Kura ya maoni: Zitto vs Dr Slaa

Kura ya maoni: Zitto vs Dr Slaa

Ni nani ungependa agombee urais mwaka 2015 kwa tiketi ya CHADEMA?

  • Zitto Z. Kabwe

    Votes: 180 15.3%
  • Wilbrod P. Slaa

    Votes: 996 84.7%

  • Total voters
    1,176
  • Poll closed .
Status
Not open for further replies.
ndio nimejiunga mkuu,ila kura yangu nampa dr slaa

karibu sana ingawa sioni sabau ya kupiga kura,kwani Zitto hana uzito wa kulinganishwa na Dr. Slaa lets alone vijana wenzie kam akina Mnyika.Zitto alikuwa akimjua Mnyika ndio maana alibukuliwa akichat na mwandishi wa mwananchi akikiri kutotaka mpigia kampeni Mnyika kipindi anajaribu ingia Mjengoni.
 
slaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Kwa upande wangu! Wote ni vifaa. Kamahakuna njama za Magamba kum2ma Zto kumvulugia Dr, najua CDM watachagua mgombea mzuri ambaye atakuwa tishio kwa Magamba. Navyo fahamu udini utatumaliza kwa wa2 hao. Ningefurahi zaidi kuona Zto anagombea Cdma 2one watasemaje Magamba. Cjui napo watasema Zto ka2mwa na Mashehe kugombea urais? Kwani mwaka 2010 walisema Dr katumwa na maaskofu kugombea.
 
Ni mwendawazimu tu anayeweza kwenda kutalii kwenye kichuguu. Wenye akili wote hutalii milima mirefu kama vile K'njaro. Kama hujaelewa una kiwango cha huyo kijana asiye na viwango vya uongozi. Hata ni aibu kutamka nia yake. Labda angetuambia anataka kuwa mfanyabiashara na siyo kuwa Rais. Raisiiiiii? Ebo:spy:
 
Nawatabiria ZITTO kwa ujana alionao na vile hana mshauri wa karibu yaani mke akikosa nafasi ya kugombea uraisi aidha atawageuka CHADEMA na kuleta malumbano makubwa ikiwemo udini, ukabila nk na hatimaye atakihama CHADEMA.
Leo ni Tarehe 04 October 2012 Tusubiri.
 
Hivi unakuwa na akili gani unampa kura zito limbukeni anafanya siasa kwa sifa
 
Tuache kelele nyingi, kama ungepewa mamlaka ya kumteua kati ya Zitto Zuberi Kabwe ama Wilbroad Peter Slaa kugombea nafasi ya urais mwaka 2015. Ni nani ungemteua? Na Kwa Nini? Toa sababu kuu nne TU.

umekosea ina ladha zaidi kama ingekuwa kumteua Mh Zitto na baba mwana asha aka dhaifu, inaleta sense zaidi kwani ni vyama tofauti teh teh
 
DOGO ngoja azoee kwanza umri wake tucheze naye bongo fleva kwanza
 
Zitto bwana anapenda kuwarusha sana wanachadema wao bila kushituka wanafuata maneno yake hanalolote.
 
ha ha ha ha jaman Dr. Slaa ndo jembe zaid ya maelezo kidogo Mnyika lakn sio zitto.Zito ni jembe lakn kwa dr. Bado saaana.mie kura yang kwa Dr. Slaa.
 
Kwa vijana wetu ni bora kuwa viongozi ndani ya mjengo lakini siyo kukaa nyuma nyeupe kura yangu kwa dr.slaa
 
inapendeza kuona dr slaa akimkimbiza kijana zito, 85 percnt ni kipimo tosha kukubalika kwa dr, kijana zito tulia ufunzwe jinsi ya kupractise siasa
 
kaka hata wewe naona akili imejaa maji., aliyekuwa anaulilia urais ni huyo Babu yako Slaa, akili yako imevia. hayo maneno una harisha tu . una njaa ya akili.Babu yako hatonusa ikulu kamwe . alijifanya kutomtambua rais kikwete baada ya uchaguzi, mbona alienda kujipendekeza tena ikulu .
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom