Kura ya maoni: Zitto vs Dr Slaa

Kura ya maoni: Zitto vs Dr Slaa

Ni nani ungependa agombee urais mwaka 2015 kwa tiketi ya CHADEMA?

  • Zitto Z. Kabwe

    Votes: 180 15.3%
  • Wilbrod P. Slaa

    Votes: 996 84.7%

  • Total voters
    1,176
  • Poll closed .
Status
Not open for further replies.
dr slaa mwelewa, msomi pia ana tamaa ya madaraka ka zitto zitto akiwa rais anaweza kuomba kuwa wazr mkuu tamaa mbaya@zitto
 
Hawa waheshimiwa wote ni wanachama wa chama cha siasa, chadema. Zito anasaka urais, Slaa anaombwa na chama. Hata hivyo huo muda bado, kwa nini Zito asisubiri muda ufika, Kama kweli anafaa si ajabu safari hii akaombwa yewe, au wote wakaombwa halafu wakashindanishwa ndani ya chama. Kama Zito anausaka uraisi kwa hali na mali, anakaribishwa atimize ahadi yake CHAUMA au ADC.
 
kumpendekeza mh dr. slaa nina sababu kuu nne zifuatazo
1.Ni mzee mwenye busara zake kwani wahenga walisema utu uzima dawa.
2.sio mtu wa kudanganywa na pelemende ana misimamo yake isiyoyumba
3.Ana mvuto mkubwa kwa watanzania wapenda mabadiliko.mfano.kwenye mkutano wowote akiwepo
mkutano unapendeza na kukusanya watu wengi
4.kauli zake zina uwezo mkubwa kushawishi watu na watu wenyewe kubadilika.
 
.....hivi zito anatokea kaskazini, au ni mkwe wa mtei anajisumbua hajaijua CDM...
 
Dr silaha ni mlimakilimanjaro ,Zito ni kichuguu so huwezi kuwalinganisha kabisa.labda zito mumlinganishe na halima mdee
 
huu mtazamo wa kidini na siasa hauwezi kutusaidia watanzania wa nyakati hizi, kwani tuna mambo mengi ya kufikiri kuliko kuendelea kusema huyu ni shehe na huyu ni padri.

:shock:
 
nimepiga kura kwa Dr.Slaa kwa sababu....

1.Ni kiongozi bora sana kuwahi kutokea katika siasa za Tanzania hasa kwa vyama vya upinzani

2.haendeshwi na matukio kama ZZK

3.Zitto haeleweki siku hizi na ni kama ameshakamatwa pabaya na CCM...huyu sio yule Zitto wa 2005-2009

4.In CHADEMA,always Dr will remain my HERO...
 
chezea Zitto wewe? Zitto we ...mbaaya.. we mbaaya ...we mbaaaaya!
 
Hii poll mbona ya kizushi? Kwani presidential material CDM ni Slaa na Zito peke yao?
sishiriki!
 
ntampa dk slaa kwani huyo zito amesha anza kutapata hana msimao hata kido huenda ana2mika na magamba
 
Kura yangu iende kwa Dr w.Slaa mara 1000000 kwa sababu ni jasiri asiyeyumbishwa nje na hata ndani ya cdm. Zito ni kijana anayetaka madaraka kwa nguvu huku akijua kwamba hakubaliki miongoni mwa watanzania.
 
Kura yangu iende kwa Dr w.Slaa mara 10,000,000 kwa sababu ni jasiri asiyeyumbishwa nje na hata ndani ya cdm. Zito ni kijana anayetaka madaraka kwa nguvu huku akijua kwamba hakubaliki miongoni mwa watanzania.
 
Kwa taifa letu linaitaji mtu mzalendo wa Hali ya juu,busara ya hali ya juu,asiyekurupuka katika maamuzi magumu,na mchapakazi asiye na uchu wa kujilimbikizia mali sasa tuwapime zitto na dk slaa kwa vigezo. Hivyo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom