Kupwaya kwa vipindi Clouds tv

Kupwaya kwa vipindi Clouds tv

Thread kama hii itafanya Clouds Media Group wapige hatua sana. Criticism is very necessary to change.
 
Ruge yupo na Bashite amesahau kazi yake ya mkurugenzi wa vipindi na uzalishaji. Kaishiwa ubunifu aende vijijini aandae documentaries zipo kibao ye amejichimbia tu mjini na miziki. Nimeona wameanzisha channel ya sinema ,sinema zenyewe zilezile za sinema zetu.. inakera
 
Clouds hawana kipindi cha maana zaidi ya taarifa ya habari nayo baada ya kuanza kutangaza kwa mtimbo wa kughani ngonjera basi kipindi kizuri kilicho baki ni tangazo la coca cola la kunywa hapa hapa
Mkuu umesema kweli. Taarifa yao ya habari onasomwa na MC Kapiga unatarajia itakuwa na flow ya kihabari? Ndo maana walikuwa wanapigia kelele mswada wa wanahabari...
 
Tena hii channel yao Mpya ya clouds plus ndio ya hovyo kabisa..signal ziko chini..ina scratch balaa..mbaya zaidi sijaona jipya zaidi ya kurudia bongo movie..sasa sielewi ile channel ya sinema zetu ya kazi gani...labda nieleweshwe hapo
Nami nimetoka kuiangalia haina jipya
 
360 angali nilikuwa na weza angalia. Lakini toka Hassan Ngoma alipokuwa anajiona anajua sana kwenye swala la ujio wa David Beckham na familia yake. Ndipo nilipo acha kabisa kuangalia vipindi vya cloud tv. Sikujua kama jamaa ana mawazo ya kipu m bavu kiasi kile.
 
Kwanza TV inarangi mbaya imefifia haivutii kuangalia ukilinganisha na TV nyingine wako kama channel 10
 
Back
Top Bottom