Okay hata kama ina-trigger ku-generate mate,kwanini usiyameze tu?hayo ni maumbile nafikiri, mwili ukisika harafu mbaya automatically huwa unatrigger mechanism ya kupambana nayo which in this case ina command mwili ugenerate mate kupunguza madhara.
Nafikiri mechanism hiyo ni similar na ile ya baadhi ya mimea ambayo ukiishika inajikunja! Ila tunaweza kuwauliza madaktari wanaweza kufafanua zaidi.
dah,wewe niga umenifurahisha!unaonekana u mjambaji mzuri,hahaha hahainabidi ujambe ili ya fyuuu...!!taratibu.jambia mahakani uone.hamna wa kutema mate.mia
Hivi umewahi kujiuliza kwanini mtu akijamba anatema mate au alieko pembeni anatema mate, je kuna mahusiano gani kati ya harufu na mate? Je mate yanakua yamechafuka hataki kuyameza? Je akiyatema ndio harufu puani inaisha? Najiuliza sana