Kupwaya kwa vipindi Clouds tv


Vipindi vyote vyenye mvuto vilikuwepo katika ile Flash aliyoondoka nayo Paul Makonda siku zile alipowavamia usiku.
 
Una akili nyingi
 
Tena hii channel yao Mpya ya clouds plus ndio ya hovyo kabisa..signal ziko chini..ina scratch balaa..mbaya zaidi sijaona jipya zaidi ya kurudia bongo movie..sasa sielewi ile channel ya sinema zetu ya kazi gani...labda nieleweshwe hapo
Hii nilichogundua ni biashara ya clouds wenyewe sababu baada ya miez mitatu itaanza kulipiwa sh elf Tatu kwahyo ktk pesa ya kifurush utaongeza elf Tatu ili upate na hyo clouds plus
 
Nadhani Ruge anakusikia atalifanyia kazi tatizo hili.
Itakuwa vyema,ruge ni mbunifu Sana naamini atajitahidi kubuni vipindi,naona hata kile cha zamarad take one nacho hakieleweki Mara kinakuwepo Mara kinapotea
 
Hii nilichogundua ni biashara ya clouds wenyewe sababu baada ya miez mitatu itaanza kulipiwa sh elf Tatu kwahyo ktk pesa ya kifurush utaongeza elf Tatu ili upate na hyo clouds plus

Aisee inawezekana..haiwezekani kuwe na channel mbili zenye mrengo unaofanana...na kwa clouds kwa wanavyojua kucheza na fursa hili linawezekana
 
Nafikiri ili kuwahukumu lazima ujue lengo la uanzishwaji wa Clouds TV , kila chombo cha habari kina lengo la uanzishwaji , ndiyo maana baadhi ya vituo vingine kwenye nchi za ughaibuni vinapiga muziki mwanzo mwisho ili kukidhi lengo la uanzishwaji, kwahiyo sidhani kama ni sahihi kuwakosoa TV Clouds, aidha tatizo la kutokuwa na vipindi sio kwa Clouds tu, naona Tv nyingi hapa Tanzania kuna muda fulani ndiyo kuna vipindi ambavyo vina uzito vinginevyo sijaona tofauti kubwa.
 
wanajua kucheka cheka tu sio suala la utani wala siliasi.
Na lile tangazo la coca cola dakika tano haziisha washaleta hata kama ni wazamini si hivyo mbona wenzao wanakaa walau dakika 20.
Wanazingua sana hawa jamaa
 
Wewe timu bashite shakuatukia! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…