MTAZAMO
JF-Expert Member
- Feb 8, 2011
- 19,643
- 33,432
Hii si rasmi lakini inasemekana tukio la system ya urusi kushindwa kugundua puppet wa kimarekani na kumpa urais na mwisho kuisambaratisha iliyokuwa urusi inawatesa mno na wameapa isitokee tena!kwa sasa Russia hakuna anayeaminika kama mtu mzalendo zaidi ya Putin! System ndio inayomtaka! Inasemekana ataongoza mpaka 2024 na muda huo kuna mtu(ambaye ni mtoto kwa sasa na ameandaliwa toka akiwa tumboni kwa mama yake bila hata wazazi kujua!) anaandaliwa kumpokea putin! Viongozi wa Russia watakuwa wanaandaliwa na System kwa mpango maalum bila mzazi kujua ili kuzuia wamarekani na maadui wengine kuivuruga nchi! Kwahiyo system ndio imeshika hatamu Russia!Putin ni jasusi wa hali ya juu ktk shirika la kijasusi la urusi(KGB) na anaisumbua sana marekan ndo maana hatoki ktk madaraka ya juu ya uongoz ndani ya Russia!