Zito Kabwe).
kwani huyu bwana mdogo amimairika hadi kufikia kuwa mshindani wa huyo mzee,ama anagomgea kupitia ccm?sijaelewa nisaidien
Acha kumfananisha MESSI(Dr Slaa) na Mrisho Ngassa(Zito Kabwe).
Jaman slaa ndio kila kitu cos ni mwanasiasa jasiri sana asiyependa kutumiwa bali kutumikia kwa manufaa ya watz wote,slaa juu,chadema oyeee!!!
Naona kuna agenda ya siri ndani ya kura hii na naamini ni mkakati wa magamba tulioelezwa na Wassira wa kuchochea mifarakano ndani ya chama. Haiingii akilini kuwashindanisha watu wawili wa chama hicho hicho, wenye lengo moja, la kuwang'oa wakoloni (CCM) eti ni nani anakubalika zaidi. Kura hii ya maoni ingependeza sana kama ingemshindanisha Dr. Slaa au Zitto na mtu kama Lowasa, Sitta, Migiro na wengine ndani ya CCM wenye wanaoonyesha kuutamani urais 2015. Hata hivyo naamini mbinu wanazotumia zitagonga ukuta kwani najua CHADEMA imesheheni watu makini kabisa ambao mara kadhaa walioweza kupangua mbinu za kihaini za maadui zao mapema na kuwaaibisha. Ingefaa sote tukalitambua hili na kuwa makini zaidi na magamba hawa ili kuyalinda mafanikio ya chama chetu.Tuache kelele nyingi, kama ungepewa mamlaka ya kumteua kati ya Zitto Zuberi Kabwe ama Wilbroad Peter Slaa kugombea nafasi ya urais mwaka 2015. Ni nani ungemteua? Na Kwa Nini? Toa sababu kuu nne TU.