Kupwaya kwa vipindi Clouds tv

Kupwaya kwa vipindi Clouds tv

Nafikiri ili kuwahukumu lazima ujue lengo la uanzishwaji wa Clouds TV , kila chombo cha habari kina lengo la uanzishwaji , ndiyo maana baadhi ya vituo vingine kwenye nchi za ughaibuni vinapiga muziki mwanzo mwisho ili kukidhi lengo la uanzishwaji, kwahiyo sidhani kama ni sahihi kuwakosoa TV Clouds, aidha tatizo la kutokuwa na vipindi sio kwa Clouds tu, naona Tv nyingi hapa Tanzania kuna muda fulani ndiyo kuna vipindi ambavyo vina uzito vinginevyo sijaona tofauti kubwa.
Tatzo sio upigaji muziki tu,huo ni mfano tu uliotolewa lakini Kuna hata ule uludiajiuludiaji uliopitiliza WA vipindi au maonyesho au matukio ambayo yameshapita hadi unaona kabisa haya yanafanyika ili kupitisha Muda kwakuwa hakuna vipindi
 
Mkuu hiyo ni fursa kwako. Kama umeweza gundua wanapwaya kwa vipindi, fanya tafuta programme itayoweza ziba hiyo mianya. Naamini Ruge atakuelewa tu. Kamatia fursa twenzetu.
 
Clouds wapi vizuri na wanajua wanacho fanya, ila nahisi wewe hujui unachoongea.
 
Mkuu hiyo ni fursa kwako. Kama umeweza gundua wanapwaya kwa vipindi, fanya tafuta programme itayoweza ziba hiyo mianya. Naamini Ruge atakuelewa tu. Kamatia fursa twenzetu.
Niko kwenye ajira ambayo haiwez kunipa fursa wala ruhusa ya kufanya hayo
 
A
Hvi bado anko magu anapiga sim clouds kuwapongeza

OvA
Apige simu ya nini wakati clouds walikataa kuonyesha shirawadu ya Askof.
Mkuu katengeneza attention watu waangalie shilawadu wao wakazingua.
 
Ila 360 wafanye marekebisho kidogo yule dogo mrefu anaitwa sijui sizya angekuja akachukua nafasi ya hasan maana duh anabishana sana pale mpaka inakuwa makelele sana.
 
Pamoja na udhaifu wao bado nawaona ni TV ya muhimu sana kwa sasa.
 
Ni kweli hawana vipindi vingi kwenye TV. Ushauri wangu ni huu; wabuni vipindi vingi kwny TV kama ilivyo kwenye radio itapendeza sana,clauds ina watu wengi wenye ubunifu mkubwa, nina imani watarekebisha hivi karibuni.
 
Back
Top Bottom