wanajamvi ningeomba maana ama tafsiri sahihi ya neno - "kupunga pepo'',
2013 anyway, ngoja nikujibu kama ifuatavyo:
Pepo ni demon, spirit
Punga = exorcize.
Exorcist kwa kiswahili anaitwa Mpungaji pepo
Kwa hiyo kupunga pepo ni kutoa demons/spirit (mapepo) sasa kiswahili sijui utaitaje kama ni Majini au Mashetani kazi kwako