Elections 2010 Kura Katika Familia Yetu: Slaa 57%

Kwenye familia yetu
Dingi yeye piga ua ni CUF utadhani Mpemba
Mama yeye 2005 alimpigia Kikwete hadi leo bado ana tishet za Kikwete lakini ameahidi kumpigia Slaa
Mimi sidanganyiki 2010 hata ukiniamsha usiku namjua mtarajiwa wangu
My wife wangu yeye hata kadi yake ninaitunza mimi ni wa kumtuma tu kafanye hiki.
Mdogo wangu ninayemsomesha yeye anafuata ya kaka yake
Mama mdogo yeye ni mpambe wa mgombea ubunge wa chadema huyo hata mimi simfikii upenzi
Tatizo liko kwa dingi nina wasiwasi anaweza kumbadilisha mother.

Mchanganuo
CHM = 4
CUF = 1
Undecided = 1

Ila kinachonifurahisha familia yetu haina harufu ya CCM ndani.
 
Familia yetu iko hivi

Maza 2005 alikuwa neutral ila mwaka huu piga ua CHADEMA

Mimi NyU - CHADEMA
Wife aka Shemeji na wifi yenu- CHADEMA
Mdogo wangu kike kamaliza form four mwaka huu huyo ndio hataki kabisa kuskia habari za JK, mwaka huu atapiga kura- CHADEMA
Mdogo wangu wa kiume, bahati mbaya nahisi kura ishapotea maana amepata safari ya kikazi

Sasa ukiangalia

CAHDEMA - 4 : 80%
zilizoharibika-1 : 20%

CCM: 0%

Hapo sijazungumzia Wakwe na Mashemejiiiiii
 
Mimi: CHADEMA
Mke wangu: CHADEMA (nimemshawishi hivi karibuni, alikuwa CHAUSTA)
Mama mkwe: Haeleweki eleweki, ila naona anaitajataja TANU, namuweka CCM
House girl: Nimechimba mkwara na kumletea picha ya Slaa na Mnyika aanze kuzikariri. Hata napo naassume kura yake imeharibika.

Kwa hiyo:
CHADEMA:............. 50%
CCM: .................... 25%
Zilizoharibika ......... 25%

NB: Naendelea na juhudi kuiokoa kura ya HG, ila mama mkwe naogopa nitaanzaje!
 
Mpe Hiyo Kazi Mkeo, Mimi nimemkabidhi kazi ya Wakwe kwa Wife, kimsingi kama Ukoo Tumejipanga kuinyima CCM kura hata moja
 
Kwangu kama Baba mchakato uko hivi;

Mimi: CHADEMA
Mke: CHADEMA
Mdogo wangu wa Kiume: CHADEMA damu ukimtoboa na sindano analia CHADEMAAAA
Mdogo wa Wife: Haeleweki ila tunaendelea na juhudi aingie kundini
Mama Mzazi: Huyu ni Mwalimu wa Shule ya Msingi, amesema safari hii hampi JK ajira
kwa sababu alimtishia ajira yake, akaapa mi CHADEMA siambiwi wala sisikii
Sister 1: Huyu alikuwa kada wa CCM pale Manzese Uzuri na kala sana sijisenti vya mgombea ila kanambia yeye Kura kwa SLAA
kule anakamua vijisenti vyao na kwenye mikutano yao haendi
Sister 2: Simuelewieliwi maana kama haoni umuhimu wa kupiga kura hivi ila juhudi zinaendelea

CHADEMA = 5
CCM = 0
Hazieleweki = 2

Haya hebu jumlisheni kupata hizo asilimia maana mi hesabu zilienda arijojo dah!
 
HAHAAAA...mi nlimbandikia dogo(ABT 1YR) label ya ccm kenye baby-chair yake wacha aanze kulia!!loh...nkatoa fasta!!

Ni kweli kaka, ukitaka kujua msimamo wa mtu bandika nembo yoyote ya chama fulani eneo lake yaani anacharuka vibaya.

siye kwetu, baba humbandui CCM, brother wawili CCM na wake zao, brother watatu CHADEMA na wake zao, maza hashabikii chochote na haelewi kuhusu vyama na kura sina hakika kama atapiga ingawa alijiandikisha, hata ukimkonvisi haelewi, watoto wa ma braza watatu wote chadema na watapiga kura, yaani mpaka hapo,
sijuwi itakuwaje,

kwa aslimia naomba solve wenyewe, sijuwi itakuwaje matokeo.
 
Faza na maza CCM dam (kwa sababu ya "JK original = Julius Kambarage")

Lakini kwa CCM ya "JK feki = Jakaya Kikwete". Hali iko hivi:

Faza CCM lakini atapigia Chadema.
Maza CCM lakini atapigia Chadema.
Dogo haeleweki(hana kadi) lakini atapigia Chadema
Mimi sieleweki lakini SIDANGANYIKI. Kura yangu Chadema.
Sister haeleweki. Alishakula kiapo. Atapigia Chadema.
Mwanangu (ana mwaka mmoja na kitu hivi.). Nilishamwambia CCM ni adui yako namba moja. Akaitikia "Baba".

Chadema = (5/6)*100% = 83.33%
CCM = 0.00%
CUF = 0.00%

Naomba kutoa hoja.

Duh! Mkuu hapo kwenye red umeniacha hoi.
 
kwetu:
Babu na Bibi Upande wa Baba =CCM damu,
Bibi na Bibi upande wa mama = CCM
Baba = Kada wa CCM, lakini Snitch-ataipigia kura CHADEMA
Mama = CHADEMA DAMU,
Mimi = Sina Chama, kura yangu kwa CHADEMA
Mdogo wangu wa kiume = CHADEMA, ana card kabisa
Mdogo wangu wa kike = CHADEMA,
Mdogo wangu mwingine hajafikisha miaka 18, ila ni CHADEMA damu.
NB. Babu na Bibi wote walishafariki.
SO, KWETU CHADEMA 100%
 
Kwenye familia yetu
Dingi yeye piga ua ni CUF utadhani Mpemba
Mama yeye 2005 alimpigia Kikwete hadi leo bado ana tishet za Kikwete lakini ameahidi kumpigia Slaa
Mimi sidanganyiki 2010 hata ukiniamsha usiku namjua mtarajiwa wangu
My wife wangu yeye hata kadi yake ninaitunza mimi ni wa kumtuma tu kafanye hiki.
Mdogo wangu ninayemsomesha yeye anafuata ya kaka yake
Mama mdogo yeye ni mpambe wa mgombea ubunge wa chadema huyo hata mimi simfikii upenzi
Tatizo liko kwa dingi nina wasiwasi anaweza kumbadilisha mother.

Mchanganuo
CHM = 4
CUF = 1
Undecided = 1

Ila kinachonifurahisha familia yetu haina harufu ya CCM ndani.

hivi bado tuko kwenye ulimwengu huo? (hapo kwenye red)
 
ila kwa kifupi mi nawaomba chama tawala wasipuuze CHADEMA kwa kweli inaweza ikawashangaza.
 
ila kwa kifupi mi nawaomba chama tawala wasipuuze CHADEMA kwa kweli inaweza ikawashangaza.

Kwa hiyo unataka wasipuuze,wafenyeje? Kama kuliwa wameishaliwa hakuna maswala ya KUCHAKACHUA SAFARI HII...TUKO MACHO
 
:A S thumbs_up: mimi CHDEMA
ukoo wa mama (serengeti)
wajomba 3 CHADEMA
mama na mama mdogo 2 CHADEMA
bibi CHADEMA
BABU CCM
ukoo wa baba (taarime)
bibi,babu, baba, baba wadogo 4, shangazi 2, wafanyakazi 2 wote ni CHADEMA na wate watapigia kura CHAdema katika ngazi ya ubunge na raisi ila diwani wa ccm anaweza kuchukua kura kama 3, nilko kwenye mchakato wa kupata kura ya demu wangu wa zamani, pamoja na babu:A S 103:
 
Familia yangu, vitegemezi na ndugu zangu
Mimi na Mke wangu tunaishi Dar es salaam - CHADEMA tutapiga kura
Watoto watatu wanasoma vyuo vikuu - CHADEMA lakini mmoja hatapiga kura anasoma nje ya nchi
Houseboy nimemwelekeza atapiga kura kwa CHADEMA
Baba Mkwe - CCM damu damu lakini sitapoteza muda wangu kumpeleka huko alikojiandikisha ili apige kura
Mama Mkwe - CCM maana bado ana kilemba cha CCM cha mwaka 2005, nimeomba aje Dar wiki ijayo kumuona mume wake, tutambana abaki Dar ili asipige ( hii mbinu inakubalika )
Kaka yangu anaishi Mwanza - yeye na Mke wake na mtoto wake wa Kiume ni CHADEMA watapiga kura
Dada yangu 1- CCM anaishi Arusha atapiga kura
Dada yangu 2 - CCM anaishi Sengerema na watoto wake 4. watoto wake wote ni wapiga kura watapigia CHADEMA, (mtoto mkubwa ni Mwl. bado anaendele kumshawishi mama yake)
SHAMBABOY - piga ua yeye ni CUF. anasema dini yake haimruhusu kupigia CHADEMA labda apewe hela (Sina hakika kama ana kadi ya kura)
Jumlisha uone ni asilimia ngapi ila ninachojua kura za sisiem nyigi zitaharibika!!!

Mwaka wa CHADEMA, hatudanganyiki
 
kwetu:
Babu na Bibi Upande wa Baba =CCM damu,
Bibi na Bibi upande wa mama = CCM
Baba = Kada wa CCM, lakini Snitch-ataipigia kura CHADEMA
Mama = CHADEMA DAMU,
Mimi = Sina Chama, kura yangu kwa CHADEMA
Mdogo wangu wa kiume = CHADEMA, ana card kabisa
Mdogo wangu wa kike = CHADEMA,
Mdogo wangu mwingine hajafikisha miaka 18, ila ni CHADEMA damu.
NB. Babu na Bibi wote walishafariki.
SO, KWETU CHADEMA 100%

Hujatulia ww, duh nimecheka hadi mate kamind...
 
Back
Top Bottom